Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, Tulia , Baba D anahitaji msosi muda. Ndyo huu, usijepigwa bure shauli yako!
Haiwezekani... Kama sasa yuko jela hakuna anayeandamana, akifungwa unadhani ndo itakuaje?Mimi ningependa Mbowe afungwe jela na kifungo chake ndicho kitapelekea Watanzania kwa wingi kukiondoa chama changu cha CCM madarakani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2025.
Huu ni mtizamo wangun
Katiba mpya haikuanza Leo kumbuka.Maushungi hataki kupandwa kichwani kwa maneno ake ya Leo
Hakuna cha ugomvi zaidi shida ni msimamo wa dai la katiba mpya
Kwa hiyo kosa LA mbowe so ugaidi tena Bali hana heshima?!?!?angalau hata hiyo nafasi imepatikana na leo tunaweza kupata habari....sasa ZZK naye asingeenda au wote tungesusia hiyo habari tungeitoa wapi...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mama D , Kama unaishi maisha ya hivyo , basi Baba D ana hasara kubwa sana!Kuhusu msosi wa Baba D ondoa shaka maana ananipitia muda sio mrefu tukapate lunch kisha turudi kazini
Wewe wahi nyumbani pale ukatufulie zile nguo ulizokashisha jana. Uzinyooshe kabisa na kuzipanga kama nilivyokuelekeza
Sawa eeee!?
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia mesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugai
BARBARIC, SADIST, SATANIC DICTATOR; must be condemned by all meansAkijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia mesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Endelea kuamini ukiaminicho lakini ukweli ni dai la katiba mpyaKatiba mpya haikuanza Leo kumbuka.
Kipindi Cha MAGUFULI ndo kulikuwa kipindi kigumu Cha kudai katiba mpya.
Kuna lingine mbowe atakuwa amefanya kwa Samia atuambie.
Kama aliteleza akiri asamehewe
Mwenye anaweza jibu haya maswali jaman!!Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mama D , Kama unaishi maisha ya hivyo , basi Baba D ana hasara kubwa sana!
Angalia House girl wako asijekuwa mke mwenzio!!
Ohooooooh!!!!
Kavunja sheria ipi mkuu?Mbowe hayupo juu ya sheria, ameshtakiwa kisheria atahukumiwa kwa sheria na kama akishinda ni kwa sheria. Sio kwamba akishinda alikuwa kaonewa ni kwa sababu ametumia udhaifu wa sheria
Ni shida za kibajeti na kiutamaduni zimechangia kuikosa katiba mpya na mhamasishaji wake na sii vinginevyo🤔.Hili amedhihirisha wazi pasi na shaka kuwa kosa la Mbowe ni kampeni yake ya kudai katiba mpya na sio ugaidi.
Jaji ni nani hata atoe hukumu kinyume na matakwa ya mamlaka yake ya uteuzi? Mpaka hapa Mbowe ameshafungwa miaka 30 jela.Mama aliona Mbowe kama anataka kumpanda kichwani kwa kampeni yake ya katiba mpya.
Hapa inadhihirisha tuhuma za Mbowe ni za kubumba.... Na pia kumwonyesha tu kuwa huwezi kushindana na serikali
Naunga mkono hoja. Mama anaupiga mwingi. Lingekuwa lile jamaa lingetukana badala ya kujibu kwa hoja.Safi sana Samia
Hapo ni kusubiri huruma ya Mama Samia tu.Jaji ni nani hata atoe hukumu kinyume na matakwa ya mamlaka yake ya uteuzi? Mpaka hapa Mbowe ameshafungwa miaka 30 jela.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
angalau hata hiyo nafasi imepatikana na leo tunaweza kupata habari....sasa ZZK naye asingeenda au wote tungesusia hiyo habari tungeitoa wapi...
Kwa hiyo wewe peke yako ndiye unajua kutafsiri kauli ya Rais.Mmeanza kupotosha ALICHOKISEMA mh.Rais.....
Ameizungumzia HESHIMA ndani ya siasa zetu mathalani KUSEMA UONGO ,KUPOTOSHA ,KUTAKA SIASA ZISIZO NA UHALISIA NASI kote huko ni KUIBAGAZA HESHIMA......
#Siempre JMT