bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,443
- 9,854
CDM hizi siasa za jino kwa jino hazina afya, hebu kuweni na HEKIMA walau kidogo.
Mama ushungi aka bibi tozo umemuelewa lissu lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CDM hizi siasa za jino kwa jino hazina afya, hebu kuweni na HEKIMA walau kidogo.
Yaani huyu mama macho yake na roho yake vitu viwili tofauti kabisa.Kwa wenye akili timamu hili tulilijua toka mwanzo!!
Mbowe kusimamia msimamo wake wa harakati za upatikanaji wa katiba mpya , Rais katafsi ni kukosa adabu na kutofuata sheria za nchi!!
Rais pia kwa majibu yake katuonesha waziwazi kuwa majaji wake wanaosimamia kesi ya ile ya Ugaidi ni michongo mitupu na maelekezo kutoka kwake!
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Nilikuwa sijui kwa nini wajeda wanaamuaga kuwafanyizia wana siasa, ni huu ujinga wa viongozi wetu wa ki Africa.Unaonaje mama anavyowkaomesha mataga na sukuma gang?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ndo umeongea kitu gani hapa?Rais akizungumz kama Mkuu wa Executive sio state anawez kumtambua mtu yeyote alifikishwa Mahakamani kwa kosa la Jinai kama Mhalifu kwa kuwa upande wake (Serikali) ndio unatuhumu na kupeleka kesi mahakaman kama ambavyo upande unaotuhumiwa unaweza kutambua Mashtaka kama mashtaka ya kubambikiza
Kama una haki ya kutambua kesi ya Mbowe kuwa ya kubambikiwa basi na mwingine ana haki ya kutambua mashtaka hayo hayo kama mashtaka ya kweli
Kuna watu wanaamini wao wana haki ya kumkosoa Rais ila Rais hana haki ya kuwakosoa
Pole sana Ndugu,Mh. Zitto nadhani leo ndiyo kaelewa urais ni taasisi na siyo mtu. Ajifunze na yeye kuwa na adabu. Maana alidhani atasema kiurahisi tu Mbowe atolewe. Mbowe yeye asubiri kama ilivyokuwa kwa Sabaya. Maana mlifurahi sana kwa Sabaya. Inabidi tufike pahala hii nchi iendeshwe kwa misingi ya uzalendo
Bk 7 tu ndio zakutoa ufahamu hivyo?Kuzitii mamlaka na kuziheshimu..
Mamlaka au Dola ndio inacontrol kila jambo katika Taifa kupitia vyombo vyake, Dola kupitia vyombo vyake ina taarifa ya kila jambo linaloendelea hapa Tanzania kuliko mtu yeyote..
Kupitia taarifa hizo Dola ndio pia inapata nguvu ya kulinda mipaka na kutulinda humu ndani..
Dola kupitia vyombo vyake inaposema hili kwasasa lisifanyike na twende na uelekeo huu halafu ikatokea tofauti HAPO UTAKUWA UMESHINDWA KUIHESHIMU DOLA, kujaribu kuipa dola mashinikizo ya kisiasa wakati yenyewe kupitia vyombo vyake inajua position ya nchi kwa sasa iko hapa na kuliachia hili tutafika pale, UKAJARIBU KULAZIMISHA KWA NGUVU HOJA ZA KISIASA ni kutokuiheshimu dola na kukosa usikivu..m
Kiturilo kwa lugha ya kwetu ni nyeti za kukuChadema ni wapumbavu sana ,wanajiona wako juu ya sheria
Sasa ndo umeongea kitu gani hapa?
Rais hawezi kuizungumzia kesi kwa namna anayofanya kwasababu tu waliofungua kesi ni jamihuri. It doesn’t work like that.
Ndiyo maana kuna muhimili mwingine wa mahakama ambapo jamuhuri wanaenda ku state their case na kupeleka ushahidi nk.
But everyone is innocent unless otherwise proven guilty without a reasonable doubt.
upo sahihi, wahuni si watu kaka.Mama wahuni wamemdanganya
How?Mbowe ana dharau Sana ..
Haiwezekan amudharau mama yetu kudadeki pigaa ndani miaka 30
Siyo kwa Tanzania, sisi hatufuati katiba ya nchi bali matakwa ya mtawala.Heshima its two way traffic.. !!
“Nataka nijibu lile ombi la mwanangu, iko hivi demokrasia ni kuheshimu sheria, unapoheshimu sheria ndipo demokrasia inapokua, lakini pia ndipo inapoleta heshima.Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Hapana Mbowe mkuu ni gaidi kabisa.Pole sana Ndugu,
Mbowe ana mashitaka ya kubumba. Sabaya analalamikiwa na wananchi aliyowaibia na kuwadhulumu. Wapi na wapi?
The President should and/or MUST remain above the fray.Mimi ukinipiga nakupeleka Mahakamani nikiamini Wewe umenipiga sio nakutuhumu umenipig, wengine ndio watakuita unatuhumiwa kwa kuwa watasubiri hukumu ndio waamue kama wewe ni mhalifu au laa
…mie ulienitendea uovu sihitaji na silazimiki kukuita mtuhumiwa
Maza kazaliwa 1960, Zitto 1976 .....!!Mama kamzidi Zito miaka zaidi ya 20 hv!!kama mama angepewa mimba akiwa na Miaka 18 angemzaa zito!!
HaaBi mkubwa kashaanza kulegea
A stain in humanityMbowe hayupo juu ya sheria, ameshtakiwa kisheria atahukumiwa kwa sheria na kama akishinda ni kwa sheria. Sio kwamba akishinda alikuwa kaonewa ni kwa sababu ametumia udhaifu wa sheria