Rais Samia: Februari na Machi, 2024, Mgao wa umeme utaisha Nchini

anazungumzia vitu cheap sana, Raisi anaoasea kuzungumzia mambo magumu sana, hio ya mgao wa umeme ni ni siasa tu tunajua, tunataka aseme mafisadi wa report ya CAG kwa nini kawasemehe?Ana mpango gani na ajira za vijana walio jazana mtaani? kama hana plan nao afunge vyuo vikuu hivyo.
 
Msije mkamnukuu vibaya hajasema katika katika itaisha ila mgao utakoma.
 
Ni kosa kubwa sana Rais anapokiri kuwa dollar hakuna…ni juzi tuu BOT walisema dollar zipo! Maana yake tujiandae dolla kupanda mara dufu maana Rais amehalalisha hata waliozificha wanapata uhalali kabisa!
 
Ni kosa kubwa sana Rais anapokiri kuwa dollar hakuna…ni juzi tuu BOT walisema dollar zipo! Maana yake tujiandae dolla kupanda mara dufu maana Rais amehalalisha hata waliozificha wanapata uhalali kabisa!
$1 lazima ifike 5000 tsh
 
anaongea vitu vyepesi tupu, huwezi msikia anaongea mambo magumu,huwezi sikia swala la ufisadi wala ajira wala, gharama za maisha, hivyo hutakaa uvisikie kutoka kinywani mwake. Sukari kwa sasa ni Tsh 4000/ kilo 1 huwezi msikia anazungumzia hayo.
Kaongelea achievement tu ambazo zimejaa siasa tupu ukimsikiliza utadhani Tanzania ni nchi ya asali na maziwa kumbe wananchi wanatabika kwa gharama ya maisha kuwa juu

Inahuzunisha na kusikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…