Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia mesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.

Kumbe ugaidi ni wa kubambikiziwa tu?
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia mesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Hapa Maza anamaanisha nini ....!!? Yaani Mbowe yuko jela kwa sababu hana heshima .... Seriously!!
 
Naunga mkono hoja. Mama anaupiga mwingi. Lingekuwa lile jamaa lingetukana badala ya kujibu kwa hoja.

Chema kimerudi kwa wenyewe
Ndiyo kimerudi kwa wenyewe!

Mafuta bei chini,
Umeme wa uhakika,
Bidhaa za ujenzi bei chini,
Kodi chini..

Hakika kimerudi kwa wenyewe
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Mkuu umetoka lini mwezini?
 
Lini CCM imewahi kuwa na kipaumbele cha katiba.
Tunaendelea kujifunza sababu yakuwa au kutokuwa na kipaumbele Cha katiba mpya pamoja na haki za mikutano ya hadhara na hata Ile ya ndani na kwanini tumkose au tuwakose mhamasishaji/wahamasishaji wa eneo Hilo la democrasia ya kweli ikiwa ni pamoja na uhanga na wahanga wa katiba mpya .
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia mesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Tafsiri halisi anamkomoa kwa madai hafuati sheria na hamuheshimu.
Duuh! Samia ameshindwa uongozi100%
Wanahabari wa nje tupelekeeni duniani hili jibu la Rais wetu ili ifahamu ni kiongoza wa aina gani huyu.

Mishungi mwili mzima,kajisitiri mwezi ramadhani anafunga lakini anafunga watu KWA kutaka kuheshimiwa!!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia mesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
KWANZA nani kamuomba zitto kutusemea ya Mbowe, tumejiandaa KWa vyovyote kuhusu kesi hii, dalili zote zipo wazi,

Twende hivyohivyo yana mwisho ,
 
Chifu Hangaya ni Rais wa mchongo.Hana moral authority ya kusema hayo.

Chifu Hangaya hana kibali cha wananchi.Ni Rais mwenye kibali cha mapolisi.Ni Rais wa aibu.Akae kimya.
 
Huo ni utaratibu wetu mimi na yeye wa kwendz kwenye majukumu ya familia kila alfajiri. Sasa wewe hiyo hasara umetuwekea wapi? Tusingefanya hivyo wewe mshahara ungepata wapi[emoji849][emoji849][emoji849]

Au unafikiri kila mwanaume ni ka-vulana kama wewe unayemaliza ma housegirl wa mtaa!?

Mungu akusaidie utakapokua mkubwa uache uchafu wa kuchanganya mjakazi na mkeo yasije kukupata yaliyompata Ibrahim na Yakobo

Mxiuuuuu
Napata shida ungewahi ishi hata chembe moja tu ya maisha hayo unayotulingishia kwa ID fake ya jf, basi Tanzania yote tungejua!!

Wenye hela na maisha yao hawajawah kujikuza kias hcho!!

Ila umeshnda[emoji120]
 
Kumbe nchi haifuati sheria inafuata chuki binafsi za rais wa nchi kua anahisi amekosewa heshima?

Ndio maana tunataka katiba mpya,like yesterday!
Kwani bado mnalialia?

Si mnapumua nyie? Baada ya kuonewa sana kwa miaka 5?
 
Back
Top Bottom