Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Ukimsoma Zito psychologically ni kama anakiri Mbowe anamakosa vile. Na anajua kwa uzito wa makosa na ushahidi wake - Mbowe hawezi kuchomoa, ndo maana anamshawishi Rais aachane na UTAWALA WA SHERIA tunaoudai. Atumie nguvu za kiMungu tunazozipinga kwenye katiba ya sasa amtoe Mbowe.
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Huyu mama huenda alikataliwa na mbowe
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Hii sasa Kali toka ugaid hadi mkosa heshima
 
Mkuu maliza msiba tuendelee na kibibi cha kiarabu. Kafa kaoza, nakufukiwa.
Ile takataka hakua nafaida yeyote nchi hii.
Unaonaje sasa baada ya takataka yako kufa jinsi mnavyofaidi uhuru..
 
Jumong kuvunja sheria na kutoheshimiwa ndio uhujumu uchumi na ugaidi?!
 
Kamtuma,we know...

Humo humo ndani kuna our own plants wanatoa feedback kila sekunde

Msidhani mliopo humo kila mtu anampenda mama na liCCM lenu hilo

Humo humo kuna waungwana wanatoa report kama inavyotakiwa

Mnajitiaga invincible sana **** nyie nyie humo humo kwenye liserikali lenu kuna Chadema kibao na wanatoa feedback

Zitto anajulikana ni sellout,ndio maana hua hakui kisiasa

Kila mtu anamjua sio wa kuaminika,historia yake inajulikana,Zitto angekua mtu wa misimamo na ukweli na asie compromise angekua tayari ni rais wa hii nchi....

Ila,we know that bure guy
😳🤣🤣
Acha kujifaragua mzee wa US....

Ni rahisi mno kuzitoa tuhuma hizo mzeya......

Hakuna ushahidi wa usemalo....

Na huna ushahidi wa hilo unenalo.....

Umeamua kuwa ABUNUWASI kutujengea TASWIRA isiyopo 🤣🤣

Mwana umejaa mbwembwe sana.....eti mna "plants" zenu wanaowapa hints kila SEKUNDE duuuuh bonge la "biti" hili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Africa bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?

Pamoja na ubabe wa Magufuli, hakudhubutu kumfunga Mbowe gerezani, Mama huyu ameonesha udhaifu mkubwa, hatufai. Hatahivyo, ni vema aende kwao Zanzibar, atuachie viongozi wetu wa Tanganyika!
Hapana JPM alimweka ndani zaidi ya siku 90
 
Sasa kuna majitu maongo hii dunia kama maccm?

Yanaiongelea Chadema kwa uongo wakati Chadema tupo hapa na facts zetu zinazotuhusu sisi

Nachofanya ni kuvunja those lies

Tatizo kwenye hii dunia sio kitu kingine ni CCM....

Uzuri CCM ishakufa humo humo ndani..kuna vita ya pande mbili,mpaka pande moja iuawe ndio mtarudi normal

Here waiting for vita,vita ikiisha mtatukuta CDM
[emoji23][emoji23][emoji23]Ccm ife kwa makundi?

Muulize Mbowe na Lisu 2015
 
Nimeiona clip ya mama mdogo wa Mbowe aisee,anaongea laana tupu.I smell something. Naogopa sana mtu mwingine kufa akiwa madarakani kwa laana za watu.Lifanyike jambo mwamba awe huru na wenzake ni hatari yale maneno.

Ni kama maneno ya mama Kabendera
 
Bitozo mdini, mbona mashee wa uamsho aliwaachia huru?

Tatizo kuongozwa na mtu ambaye siyo mtanganyika litatutesa Sana

Mbona wao waliificha taarifa ya msiba wa magufuli mpaka akawa anakaribia kuoza ndio wanatupa taarifa za msiba nani kavunjiwa heshima taifa au wao kuficha msiba?
 
Mkuu

Mna kibarua cha kumvuka Polepole na group lake

Mnachofeli mnadhani hilo kundi ni dogo au ni Polepole mwenyewe....

Y'all are mistaken big time

Mkishamvuka Polepole ndio mje kututafuta mmeshachoka hadi matakoni
Kwani kundi la polepole lina nguvu?

Si mlisema ni washamba na wamekomeshwa na watoto wa mjini?

Alafu hayo maneno ya mwisho kabisa yanaonesha unapanic
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Kwa kusema hivi Ina maana kesi ya mbowe imetokana na Mbowe kutokuwa na heshima na kufuata sheria
 
Back
Top Bottom