Rais Samia: Demokrasia siyo Cocacola

Rais Samia: Demokrasia siyo Cocacola

Rugemarila yu huru. Sema sema sema.
Hiyo itakuongezea ugali mezani kwako?

[emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha bhna.. Mwenzio anaenda kufaidi mihela yake aliyokuibia tangu enzi za EPA alafu wewe unakula vumbi hapo ufipa unashangilia?
 
Bongo ukiachia gori inakua Kama machinga hivi.Bila kubana bongo inakua kero aisee.
 
Huyu hana tofauti na Shahidi Kingai wala sio wa kumshangaa

Kama demokrasia sio Cocacola na hata haki za wanawake sio Cocacola basi mbona hasemi hilo?
 
Mh Mama Rais kasema kweli tupu hapa. Ndio maana utaona kuazimisha siku ya demokrasia kila nchi inafanya kivyake. Sisi Tanzania mwaka huu wameazimisha kitaifa kwa mtindo wa unyago/ chiken party yaani wamama watupu.
 
Mimi nasubiri mtufuano na watarajiwa wengine wa hiyo nafasi.
Watokee wapi?!!

Kauli ya mwenyekiti wetu ndiyo ya mwisho....

Huu ni utaratibu wa CCM.....si lazima ufanane na MWINGINE popote pale.....

#SiempreCCM
 
Kwa maana hiyo hata UDIKTETA ni 'DEMOKRASIA'?

Anaelewa anachikizungumzia?

Kama kweli rais kayasema haya, anatofauti gani na hawa watu waliomo humu JF kama akina Johnthebabtist, Magonjwa, Etwege, na wengineo wa aina hiyo?
Kila nchi ina demokrasia yake....

Demokrasia huendana na MILA NA TARATIBU ZA WATU....

Kwa kuwa demokrasia ni suala huria ndio waarabu na waafrika tuwe na sheria za ndoa za jinsia moja?!!!

Kwani nayo ndio demokrasia hiyo ya nchi za MAGHARIBI.....
 
Ni mwenyekiti wa nchi gani hiyo?
Ndio maana kujibishana na watu kama wewe ni kupoteza muda. tu!

Kwa sababu mnajifanya wajinga wa kipumbavu vile!
Kwani demokrasia haianzii ngazi ya familia na ndani ya vyama?!!
 
Hivi kuiba kura ni mila zetu? Kudanganya ni mila zetu? kunyanyasa watu kwasababu ya kupingana kisiasa ni mila zetu?

Demokrasia na haki za watu ni haki za kibinadamu na Tanzania hakuna mila moja kuna katiba moja.
Hakuna haki isiyozingatia WAJIBU NA UTARATIBU.....
 
Demokrasia ya bongo chini ya CCM ni ukandamizaji na ubambiakiaji kesi wapinzani. Wizi wa kura na kila aina ya michezo michafu ili mradi tu serikali ya ccm inaki madarakanidemokrasia tuliyonayo sisi watanzania inatutosha
Hii ndiyo demokrasia tuliyonayo sisi watanzania inatutosha
 
Hadi sasa anaupiga mwingi,tulia nchi isonge mbele
akisema kila eneo lina demokrasia yake, mila na desturi zetu hazimtambui mwanamke kama kiongozi.

Mwambieni huyu mtu hii nchi sio kikundi cha kikoba ajifunze kuweka akiba ya maneno.
 
Hiyo itakuongezea ugali mezani kwako?

[emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha bhna.. Mwenzio anaenda kufaidi mihela yake aliyokuibia tangu enzi za EPA alafu wewe unakula vumbi hapo ufipa unashangilia?
Mlioaminishwa kwamba yule kichaa aliyekufa kwa Corona alikuwa anapambana na uhujumu uchumi ndo mjue alipambana na watu sio rushwa. Ona sasa anaachiliwa mmoja baada ya mwingine!
Hovyo kabisa malamba miguu nyie.
Kalifufueni sasa
 
Pamoja Sana Her Excellence chief of chiefs,Hon.Hangaya,taarifa iwafikie chadema na wafuasi wao
 
Back
Top Bottom