Rais Samia: Februari na Machi, 2024, Mgao wa umeme utaisha Nchini

Aseme wazi uwekezaji bandarini umeingiza ngapi? Au ndio zote zimeenda kwa wajinga na wapumbavu wachache wanaojiona wao ni wajanja kwa kukwapua kutoka kwenye fuko kubwa ambalo ilitakiwa tufaidike nalo wote?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hayo ni maneno tu hata kwenye khanga yapo. Tanzania mzungu anakuja bila pesa ya kutisha anasajiri jina la biashara na uwekezaji mkubwa ambao ni hewa kwa kutumia sheria zetu mbovu zinazo watetemekea wawekezaji uchwara. Kesho na kesho kutwa kama nchi mnashituka hakuna uwekezaji hapo, kitendo tu cha kushitukia dili, mwekezaji uchwara anajitoa kwenye huo mradi na nchi kama nchi inashitakiwa kwenye mahakama za kimataifa. Mwekezaji uchwara anashinda kesi halafu nchi yetu hii maskini inabidi yenyewe ndiyo ipigwe faini ya mabilioni kwenda kwa huyo mwekezaji/ wawekezaji kama hao uliotaja hapo.
Tusubiri muda utasema ukweli
 
Takwimu ambazo wakijisahau wanasema wazi wanazipika kwa faida zao kuna wajinga bado wanazitilia maanani?

Mambo yasiyopikika kama upatikanaji wa huduma za maji, umeme,afya ndiyo taswira halisi hayo ya kwenye makaratasi ni porojo mtupu.
 
ETI takwimu, Nani kazitoa? … with a pinch of salt
 
Hizi ni pumba tuu mnazolishana Vijiweni
 
Hao wawekezaji waje na jenereta na sola zao kabisa maana sisi umeme wetu una degedege
 
Bomu la kienyeji
 
Mods acheni mambo ya kipumbavu,mnaunganishaje Uzi wangu wakati una maudhui tofauti?

Kwenye mada yenu hii onyesha sehemu inayozungumzia uwekezaji.

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1741538196226289972?t=ZnZAxJlPNuGewdsFUZLyRQ&s=19
 
Hao wawekezaji waje na jenereta na sola zao kabisa maana sisi umeme wetu una degedege
Mods wapuuzi sana ,wameunganisha Uzi humu wakati una maudhui tofauti.

Tabia za kipuuzi wamevuka nazo 2024.

Mods rudisha Uzi wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…