Hata akiongea mambo magumu hakuna kitakachobadilika. Magufuli alikuwa anaongea kwa ulali na kufokafoka lakini kaiba trillion 30anaongea vitu vyepesi tupu, huwezi msikia anaongea mambo magumu,huwezi sikia swala la ufisadi wala ajira wala, gharama za maisha, hivyo hutakaa uvisikie kutoka kinywani mwake. Sukari kwa sasa ni Tsh 4000/ kilo 1 huwezi msikia anazungumzia hayo.