Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Kwa wenye akili timamu hili tulilijua toka mwanzo!!

Mbowe kusimamia msimamo wake wa harakati za upatikanaji wa katiba mpya , Rais katafsi ni kukosa adabu na kutofuata sheria za nchi!!

Rais pia kwa majibu yake katuonesha waziwazi kuwa majaji wake wanaosimamia kesi ya ile ya Ugaidi ni michongo mitupu na maelekezo kutoka kwake!
Yaani huyu mama macho yake na roho yake vitu viwili tofauti kabisa.
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?

Maswali na hoja nzito sana , hapa Rais inaonekana amesha mhukumu mtuhumiwa na hii itazidi kumchanganya na kumyumbisha jaji wa mahakama kuu
 
Unaonaje mama anavyowkaomesha mataga na sukuma gang?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa sijui kwa nini wajeda wanaamuaga kuwafanyizia wana siasa, ni huu ujinga wa viongozi wetu wa ki Africa.
 
Rais akizungumz kama Mkuu wa Executive sio state anawez kumtambua mtu yeyote alifikishwa Mahakamani kwa kosa la Jinai kama Mhalifu kwa kuwa upande wake (Serikali) ndio unatuhumu na kupeleka kesi mahakaman kama ambavyo upande unaotuhumiwa unaweza kutambua Mashtaka kama mashtaka ya kubambikiza


Kama una haki ya kutambua kesi ya Mbowe kuwa ya kubambikiwa basi na mwingine ana haki ya kutambua mashtaka hayo hayo kama mashtaka ya kweli

Kuna watu wanaamini wao wana haki ya kumkosoa Rais ila Rais hana haki ya kuwakosoa
Sasa ndo umeongea kitu gani hapa?

Rais hawezi kuizungumzia kesi kwa namna anayofanya kwasababu tu waliofungua kesi ni jamuhuri. It doesn’t work like that.

Ndiyo maana kuna muhimili mwingine wa mahakama ambapo jamuhuri wanaenda ku state their case na kupeleka ushahidi nk.

But everyone is innocent, until or unless otherwise proven guilty without a reasonable doubt.
 
Mh. Zitto nadhani leo ndiyo kaelewa urais ni taasisi na siyo mtu. Ajifunze na yeye kuwa na adabu. Maana alidhani atasema kiurahisi tu Mbowe atolewe. Mbowe yeye asubiri kama ilivyokuwa kwa Sabaya. Maana mlifurahi sana kwa Sabaya. Inabidi tufike pahala hii nchi iendeshwe kwa misingi ya uzalendo
Pole sana Ndugu,
Mbowe ana mashitaka ya kubumba. Sabaya analalamikiwa na wananchi aliyowaibia na kuwadhulumu. Wapi na wapi?
 
Kuzitii mamlaka na kuziheshimu..

Mamlaka au Dola ndio inacontrol kila jambo katika Taifa kupitia vyombo vyake, Dola kupitia vyombo vyake ina taarifa ya kila jambo linaloendelea hapa Tanzania kuliko mtu yeyote..
Kupitia taarifa hizo Dola ndio pia inapata nguvu ya kulinda mipaka na kutulinda humu ndani..

Dola kupitia vyombo vyake inaposema hili kwasasa lisifanyike na twende na uelekeo huu halafu ikatokea tofauti HAPO UTAKUWA UMESHINDWA KUIHESHIMU DOLA, kujaribu kuipa dola mashinikizo ya kisiasa wakati yenyewe kupitia vyombo vyake inajua position ya nchi kwa sasa iko hapa na kuliachia hili tutafika pale, UKAJARIBU KULAZIMISHA KWA NGUVU HOJA ZA KISIASA ni kutokuiheshimu dola na kukosa usikivu..m
Bk 7 tu ndio zakutoa ufahamu hivyo?
 
