Rais Samia: Dereva aliyeamua kuliingiza lorry kwenye korongo kwa kukwepa utelezi

Hakuna kazi hata moja iliyowahi kukosa changamoto. Iwe ni Urais, Uwalimu, Udaktari, Ukulima, Biashara na Uwekezaji, Udereva, Uhandisi, Uchungaji au Ushekhe, Uwanafunzi, au nyingine yoyote, isiyo na changamoto, japo uwingi na uzito wa changamoto hutofautiana.

Na wanaofanikiwa, siyo watu wanaokosa changamoto, bali ni watu wenye kutafuta majibu sahihi ya changamoto zinazowakumba.

Kinachowatofautisha wanaofanikiwa na wanaoanguka, ni uwezo wa kutafuta majibu ya changamoto, zinapojitokeza. Kwenye utatuzi wa changamoto, kuna makundi matatu:

1) Wapo ambao wakipata tu changamoto, hawatafuti majibu ya changamoto, hunyosha mikono na huishia hapo hapo. Hawa huwa wafu wa mafanikio.

2) Wapo wanaotafuta suluhu za mkato, wakakosa hekima, maarifa, ujuzi na tafakari, huishia kutafuta suluhu za changamoto ambazo huleta madhara mabaya zaidi hata kuzidi changamoto walizotaka kuzitatua.

3) Wapo wanaotafuta suluhisho la changamoto zinazowakumba, hutafuta suluhisho sahihi, huzivuka changamoto, na huibuka wakiwa washindi. Hawa ndio watu wenye mafanikio siku zote.

Bahati Mbaya, Rais wetu Samia Suluhu Hassan, anaangukia kwenye kundi ka pili. Yaani mtu anayetafuta suluhisho la matatizo kwa kuzalisha matatizo makubwa zaidi maradufu ya tatizo analotaka kulitatua. Amekuwa kama dereva wa lorry lililobeba shehena kubwa ya mzigo wenye thamani kubwa, linalopanda mlima wenye utelezi ambao upande mmoja wa barabara ni mlima mrefu, na upande wa pili ni gema refu kuelekea korongoni (sawa na yale makorongo ya milima ya Lukumburu, kama unaelekea Songea). Mlima una utelezi, dereva anawaomba watu walisukumie lorry kwenye korongo refu ili kuukwepa utelezi. Na kwa kufanya hivyo anaamini ametatua tatulizo la kuupanda mlima wenye utelezi, asijue kuwa kwa kusukumia lorry korongoni, ameliua lorry, ameteketeza shehena yenye thamani, na lorry halitaweza kuendelea na safari.

Kuna tatizo kubwa kwenye mkataba wa bandari wa DP, ambalo ni uhovyo na ushenzi wa mkataba. Rais Samia haumizwi na ubovu wa mkataba, anaumizwa na sauti za wanaolalamikia uhovyo wa mkataba. Hahangaiki na kutatua uhovyo wa mkataba, bali anahangaika kuzima sauti za wanaolalamikia mkataba wa hovyo. Kwake kuwakamata Dr. Slaa, Mwambukusi na Mdude na kuwabambikia kesi za uhaini anaona ametatua tatizo la kusikia kelele zinazokosoa uhovyo wa mkataba. Hajui wala hatambui kuwa kwa kufanya hivyo anatengeneza matatizo makubwa zaidi dhidi yake na Serikali yaje kuliko hata uhovyo wa mkataba. Sasa afahamu kuwa:

1. Kelele dhidi ya mkataba wa kishenzi wa DP, zitaongezeka kutoka ndani ya nchi.

2) Kelele dhidi ya udikteta wa utawala wake zimeanza kutoka ndani ya nchi na jamii ya kimataifa. Tayari Amnesty International wamelaani maamuzi yake, Human Rights Watch wamepaza sauti dhidi ya utawala wake. Siku si nyingi kutakuwa na kauli toka Jumuiya ya Ulaya na Marekani.

3) Taasisi zote ambazo hutoa misaada na mikopo kwa sharti nchi iwe na mfumo wa utawala unaoheshima demokrasia, uhuru wa maoni na haki za binadamu, hazitatoa msaada wala mkopo kwa Serikali ya Samia. Ni suala la wakati tu.

4) Hata ambao hawakuwahi kujua uhovyo wa mkataba wa DP, watafahamu sasa kutokana na hizo kesi za kubambikia watu, na matamko ya taasisi za jamii ya kimataifa.

5. Uchumi ambao tayari ni legelege utalegea zaidi kwa sababu hakuna mwekezaji makini anayeweza kwenda kuwekeza mahali ambapo unaweza kubambikiwa kesi na Serikali wakati wowote.

