Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Mh. Mbowe aliomba muafaka wa kitaifa mapema sana tena kwa unyenyekevu mkubwa lakini hadi leo hakuna aliyemjibu, sasa tunaona huo mshahara wake ndiyo kashaupata.
 
Sawa, Tulia , Baba D anahitaji msosi muda. Ndyo huu, usijepigwa bure shauli yako!

Kuhusu msosi wa Baba D ondoa shaka maana ananipitia muda sio mrefu tukapate lunch kisha turudi kazini

Wewe wahi nyumbani pale ukatufulie zile nguo ulizokashisha jana. Uzinyooshe kabisa na kuzipanga kama nilivyokuelekeza

Sawa eeee!?
 
Mimi ningependa Mbowe afungwe jela na kifungo chake ndicho kitapelekea Watanzania kwa wingi kukiondoa chama changu cha CCM madarakani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2025.

Huu ni mtizamo wangun
Haiwezekani... Kama sasa yuko jela hakuna anayeandamana, akifungwa unadhani ndo itakuaje?
 
Maushungi hataki kupandwa kichwani kwa maneno ake ya Leo

Hakuna cha ugomvi zaidi shida ni msimamo wa dai la katiba mpya
Katiba mpya haikuanza Leo kumbuka.
Kipindi Cha MAGUFULI ndo kulikuwa kipindi kigumu Cha kudai katiba mpya.
Kuna lingine mbowe atakuwa amefanya kwa Samia atuambie.
Kama aliteleza akiri asamehewe
 
angalau hata hiyo nafasi imepatikana na leo tunaweza kupata habari....sasa ZZK naye asingeenda au wote tungesusia hiyo habari tungeitoa wapi...
Kwa hiyo kosa LA mbowe so ugaidi tena Bali hana heshima?!?!?

Mi pia nililielewa mapema hilo.

Heshima ni kutii lolote atakaloongea Rais. Kwani Rais hapingwi na hakosei
 
Kuhusu msosi wa Baba D ondoa shaka maana ananipitia muda sio mrefu tukapate lunch kisha turudi kazini

Wewe wahi nyumbani pale ukatufulie zile nguo ulizokashisha jana. Uzinyooshe kabisa na kuzipanga kama nilivyokuelekeza

Sawa eeee!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mama D , Kama unaishi maisha ya hivyo , basi Baba D ana hasara kubwa sana!

Angalia House girl wako asijekuwa mke mwenzio!!

Ohooooooh!!!!
 

BARBARIC, SADIST, SATANIC DICTATOR; must be condemned by all means
 
Katiba mpya haikuanza Leo kumbuka.
Kipindi Cha MAGUFULI ndo kulikuwa kipindi kigumu Cha kudai katiba mpya.
Kuna lingine mbowe atakuwa amefanya kwa Samia atuambie.
Kama aliteleza akiri asamehewe
Endelea kuamini ukiaminicho lakini ukweli ni dai la katiba mpya
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Mwenye anaweza jibu haya maswali jaman!!
 
Kwa maneno haya Mbowe yupo ndani KIMABAVU KUONESHANA NANI MWENYE MADARAKA MAKUBWA SIO NANI MWENYE MAKOSA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mama D , Kama unaishi maisha ya hivyo , basi Baba D ana hasara kubwa sana!

Angalia House girl wako asijekuwa mke mwenzio!!

Ohooooooh!!!!

Huo ni utaratibu wetu mimi na yeye wa kwendz kwenye majukumu ya familia kila alfajiri. Sasa wewe hiyo hasara umetuwekea wapi? Tusingefanya hivyo wewe mshahara ungepata wapi🙄🙄🙄

Au unafikiri kila mwanaume ni ka-vulana kama wewe unayemaliza ma housegirl wa mtaa!?

Mungu akusaidie utakapokua mkubwa uache uchafu wa kuchanganya mjakazi na mkeo yasije kukupata yaliyompata Ibrahim na Yakobo


Mxiuuuuu
 
Mbowe hayupo juu ya sheria, ameshtakiwa kisheria atahukumiwa kwa sheria na kama akishinda ni kwa sheria. Sio kwamba akishinda alikuwa kaonewa ni kwa sababu ametumia udhaifu wa sheria
Kavunja sheria ipi mkuu?
 
Hili amedhihirisha wazi pasi na shaka kuwa kosa la Mbowe ni kampeni yake ya kudai katiba mpya na sio ugaidi.
Ni shida za kibajeti na kiutamaduni zimechangia kuikosa katiba mpya na mhamasishaji wake na sii vinginevyo🤔.
 
Mama aliona Mbowe kama anataka kumpanda kichwani kwa kampeni yake ya katiba mpya.

Hapa inadhihirisha tuhuma za Mbowe ni za kubumba.... Na pia kumwonyesha tu kuwa huwezi kushindana na serikali
Jaji ni nani hata atoe hukumu kinyume na matakwa ya mamlaka yake ya uteuzi? Mpaka hapa Mbowe ameshafungwa miaka 30 jela.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ni shida za kibajeti na kiutamaduni zimechangia kuikosa katiba mpya na sii vinginevyo[emoji848].
Lini CCM imewahi kuwa na kipaumbele cha katiba.
 
Mmeanza kupotosha ALICHOKISEMA mh.Rais.....


Ameizungumzia HESHIMA ndani ya siasa zetu mathalani KUSEMA UONGO ,KUPOTOSHA ,KUTAKA SIASA ZISIZO NA UHALISIA NASI kote huko ni KUIBAGAZA HESHIMA......

#Siempre JMT
Kwa hiyo wewe peke yako ndiye unajua kutafsiri kauli ya Rais.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…