Mimi ukinipiga nakupeleka Mahakamani nikiamini Wewe umenipiga sio nakutuhumu umenipig, wengine ndio watakuita unatuhumiwa kwa kuwa watasubiri hukumu ndio waamue kama wewe ni mhalifu au laa

…mie ulienitendea uovu sihitaji na silazimiki kukuita mtuhumiwa

Sasa ndo umeongea kitu gani hapa?

Rais hawezi kuizungumzia kesi kwa namna anayofanya kwasababu tu waliofungua kesi ni jamihuri. It doesn’t work like that.

Ndiyo maana kuna muhimili mwingine wa mahakama ambapo jamuhuri wanaenda ku state their case na kupeleka ushahidi nk.

But everyone is innocent unless otherwise proven guilty without a reasonable doubt.
 
Mama sasa dishi limeyumba, kudai katiba mpya ni ugaidi?
 
Yaani univunjie hotel niliyokuwa napata riski yangu
Yaani unifyekee bustani yangu ya mbogamboga iliyokuwa inanipa riski yangu
Yaani unifungie account zangu za benki zote ambazo nilikuwa naweka akiba zangu kwa miaka.
Yaani uniweke ndani miezi minne kwa kosa la kuandamana na kusababisha kifo cha akwilina..
Yaani watu naowaongoza uwaumize, uwape kesi za kubambika kukomoana
Yaani ukanivunja mguu wangu, nikajitibia nikapona..sikukata tamaa
Yaani wagombea wetu 60% uwateke, uwanyike sifa za kugombea bila sababu za msingi..
Yaani mawakala wetu uwazuie nje na wakitaka kuingia unawafungulia kesi ya vurugu kituo cha uchaguzi
Yaani viongozi wenzangu wapotee, waumizwe wengine wabakie vilema huku naona...

Kwa yote haya nikapiga kifua changu nikamwambia MUNGU wangu ayasamehe- nikasamehe.... Baada tu ya Urais wako nikaja kwako kwa unyenyekevu mkubwa nikakuomba tukutane tuyajadili kwa kina ili tufikie muafaka ama maridhiano ya kitaifa - ukawa kimya kwa maana nyingine hukutaka.

Leo umenipa kesi ya UGAIDI, nasota gelezani ni sawa , ila kweli leo unaniambia nini sina HESHIMA, kweli ndugu ?? Hapana, kwa hili hapana Hapana umenikosema sana.
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
“Nataka nijibu lile ombi la mwanangu, iko hivi demokrasia ni kuheshimu sheria, unapoheshimu sheria ndipo demokrasia inapokua, lakini pia ndipo inapoleta heshima.
.
“Heshima ya mtu inakuja unapoheshimu sheria za nchi, unapovunja sheria za nchi heshima yako haitaheshimiwa, Serikali haitakuheshimu lakini lazima ujue kwamba unapotumia uhuru wako mwisho wa uhuru wako inaanza heshima ya mtu mwingine,” - Samia H. Suluhu
 
Mimi ukinipiga nakupeleka Mahakamani nikiamini Wewe umenipiga sio nakutuhumu umenipig, wengine ndio watakuita unatuhumiwa kwa kuwa watasubiri hukumu ndio waamue kama wewe ni mhalifu au laa

…mie ulienitendea uovu sihitaji na silazimiki kukuita mtuhumiwa
The President should and/or MUST remain above the fray.

Ndiyo maana rais pia ana uwezo wa kumwajibisha mtu kama Siro au Kingai.

Rais kujiingiza kutamka maneno hayo kwasababu yeye ni mkuu wa executive branch ni utopolo.

Kwani hujasikia akilalamika kuwa polisi kuna wakati wanabambikia watu kesi na pia kuwapiga?

Hii kesi ambapo watuhumiwa wamekuwa tortured na jaji kaamuwa kupotezea kwasababu ya rais na maneno yake na wewe una sapoti ujinga?
 
Back
Top Bottom