Rais Samia badala ya kutafuta msaada wa kusukuma gari liupite utelezi, ametafuta watu wa kumsaidia kulisukumiza lorry korongoni.
Jitu la hovyo unaliacha lipotee na upumbavu wake, wakuja ni wakuja tu ataondoka
 
0C180434-98AE-4836-BE84-EA716BB0D5EE.jpeg
 
Samia siyo Dereva ni konda
 
Mbowe kabambikiwa kesi ya ugaidi ambao kimsingi haupo nchini na watu wa nje waliosikia hayo hasa vyombo vya kijasusi vya nje.
Slaa nae kabambikiwa kesi ya uhaini ambayo kimsingi haupo nchini na wengi wanazidi kumshangaa mbambikiaji.
Mbambikiaji sii mwingine ila yule yule Samia rais aliyejinadi kuwa mwenye jinsia ya ke.
Kama ofisi kuu ya nchi ndio wabambika kesi raia, polisi na raia itakuwa je huku ngazi za chini?
Ni kilio kila mahali ila chonde chonde watu wasipangiwe namna ya kulia. Waachwe walie kila mtu kwa sauti ya kabila lake. Hii itasaidia kupu guza hasira na angalau kuahirisha kisasi.
 
Halafu ajabu licha ya kutupekeka korongoni, anataka abiria tunyamaze tusilalamike, au wale watakaotaka kuongea, basi wampongeze!

Hiyo ndio mindset inayotuongoza kwa sasa, mjinga ameshika usukani, alipoambiwa anapotupeleka sipo, akatujibu ameziba masikio, sasa ametumwaga korongoni, anataka tumshangilie, tukigoma anatoa adhabu kwetu.
Hii imenikumbusha mzee fulani ambaye alikuwa anampa kichapo mtoto wake wakati mwingine kwa kumwonea halafu anamlazimisha kucheka badala ya kulia.
 
Halafu ajabu licha ya kutupekeka korongoni, anataka abiria tunyamaze tusilalamike, au wale watakaotaka kuongea, basi wampongeze!

Hiyo ndio mindset inayotuongoza kwa sasa, mjinga ameshika usukani, alipoambiwa anapotupeleka sipo, akatujibu ameziba masikio, sasa ametumwaga korongoni, anataka tumshangilie, tukigoma anatoa adhabu kwetu.
masikini akipata matako hulia bwata
 
Halafu ajabu licha ya kutupekeka korongoni, anataka abiria tunyamaze tusilalamike, au wale watakaotaka kuongea, basi wampongeze!

Hiyo ndio mindset inayotuongoza kwa sasa, mjinga ameshika usukani, alipoambiwa anapotupeleka sipo, akatujibu ameziba masikio, sasa ametumwaga korongoni, anataka tumshangilie, tukigoma anatoa adhabu kwetu.
Mwenye machungu na bandari ambayo ht haikuhusu
 
Hakuna kazi hata moja iliyowahi kukosa changamoto. Iwe ni Urais, Uwalimu, Udaktari, Ukulima, Biashara na Uwekezaji, Udereva, Uhandisi, Uchungaji au Ushekhe, Uwanafunzi, au nyingine yoyote, isiyo na changamoto, japo uwingi na uzito wa changamoto hutofautiana.

Na wanaofanikiwa, siyo watu wanaokosa changamoto, bali ni watu wenye kutafuta majibu sahihi ya changamoto zinazowakumba.

Kinachowatofautisha wanaofanikiwa na wanaoanguka, ni uwezo wa kutafuta majibu ya changamoto, zinapojitokeza. Kwenye utatuzi wa changamoto, kuna makundi matatu:

1) Wapo ambao wakipata tu changamoto, hawatafuti majibu ya changamoto, hunyosha mikono na huishia hapo hapo. Hawa huwa wafu wa mafanikio.

2) Wapo wanaotafuta suluhu za mkato, wakakosa hekima, maarifa, ujuzi na tafakari, huishia kutafuta suluhu za changamoto ambazo huleta madhara mabaya zaidi hata kuzidi changamoto walizotaka kuzitatua.

3) Wapo wanaotafuta suluhisho la changamoto zinazowakumba, hutafuta suluhisho sahihi, huzivuka changamoto, na huibuka wakiwa washindi. Hawa ndio watu wenye mafanikio siku zote.

Bahati Mbaya, Rais wetu Samia Suluhu Hassan, anaangukia kwenye kundi ka pili. Yaani mtu anayetafuta suluhisho la matatizo kwa kuzalisha matatizo makubwa zaidi maradufu ya tatizo analotaka kulitatua. Amekuwa kama dereva wa lorry lililobeba shehena kubwa ya mzigo wenye thamani kubwa, linalopanda mlima wenye utelezi ambao upande mmoja wa barabara ni mlima mrefu, na upande wa pili ni gema refu kuelekea korongoni (sawa na yale makorongo ya milima ya Lukumburu, kama unaelekea Songea). Mlima una utelezi, dereva anawaomba watu walisukumie lorry kwenye korongo refu ili kuukwepa utelezi. Na kwa kufanya hivyo anaamini ametatua tatulizo la kuupanda mlima wenye utelezi, asijue kuwa kwa kusukumia lorry korongoni, ameliua lorry, ameteketeza shehena yenye thamani, na lorry halitaweza kuendelea na safari.

