Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Viroboto wa Nape mnahali mbaya sana.
Mpo mpo tu. Heshima hailazimishwi , kama Hangaya hakujifunza kwa Mwendawazimu namhurumia sana.
Tutapiga mpaka achakae ,hakuna heshima hapa. Ni katiba na Sheria tu.
Hivi huyu bibi anatafuta kuheshimiwa na nani wakati matendo yake hayampi heshima? Kama atakaka kuabudiwa, akawaambie wake watoto wake.

Hii inatupa picha ni kwa nini mzee mzima aliamua kutafuta mwingine. Huenda alitaka kukaa juu ya kichwa cha mumewe. Na bila shaka ni sababu ya munewe kutotaka kuambatana naye kwenye tukio lolote.
 
Mimi ningependa Mbowe afungwe jela na kifungo chake ndicho kitapelekea Watanzania kwa wingi kukiondoa chama changu cha CCM madarakani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2025.

Huu ni mtizamo wangun
Haya unayazungumza kwasababu uko huru unakula ugali na nyama huku ukishushia na Kiwingu ya baridi 🤣🤣🤣
 
Hawa watu si wamefoji umri mkuu unaweza kuta yeye kiukweli hakosi miaka 73 na Zitto 48 au 50 hivyo ni sawa kumuita mwanangu
😳😳😳🤣🤣

Wewe jamaa ni mwongo kama "tumba mbichi"......
 
Kwanza afuate sheria
Pili awe na heshima
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
kijana wa zamani vipi baba angu hii kauli idadafue kidogo basi
 
Leo Samia amejivua nguo, kumbe alienda BBC kuidanganya dunia Mbowe ni gaidi wakati anamshikilia kwa michongo ya wale majaji kwa sababu ya kukosa heshima?

Hiyo heshima aliyoikosa Mbowe ni ipi? Mbowe anayetaka maridhiano mpaka akachoka leo anaonekana muhuni?

Haki yake akiwa kama raia wa hii nchi ataipata wapi?

Nasisitiza alichosema Lissu, Mbowe asiachiwe huru, sio mfungwa, na kama wakitaka kukuachia ili watimize lengo lao kisiasa, kwanza tuambiwe kosa la Mbowe ni lipi hadi aitwe hana heshima.
 
Hana lolote huyu nferiority complex tu inamsumbua mbaya zaid nimemsikia akipanga kuwepo mpaka 2030 Ila ajue tu Mungu naye anapanga ya kwake.
Kwa upuuzi wa huyu mama, ni aheri niungane na Polepole, japo najua ni mhalifu, kuliko huyu kuendelea kuwaonea Watanganyika.

Ni aibu kubwa kwa Tanganyika, mgeni, tena mwanamke toka kanchi sawa na wilaya moja ya Tanganyika, kuja kuwatawala kwa uonevu watu mamilioni.

Anatapanya pesa iliyokopwa na Tanganyika, kupeleka kwao bila hata kufuata uwiano. Anawabambikizia kesi wenyeji wake eti hawamheshimu. Alitaka wafanye nini ili aone wanamheshimu. Kila siku wakae sebuleni kwake kuimba nyimbo za kumsifu?

Tupaze sauti dhidi ya huyu mama. Hakuna aliye salama, iwe ndani ya CCM au nje ya CCM. Afadhali kuungana na Sgang kuliko huyu mtesi wetu.

Tuikomboe Tanganyika kutoka kwenye hii aibu kwanza, hawa akina Polepole, tutayamaliza tukiwa tumeirudisha Tanganyika yetu. Huyu anayetaka kutukuzwa, yaani sisi Watanganyika tumtukuze yeye, hilo thubutu, tusikubali. Akutukuzwe huko kwao. Mumewe kagoma kumtukuza, anataka tumtukuze sisi?
 
Hivi akisamehe kwa njia ya kufuta napo inakuwa hajafanya jambo jema?
 
Nimesema hivyo kwa kuwa ulininukuu. Naona ulivyojibu, huenda hukuupata ujumbe wangu kwa usahihi. Kama haijakupendeza, basi niwie radhi. Sikuwa na dhamira mbaya, ja ninajuabhuna dhamira mbaya. Najua unaumizwa kama ninavyoumizwa. Uwe na siku njema ndugu yangu.
 
Wenye maamuzi kumsamehe Mbowe ni wenye chama ambao wanaona Mbowe alitaka kuwapokonya ulaji. Samia ataondoka baada ya muda wake kuisha kwahiyo wenye chama wanaangalia mbele zaidi wakiona kumuachia Mbowe italipa watamwachia.Kama hailipi atafungwa.
kwa hiyo unataka kusema maza na chama ni mbali mbali - wanamzunguka tu kama duara.
 
Hii ni Justification ya kuwa kesi si ya ugaidi, ila ni kulipa kisasi ama kukomoa mtu...hatia hamna ila anakomolewa tu, ni wapi Freeman alifanya kitu kilichostahili akomolewe? Wajuvi wa fitina ebu nijibuni hili swali? OVA!
 
Kwani si mkubwa kicheo ?!!!

Hivi hujawahi kumsikia mzee Warioba akimuita mh.SSH mama?!!!

Usipomheshimu kihivyo kwa urais wake basi hutomheshimu hata kwa UCHIFU WAKE MKUU?!!!!
Kwani si mkubwa kicheo ?!!!

Hivi hujawahi kumsikia mzee Warioba akimuita mh.SSH mama?!!!

Usipomheshimu kihivyo kwa urais wake basi hutomheshimu hata kwa UCHIFU WAKE MKUU?!!!!
Mama kamzidi Zito miaka zaidi ya 20 hv!!kama mama angepewa mimba akiwa na Miaka 18 angemzaa zito!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…