Rais Samia: Don't rock the boat. Biashara na uchumi vitayumba

Sounds like muwekezaji wako alikua anatafutiza sababu ya kuchomoa, hii ya ugaidi haina mashiko.
 
Kwanza nina declare position,
Mimi ni mwana CCM.
Tena ni mfanya biashara.
Zaidi ya hapo nina muunga mkono Mama Samia.

Haya matukio ya kisiasa hivi karibuni kibiashara na hatimaye kiuchumi yameleta ukakasi kidogo.

Nasema hivi kwa experience ya yaliyonikuta hivi karibuni.

Nilipata ahueni sana kibiashara baada ya Mama Samia kutamka wazi kuwa yuko pro-business.
Nilimpata partner toka nje aliyekubali kuwekeza pamoja na mimi, mtaji wangu ukiwa industrial plot na vibali vyote vya uwekezaji.

Na hao jamaa walishakuja, sitataja uraia wao.

Mara tukaanza kusikia maneno ya ugaidi na watu kuswekwa ndani.

Ieleweke, sitetei uhalifu wa aina yoyote, lakini ijulikane kuwa ukijitangaza ugaidi watu hasa wawekezaji wanasita.

To make my story short, muwekezaji wangu kasitisha uwekezaji kwa muda, anasema anaangalia na ku assess situation.
Kwangu mimi ni big set back, maana time is money and a missed oppurtunity is a loss.

Mama Samia charanga karata vizuri, tunahitaji mtaji wa tranquility.
Acha kudema wewe ni chadema; na huyo mwekezaji ni chai tu
 
Wewe unataka CDM wafanye vurugu na kuleta taharuki waachiwe tu na sheria isifuate mkondo wake? Huo ni ujinga, unataka serikali ianze kuogopa watu kisa wawekezaji? Mwisho wa siku unataka tuwe na serikali kama za Haiti, Jamaica na sehemu hizo za hovyo ambazo serikali inaogopa watu na taasisi zake?? Hilo haliwezekani, hao wawekezaji waondoke tu.
Kwani neno ugaidi halina mbadala?!
Manake hili neno gaidi limechafu hadi hata gaidi analiogopa!
 
Nasema hivi, magaidi yasifumbiwe macho eti biashara zitabomoka, Bora lipi, mkae na nyoka awe anawagonga ama mmuuwe kwanza nyoka ili muwe salama?

Nyoka auwawe kwanza,
 
Kwanza nina declare position,
Mimi ni mwana CCM.
Tena ni mfanya biashara.
Zaidi ya hapo nina muunga mkono Mama Samia.

Haya matukio ya kisiasa hivi karibuni kibiashara na hatimaye kiuchumi yameleta ukakasi kidogo.

Nasema hivi kwa experience ya yaliyonikuta hivi karibuni.

Nilipata ahueni sana kibiashara baada ya Mama Samia kutamka wazi kuwa yuko pro-business.
Nilimpata partner toka nje aliyekubali kuwekeza pamoja na mimi, mtaji wangu ukiwa industrial plot na vibali vyote vya uwekezaji.

Na hao jamaa walishakuja, sitataja uraia wao.

Mara tukaanza kusikia maneno ya ugaidi na watu kuswekwa ndani.

Ieleweke, sitetei uhalifu wa aina yoyote, lakini ijulikane kuwa ukijitangaza ugaidi watu hasa wawekezaji wanasita.

To make my story short, muwekezaji wangu kasitisha uwekezaji kwa muda, anasema anaangalia na ku assess situation.
Kwangu mimi ni big set back, maana time is money and a missed oppurtunity is a loss.

Mama Samia charanga karata vizuri, tunahitaji mtaji wa tranquility.
Mbowe anatuhuma za ugaidi kesi iko mahakamani muwe wapole basi
 
Waache wasite kama kuna gaidi tusiseme kwasababu ya muwekezaji huko kwao wanakoishi ndio kuna matukio yakutusha ya kigaidi ... hatuwafikii
 
Kwanza nina declare position,
Mimi ni mwana CCM.
Tena ni mfanya biashara.
Zaidi ya hapo nina muunga mkono Mama Samia.

Haya matukio ya kisiasa hivi karibuni kibiashara na hatimaye kiuchumi yameleta ukakasi kidogo.

Nasema hivi kwa experience ya yaliyonikuta hivi karibuni.

Nilipata ahueni sana kibiashara baada ya Mama Samia kutamka wazi kuwa yuko pro-business.
Nilimpata partner toka nje aliyekubali kuwekeza pamoja na mimi, mtaji wangu ukiwa industrial plot na vibali vyote vya uwekezaji.

Na hao jamaa walishakuja, sitataja uraia wao.

Mara tukaanza kusikia maneno ya ugaidi na watu kuswekwa ndani.

Ieleweke, sitetei uhalifu wa aina yoyote, lakini ijulikane kuwa ukijitangaza ugaidi watu hasa wawekezaji wanasita.

To make my story short, muwekezaji wangu kasitisha uwekezaji kwa muda, anasema anaangalia na ku assess situation.
Kwangu mimi ni big set back, maana time is money and a missed oppurtunity is a loss.

