Rais Samia: Dar kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu

Rais Samia: Dar kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu

“Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu, naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema ‘Mama turudishie’, IGP kaliangalie hilo vizuri”———Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na Wazee Dar es salaam leo
Huyu mama mitandao naona inamdemsha sana!

Mara kadhaa sasa anaitaja.

Si ajabu yupo humu…
Wasukuma kubalini matokeo . Ni era ya Mama sasa. Hata akiongoza kwa kuhisi basi inatosha.
 
“Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu, naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema ‘Mama turudishie’, IGP kaliangalie hilo vizuri”———Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na Wazee Dar es salaam leo
Sio lazima atushie watu kwa Maneno ya Intelligence anajaribu kujiweka sawa na wananchi na kuonyesha umuhimu wa mitandao ambayo Mtangulizi wake aliiona adui

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
X POWER MAN CAPSULES KIBOKO YA KIBAMIA NA NGUVU ZA KIUME[emoji91][emoji91][emoji91]

Ni dawa yenye nguvu sana ambayo inamchanganyiko wa dawa4 ambazo matumizi yake unaitumia kwa wakati mmoja tu
[emoji3591]Ni dawa yenye kutibu tatizo kabisa na kuisha sio kupata nafuu[emoji123]

[emoji637]Inaimarisha mishipa ya uume ambayo imeregea kwamba uume unaposimama unasimama kwa uimara kabisa bila kuwa regevu.

[emoji638]Inazalisha homoni na mbegu/sperms kwa wingi kuzalishwa ambayo itakufanya uwe unapata hamu ya kuwa unarudia tendo hata mara4 zaidi.
[emoji639]Pia inakufanya uwe unachelewa kufika kilelen kwa dk25 au zaidi.
[emoji641]Kwa waliojichua maumbile madogo au waliozaliwa na maumbile madogo inakuza kuanzia inch6.
hiyo ndio X POWER MAN CAPSULES[emoji123]
inayotumiwa na watu wengi wanapona.
0658283250
PIGA\SMS UWEKE ORDER YAKOView attachment 1776867
Hii ungeianzishia mada yake kuliko kuchomekea humu. Umepunguza ladha ya uzi wa mwenzako.
 
Mitandao ni muhimili muhimu uliojichimbia chini sana japo kuna ukweli na uzushi pia
 
Huyo askari amemsoma wapi?

Huyo jamaa ndie bingwa wa kuua watu?

Maana dawa pekee ya jambazi ni kuwaua.

Hawa wezi wa magari,pikipiki,bajaji wakikamatwa iwe njia ni moja tu, kuwatanguliza mbele za haki.

Siro tumalizie hawa vibaka.
Vipi kuhusu akina Kigwangalla?
 
Back
Top Bottom