abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Kwann uteseke we nguchiro
Senseless +stupidity reply
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Senseless +stupidity reply
Another idiot againHe must be extradited from hell to come and stand for trial and forced to return beck our trillions
Tumepigwa ndugu yanguKweli kabisa aisee ameishia kulalamika tu kama sisi tu, Sasa mtu unabaki kujiuliza hivi huyu ni rais au rahisi.
Na deni la taifa lilipaa kwa kasi kipindi hicho na tulidanganywa pesa za ndani, tunakaziHuna akili.
Unaweza ukaiba trilioni 1.5 alafu bado ukajenga flyover, ndege ,meli , bandari ,kuhamia dodoma?
Usiseme analialia ila ni kweli achukue hatua kali ,hii nchi ya wajinga bila ubabe haiendi hadi hapo ustaarabu utakapatikana.Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo,kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.
Nikupe mfano,kwa kinachoendelea bandarini ,kama ukweli uko seriously,mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana,ili tujue uko mguu sawa ,wanasubiri nini ofisini?
Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni .hapa umeingizwa chaka.
Mambo bado kabisa,kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana .Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.
Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako,
Wamejipanga ,walipukutishwa wanazirudisha kwa kasi na pia hawakumalizwa
Na mm naona mkuu hatuna Kiongozi hapa.Tumepigwa ndugu yangu
Eti madudu ya awamu ya tano anasakiziwa yeye,hivi hakuhudumu awamu ya tano?,tena mshauri namba moja?,mbaya zaidi anawarudisha wahuni wakati Magufuli hakuwamalizaNa mm naona mkuu hatuna Kiongozi hapa.
Tumia kichwa kufikiri ,acha kutumia makalio ,utafeli sanaRudisheni Kwanza matrillion mliyokwapua hazina bila huruma. Ni tone tu baharini la trillion 1.5 liliwekwa hadharani na mzalendo Assad na zingine zikiwekwa hadharani watanzania watapatwa na cardiac arrest.
CCM ni ile ile ukoo wa panya wote wapigaji tuRais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo,kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.
Nikupe mfano,kwa kinachoendelea bandarini ,kama ukweli uko seriously,mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana,ili tujue uko mguu sawa ,wanasubiri nini ofisini?
Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni .hapa umeingizwa chaka.
Mambo bado kabisa,kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana .Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.
Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako,
Wamejipanga ,walipukutishwa wanazirudisha kwa kasi na pia hawakumalizwa
It's not fair to call me an idiot. Those who have stollen trillions you call them patriots. What kind of human beings are you? Do you really have blood running on your fakin'veins? Me I haven't cause any loss to the country but some one who's an expert in misusing and stealing public funds and money unashamedly since 1995 you calling him a patriot. What kind of creatures are you???😡😡🤬🤬🤬Another idiot again
Tulia weweee na acha porojo. Rudisheni matrillion yetuTumia kichwa kufikiri ,acha kutumia makalio ,utafeli sana
Trillion 9.8? Au unaandika tu mkuu?Siyo trillion 1.5 aliiba tu jamaa aliiba jumla ya trillion 9.8 naushee tena pekee yake ukijumlisha na mabilion ya rambirambi. Imejin nine trillion and something.
That's why his life was shortened without that the dude would continue scooping trillions more
Kwa mujibu wa ndugu mzalendo Assad.Trillion 9.8? Au unaandika tu mkuu?
Kiingereza hakikupendi mkuu.He must be extradited from hell to come face all atrocities he committed to Tanzanias, stand for trial and forced to return beck our trillions.
Kama unevunja rekodi ya marais wote Tanzania kwa kukopa, tena ndani ya miaka 5, hakika unaweza.!Huna akili.
Unaweza ukaiba trilioni 1.5 alafu bado ukajenga flyover, ndege ,meli , bandari ,kuhamia dodoma?
Kwa kilugha chetu cha bondeni jina lako limamaanisha "mchawi" na adhabu yake siku ya mwisho kwa mujibu wa maandiko matakatifu unaijua...Siyo trillion 1.5 aliiba tu jamaa aliiba jumla ya trillion 9.8 naushee tena pekee yake ukijumlisha na mabilion ya rambirambi. Imejin nine trillion and something.
That's why his life was shortened without that the dude would continue scooping trillions more
Na wewe unaamini kuwa jpm alikuwa na utajiri wake binafsi(fedha alizokwapua) unaofikia hizo 9.8 Tr?Kwa mujibu wa ndugu mzalendo Assad.
Remote hiyo....bila shaka,Kiti kimeanza kupata joto sasa, alifanya makosa kuwatumbua watendaji wengi walioaminiwa na Magufuli hasa Kakonko wa TPA pale alipigwa mchana kweupe kumuondoa pale..