Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa


Kumbe ugaidi ni wa kubambikiziwa tu?
 
Hapa Maza anamaanisha nini ....!!? Yaani Mbowe yuko jela kwa sababu hana heshima .... Seriously!!
 
Naunga mkono hoja. Mama anaupiga mwingi. Lingekuwa lile jamaa lingetukana badala ya kujibu kwa hoja.

Chema kimerudi kwa wenyewe
Ndiyo kimerudi kwa wenyewe!

Mafuta bei chini,
Umeme wa uhakika,
Bidhaa za ujenzi bei chini,
Kodi chini..

Hakika kimerudi kwa wenyewe
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Mkuu umetoka lini mwezini?
 
Lini CCM imewahi kuwa na kipaumbele cha katiba.
Tunaendelea kujifunza sababu yakuwa au kutokuwa na kipaumbele Cha katiba mpya pamoja na haki za mikutano ya hadhara na hata Ile ya ndani na kwanini tumkose au tuwakose mhamasishaji/wahamasishaji wa eneo Hilo la democrasia ya kweli ikiwa ni pamoja na uhanga na wahanga wa katiba mpya .
 
Tafsiri halisi anamkomoa kwa madai hafuati sheria na hamuheshimu.
Duuh! Samia ameshindwa uongozi100%
Wanahabari wa nje tupelekeeni duniani hili jibu la Rais wetu ili ifahamu ni kiongoza wa aina gani huyu.

Mishungi mwili mzima,kajisitiri mwezi ramadhani anafunga lakini anafunga watu KWA kutaka kuheshimiwa!!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
KWANZA nani kamuomba zitto kutusemea ya Mbowe, tumejiandaa KWa vyovyote kuhusu kesi hii, dalili zote zipo wazi,

Twende hivyohivyo yana mwisho ,
 
Chifu Hangaya ni Rais wa mchongo.Hana moral authority ya kusema hayo.

Chifu Hangaya hana kibali cha wananchi.Ni Rais mwenye kibali cha mapolisi.Ni Rais wa aibu.Akae kimya.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Napata shida ungewahi ishi hata chembe moja tu ya maisha hayo unayotulingishia kwa ID fake ya jf, basi Tanzania yote tungejua!!

Wenye hela na maisha yao hawajawah kujikuza kias hcho!!

Ila umeshnda[emoji120]
 
Kumbe nchi haifuati sheria inafuata chuki binafsi za rais wa nchi kua anahisi amekosewa heshima?

Ndio maana tunataka katiba mpya,like yesterday!
Kwani bado mnalialia?

Si mnapumua nyie? Baada ya kuonewa sana kwa miaka 5?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…