Rais Samia: Dar kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu

Huyu mama mitandao naona inamdemsha sana!

Mara kadhaa sasa anaitaja.

Si ajabu yupo humu…
Wasukuma kubalini matokeo . Ni era ya Mama sasa. Hata akiongoza kwa kuhisi basi inatosha.
 
Sio lazima atushie watu kwa Maneno ya Intelligence anajaribu kujiweka sawa na wananchi na kuonyesha umuhimu wa mitandao ambayo Mtangulizi wake aliiona adui

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Hii ungeianzishia mada yake kuliko kuchomekea humu. Umepunguza ladha ya uzi wa mwenzako.
 
Mitandao ni muhimili muhimu uliojichimbia chini sana japo kuna ukweli na uzushi pia
 
Huyo askari amemsoma wapi?

Huyo jamaa ndie bingwa wa kuua watu?

Maana dawa pekee ya jambazi ni kuwaua.

Hawa wezi wa magari,pikipiki,bajaji wakikamatwa iwe njia ni moja tu, kuwatanguliza mbele za haki.

Siro tumalizie hawa vibaka.
Vipi kuhusu akina Kigwangalla?
 
Huyo askari amemsoma wapi?

Huyo jamaa ndie bingwa wa kuua watu?

Maana dawa pekee ya jambazi ni kuwaua.

Hawa wezi wa magari,pikipiki,bajaji wakikamatwa iwe njia ni moja tu, kuwatanguliza mbele za haki.

Siro tumalizie hawa vibaka.
Vipi kuhusu akina Kigwangalla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…