Fukua
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 546
- 479
Watanzania wenzangu habarini. Mama Samia shikamoo, pia nakusalimu Kwa jina la JMT.
Mama,
Umeruhusu mikutano ya hadhara kuendelea ni jambo kubwa.Unaendelea kuwafariji watanzania Kwa Kila jambo mfano mafuriko mbeya ni jambo jema. Umeruhusu ukosoaji, uhuru wa vyombo vya habari ni jambo jema.
Umekubali kuwe na maridhiano Katika taifa letu ni jambo jema sana. Na mambo mengine mengi sana na yanafahamika Kwa watanzania.
Pia ninafahamu mazungimzo bado yanaendelea nami kama mtanzania ninamwomba na kuwaombea Kwa Mungu afya njema na mfikie tamati iliyo Bora Kwa maslahi ya watanzania.
Nchi yetu ni changa sana inahitaji ushikamano na mabadiliko ya kweli BILA kwenda pamoja tutashindwa na BILA kuwaunganisha watanzania utashindwa kuwaongoza vyema.
Tulisubiri kiongozi aina Yako Kwa mda mwingi hatimaye Leo tunakushuhudia ukiwa KWENYE enzi.
Tunakuomba ututendee kama binadamu, kama watu Bora unaowaongoza, mafanikio ya watanzania iwe taswira Yako njema, na hayo tunayashuhudia machoni mwetu Mungu akusaidie na kukubariki.
Ukweli mkuu ni kwamba hatuwezi kuyafikia mafanikio na matarajio yetu kama taifa Kwa aina hii ya katiba tuliyo nayo Sasa, Kwa sababu zifuatazo:
~ Moja, ilikuwa na mfumo wa chama kimoja Leo tuna vyama vingi mazingira yamebadilika. Kuendelea hivi ni kuendelea kuzalisha misuguano itakayo tuangamiza wenyewe.
~ Pili, inampa Raisi mamlaka ya kufanya chochote hivyo anaweza kuacha Mipango ya mtangulizi wake na kutekeleza ya kwake jambo hili ni tatizo sugu nchini mwetu.
BILA kurekebisha tutaendelea kujidanganya huku wenzetu wanapiga hatua mfano ukimaliza vipindi vyako anaweza akaja mwingine na asiendeleze mipango na miradi unayohangaika nayo Leo.
Faida ya kuwapatia watanzania katiba MPYA ni kubwa sana Kwako na Kwa taifa, na itakuwa kumbukumbu ya VIZAZI na VIZAZI, tunahitaji kujenga nchi yenye maendeleo, BILA kubadilika hatuwezi kufika popote.
Wewe ni kiongozi na mama jasiri, mnyenyekevu na mwema pia, Katiba MPYA ni muhimu sana tena zungumzeni afikianeni Kwa maslahi ya nchi yetu.
Mungu AWABARIKI na kutubariki Watanzania wote,
Amina.