Kuna tatizo kubwa kwenye mkataba wa bandari wa DP, ambalo ni uhovyo na ushenzi wa mkataba. Rais Samia haumizwi na ubovu wa mkataba, anaumizwa na sauti za wanaolalamikia uhovyo wa mkataba. Hahangaiki na kutatua uhovyo wa mkataba, bali anahangaika kuzima sauti za wanaolalamikia mkataba wa hovyo. Kwake kuwakamata Dr. Slaa, Mwambukusi na Mdude na kuwabambikia kesi za uhaini anaona ametatua tatizo la kusikia kelele zinazokosoa uhovyo wa mkataba. Hajui wala hatambui kuwa kwa kufanya hivyo anatengeneza matatizo makubwa zaidi dhidi yake na Serikali yaje kuliko hata uhovyo wa mkataba. Sasa afahamu kuwa:

1. Kelele dhidi ya mkataba wa kishenzi wa DP, zitaongezeka kutoka ndani ya nchi.

2) Kelele dhidi ya udikteta wa utawala wake zimeanza kutoka ndani ya nchi na jamii ya kimataifa. Tayari Amnesty International wamelaani maamuzi yake, Human Rights Watch wamepaza sauti dhidi ya utawala wake. Siku si nyingi kutakuwa na kauli toka Jumuiya ya Ulaya na Marekani.

3) Taasisi zote ambazo hutoa misaada na mikopo kwa sharti nchi iwe na mfumo wa utawala unaoheshima demokrasia, uhuru wa maoni na haki za binadamu, hazitatoa msaada wala mkopo kwa Serikali ya Samia. Ni suala la wakati tu.

4) Hata ambao hawakuwahi kujua uhovyo wa mkataba wa DP, watafahamu sasa kutokana na hizo kesi za kubambikia watu, na matamko ya taasisi za jamii ya kimataifa.

5. Uchumi ambao tayari ni legelege utalegea zaidi kwa sababu hakuna mwekezaji makini anayeweza kwenda kuwekeza mahali ambapo unaweza kubambikiwa kesi na Serikali wakati wowote.

Rais Samia badala ya kutafuta msaada wa kusukuma gari liupite utelezi, ametafuta watu wa kumsaidia kulisukumiza lorry korongoni.
Ngonjera hz....
 
Naunga mkono hoja yako, Binafsi najiuliza hivyo huyu ndiye yule yule Samia aliyeanzisha mahusiano mema na kutatua changamoto kadhaa ktk kuleta demokrasia? Bila shaka kuna kundi linalomshauri vibaya wakiwa na dhamira yao makhususi.
Umemsahau Mwenyekiti wa mtaa wa Msoga?
 
Mahakama yamehitisha suala la Bandari lakini wewe unaendeleza porojo! Yaani unapingana na mahakama halali.
Kenge wewe
 
Kiminyo Kiko pale pale
 
Unapo ingia kukikalia kiti cha Urais na alie toka ana akili kama za Magufuli hupaswi kuchukua mambo kisiasa ila akili zaid usiangukie pua. Wenye akili wengi ukiwauliza watakujibu same nilivyo jibu. Mh Rais angekuwa Rais Bora sana kama wakati anachukua nchi angetulia nakufanya decision zenye akili kuliko za kisiasa. Mfano alipo ingia aka anza kutoa mashehe hii ilimpa sifa ya siku moja ikamuanika vibaya kwenye macho ya Dunia ya usalama. Kufanya mabadiliko ya ghafla kwenye uchumi nakutaka pesa irudi kwenye mzunguko ilimpa sifa zakisiasa kwa
 
Hahangaiki na kutatua uhovyo wa mkataba, bali anahangaika kuzima sauti za wanaolalamikia mkataba wa hovyo.
The UK first drafted the coup plans after Mosadegh was appointed as Iran’s prime minister in 1951 following the nationalisation of a British oil company in the country. Initially, the US government led by Harry Truman rejected British overtures. However, prime minister Winston Churchill successfully petitioned Truman’s successor, Dwight Eisenhower, to collaborate on the effort.

In early 1953, the UK and US intelligence services began planning the operation, which was renamed ‘Ajax.’ According to declassified documents the operation sought regime change through the bribery of Iranian politicians, along with high-ranking security and army officials, and massive anti-Mossadegh propaganda that helped instigate a public revolt in 1953. The coup then brought Shah Mohammad Reza Pahlavi back to power.

Owen argues, though, that the Western undermining of Iranian democracy directly contributed to the shah’s regime subsequently falling in the Islamic Revolution of 1978.
===
Nikujipima tu kama hegemony iliyojengwa katika misingi yenye Nia ovu inalipa ama la!!!
 
Mahakama yamehitisha suala la Bandari lakini wewe unaendeleza porojo! Yaani unapingana na mahakama halali.
Kenge wewe
Mada hii ni kwaajili ya wenye akili timamu. Wewe ambaye hukujaliwa akili, unaweza kupumzika. Acha walio wazima wachangie mada.
 
Naunga mkono hoja yako, Binafsi najiuliza hivyo huyu ndiye yule yule Samia aliyeanzisha mahusiano mema na kutatua changamoto kadhaa ktk kuleta demokrasia? Bila shaka kuna kundi linalomshauri vibaya wakiwa na dhamira yao makhususi.
Eti kundi linomshauri vibaya ,hilo kundi nan amelichagua
 
Back
Top Bottom