Mama Samia charanga karata vizuri, tunahitaji mtaji wa tranquility.
Pole sana mkuu 'masopakyindi'.
Kuna mambo kadhaa ambayo umeyaandika hapa yanasikitisha sana, lakini kubwa zaidi linalosikitisha ni kwa watu kama wewe, mnaojitambua vizuri kabisa kuwa na tabia za ubinafsi kiasi cha kuona faida kwenu ni bora zaidi kuneemeka kwa nchi yetu. Mnaweka maslahi yenu mbele zaidi ya maslahi ya nchi yenu.

Imenibidi niandike hivi kwa haraka, kwa sababu sina muda wa kulemba tena juu ya mwelekeo wa nchi yetu inakokwenda.

Na usidhani sikutambui na kuheshimu unayosimamia hapa wewe na pacha wako, mkuu 'Jidu' kwa muda mrefu ambao tumekuwa tukijibishana kuhusu jambo hili hili.
Katika hali inayolikabili taifa hili kwa sasa ni ubinafsi usio kifani kujaribu kufunga macho na masikio usione matatizo mengi yanayotokea wakati huu.
 
Mkuu nakushukuru kwa kunielewa.
Mfanyabiashara ni mtu anayejenga capital yake kwa jasho.
Hana muda wa kazi
Hana wa kumlalamikia biashara ikifa
Hana overtime za kudai
Hana pensheni ya kuidai serikali
Hana wa kumlalamikia uchumi ukianguka na biashara ikadoda

Lakini,
Anawajibu wa kulipa kodi zote za TRA(zinafikia 56)
Anawajibu wa kulipa wafanyakazi
Anawajibu wa kuilipa serikali kwa kuajiri wafanyakazi utafikiri serikali inahodhi watu (NSSF,WCF,SDL n.k.)
Anawajibu wa kumlipa mfanya kazi hata akiongeza dakika moja ya kazi
Ana wajibu wa kulipa tozo za LATRA,BIMA, n.k.(na tozo-kodi nyingine nyingi kulingana na aina ya biashara)

Sasa mkuu Kalamu1 kwa nini nisiwe na ubinafsi wa kulinda mtaji wangu?
Wewe unaanza kazi saa mbili, kwa unakula chai saa nne kwa saa nzima.
Chakula mchana lisaa lizima.
Mchana unaendanda nje ya ofisi" kusimaia mambo yako muhimu" yasiyo ya kiofisi kwa masaa mawili.
Hiyo ni ratiba yako ya kila siku!
Halafu mshahara wako uko palepale !
Ukichelewa mshahara kwa kazi ambayo hukuifanya inakuwa valangati, hadi vyombo vya habari vitaitwa
Huyo ndo mtu wa mshahara-anapo pa kuegemea !

Sasa hapo wewe na mimi tutafananaje?

Silver chance ya kupata mbia ikiponyoka kwa sababu uncertainities zinazotokana na political adventures kwa nini tusilalamike?

Wewe mshahara wako uko pale pale!!!
 
Kwanza nina declare position,
Mimi ni mwana CCM.
Tena ni mfanya biashara.
Zaidi ya hapo nina muunga mkono Mama Samia.

Haya matukio ya kisiasa hivi karibuni kibiashara na hatimaye kiuchumi yameleta ukakasi kidogo.

Nasema hivi kwa experience ya yaliyonikuta hivi karibuni.

Nilipata ahueni sana kibiashara baada ya Mama Samia kutamka wazi kuwa yuko pro-business.
Nilimpata partner toka nje aliyekubali kuwekeza pamoja na mimi, mtaji wangu ukiwa industrial plot na vibali vyote vya uwekezaji.

Na hao jamaa walishakuja, sitataja uraia wao.

Mara tukaanza kusikia maneno ya ugaidi na watu kuswekwa ndani.

Ieleweke, sitetei uhalifu wa aina yoyote, lakini ijulikane kuwa ukijitangaza ugaidi watu hasa wawekezaji wanasita.

To make my story short, muwekezaji wangu kasitisha uwekezaji kwa muda, anasema anaangalia na ku assess situation.
Kwangu mimi ni big set back, maana time is money and a missed oppurtunity is a loss.

Mama Samia charanga karata vizuri, tunahitaji mtaji wa tranquility.
Komaa tu na biashara zako mkuu.
Viongozi wanakuja na kuondoka, bora uhai tu!
 
Mbona kenya kuna ugaidi wa alshaabab lakini inashine kibiashara. Acheni kumtisha mama nyie vyadema
 
Wewe unataka CDM wafanye vurugu na kuleta taharuki waachiwe tu na sheria isifuate mkondo wake? Huo ni ujinga, unataka serikali ianze kuogopa watu kisa wawekezaji? Mwisho wa siku unataka tuwe na serikali kama za Haiti, Jamaica na sehemu hizo za hovyo ambazo serikali inaogopa watu na taasisi zake?? Hilo haliwezekani, hao wawekezaji waondoke tu.
Hebu jiongeze kidogo Mkuu. Ukishaitangazia dunia kuwa Una magaidi nchini mwako na ushahidi ukathibitisha kwa kesi zilizoko mahakanani unategemea nn kwa wawekezaji?? Au unafikiri watapuuza kisha uwekezaji uendelee? Magaidi wote huwa wanawafuasi wao underground ambapo hakuna ajuae watafanya shambulio gani na wapi.
 
Back
Top Bottom