Ukimsoma Zito psychologically ni kama anakiri Mbowe anamakosa vile. Na anajua kwa uzito wa makosa na ushahidi wake - Mbowe hawezi kuchomoa, ndo maana anamshawishi Rais aachane na UTAWALA WA SHERIA tunaoudai. Atumie nguvu za kiMungu tunazozipinga kwenye katiba ya sasa amtoe Mbowe.Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Huyu mama huenda alikataliwa na mboweAkijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Kwa lipi? Mbowe kavunja sheria ipi na kamkosea nani heshima? Na yote haya yanahusiana vipi na ugaidi?Bi mkubwa kashaanza kulegea
Hii sasa Kali toka ugaid hadi mkosa heshimaAkijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
sasa imekuwa kufanya ugaidi na sio kupanga ugaidi?Kwani ukifanya ugaidi siyo kosa kisheria?
Unaonaje sasa baada ya takataka yako kufa jinsi mnavyofaidi uhuru..Mkuu maliza msiba tuendelee na kibibi cha kiarabu. Kafa kaoza, nakufukiwa.
Ile takataka hakua nafaida yeyote nchi hii.
π³π€£π€£Kamtuma,we know...
Humo humo ndani kuna our own plants wanatoa feedback kila sekunde
Msidhani mliopo humo kila mtu anampenda mama na liCCM lenu hilo
Humo humo kuna waungwana wanatoa report kama inavyotakiwa
Mnajitiaga invincible sana **** nyie nyie humo humo kwenye liserikali lenu kuna Chadema kibao na wanatoa feedback
Zitto anajulikana ni sellout,ndio maana hua hakui kisiasa
Kila mtu anamjua sio wa kuaminika,historia yake inajulikana,Zitto angekua mtu wa misimamo na ukweli na asie compromise angekua tayari ni rais wa hii nchi....
Ila,we know that bure guy
Hapana JPM alimweka ndani zaidi ya siku 90Africa bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?
Pamoja na ubabe wa Magufuli, hakudhubutu kumfunga Mbowe gerezani, Mama huyu ameonesha udhaifu mkubwa, hatufai. Hatahivyo, ni vema aende kwao Zanzibar, atuachie viongozi wetu wa Tanganyika!
[emoji23][emoji23][emoji23]Ccm ife kwa makundi?Sasa kuna majitu maongo hii dunia kama maccm?
Yanaiongelea Chadema kwa uongo wakati Chadema tupo hapa na facts zetu zinazotuhusu sisi
Nachofanya ni kuvunja those lies
Tatizo kwenye hii dunia sio kitu kingine ni CCM....
Uzuri CCM ishakufa humo humo ndani..kuna vita ya pande mbili,mpaka pande moja iuawe ndio mtarudi normal
Here waiting for vita,vita ikiisha mtatukuta CDM
πMaushungi kamtumia Zitto kuongea kwa huruma ili amtoe Mbowe ionekane kama sio Zitto kuongea kwa kupiga magofi vile asingemtoa
Zitto ni NAFIKI namba moja hii dunia
Una ushahidi ukawasaidie nduguzo akina Kiungai?Fafate sheria aachane na mambo ya kigaidi, hapao atakuwa amefata sheria
Zuzu ktk ubora wakeKwani ukifanya ugaidi siyo kosa kisheria?
Kwani kundi la polepole lina nguvu?Mkuu
Mna kibarua cha kumvuka Polepole na group lake
Mnachofeli mnadhani hilo kundi ni dogo au ni Polepole mwenyewe....
Y'all are mistaken big time
Mkishamvuka Polepole ndio mje kututafuta mmeshachoka hadi matakoni
Kwa kusema hivi Ina maana kesi ya mbowe imetokana na Mbowe kutokuwa na heshima na kufuata sheriaAkijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.