Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Nobody's know if she's the one or not, i'm just guess if she's the oneOoh no it can't be.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nobody's know if she's the one or not, i'm just guess if she's the oneOoh no it can't be.
Mama hawezi akawa mkorofi Kama faizaNobody's know if she's the one or not, i'm just guess if she's the one
Alikuwa kweli na Magonjwa Mtambuka .Mwendazake alikuwa anatumia ID ya Magonjwa Mtambuka
“Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu, naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema ‘Mama turudishie’, IGP kaliangalie hilo vizuri”———Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na Wazee Dar es salaam leo
Wasukuma kubalini matokeo . Ni era ya Mama sasa. Hata akiongoza kwa kuhisi basi inatosha.Huyu mama mitandao naona inamdemsha sana!
Mara kadhaa sasa anaitaja.
Si ajabu yupo humu…
kwani wewe apa upo wapi??Huyu mama mitandao naona inamdemsha sana!
Mara kadhaa sasa anaitaja.
Si ajabu yupo humu…
Sio lazima atushie watu kwa Maneno ya Intelligence anajaribu kujiweka sawa na wananchi na kuonyesha umuhimu wa mitandao ambayo Mtangulizi wake aliiona adui“Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu, naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema ‘Mama turudishie’, IGP kaliangalie hilo vizuri”———Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na Wazee Dar es salaam leo
Sukuma gangHuyu mama mitandao naona inamdemsha sana!
Mara kadhaa sasa anaitaja.
Si ajabu yupo humu…
😂😂😂😂Mama hawezi akawa mkorofi Kama faiza
Hii ungeianzishia mada yake kuliko kuchomekea humu. Umepunguza ladha ya uzi wa mwenzako.X POWER MAN CAPSULES KIBOKO YA KIBAMIA NA NGUVU ZA KIUME[emoji91][emoji91][emoji91]
Ni dawa yenye nguvu sana ambayo inamchanganyiko wa dawa4 ambazo matumizi yake unaitumia kwa wakati mmoja tu
[emoji3591]Ni dawa yenye kutibu tatizo kabisa na kuisha sio kupata nafuu[emoji123]
[emoji637]Inaimarisha mishipa ya uume ambayo imeregea kwamba uume unaposimama unasimama kwa uimara kabisa bila kuwa regevu.
[emoji638]Inazalisha homoni na mbegu/sperms kwa wingi kuzalishwa ambayo itakufanya uwe unapata hamu ya kuwa unarudia tendo hata mara4 zaidi.
[emoji639]Pia inakufanya uwe unachelewa kufika kilelen kwa dk25 au zaidi.
[emoji641]Kwa waliojichua maumbile madogo au waliozaliwa na maumbile madogo inakuza kuanzia inch6.
hiyo ndio X POWER MAN CAPSULES[emoji123]
inayotumiwa na watu wengi wanapona.
0658283250
PIGA\SMS UWEKE ORDER YAKOView attachment 1776867
Kigogo 2014.Huyu mama mitandao naona inamdemsha sana!
Mara kadhaa sasa anaitaja.
Si ajabu yupo humu…
Tukubali matokeo gani?Wasukuma kubalini matokeo . Ni era ya Mama sasa. Hata akiongoza kwa kuhisi basi inatosha.
In your imagination!Sukuma gang
Kwani “apa” ndo nini?kwani wewe apa upo wapi??
Vipi kuhusu akina Kigwangalla?Huyo askari amemsoma wapi?
Huyo jamaa ndie bingwa wa kuua watu?
Maana dawa pekee ya jambazi ni kuwaua.
Hawa wezi wa magari,pikipiki,bajaji wakikamatwa iwe njia ni moja tu, kuwatanguliza mbele za haki.
Siro tumalizie hawa vibaka.
Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Jiwe kawaachia ndoto mbaya ya mchana .Tukubali matokeo gani?
Mbona mnakuwa na maruerue hivyo???
Vipi kuhusu akina Kigwangalla?Huyo askari amemsoma wapi?
Huyo jamaa ndie bingwa wa kuua watu?
Maana dawa pekee ya jambazi ni kuwaua.
Hawa wezi wa magari,pikipiki,bajaji wakikamatwa iwe njia ni moja tu, kuwatanguliza mbele za haki.
Siro tumalizie hawa vibaka.
Unajichekesha bure tu!Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Jiwe kawaachia ndoto mbaya ya mchana .
Wabongo mna mawazo finyu sana kwenye suala zima la mitandao ya kijamiiHuyu mama mitandao naona inamdemsha sana!
Mara kadhaa sasa anaitaja.
Si ajabu yupo humu…