Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@GurtuHilo nalo neno. Nijuavyo mimi mambo ya Muungano yanaendeshwa kwa fedha zinazopatikana Tanzania bara ukiacha mikopo toka nje ya nchi. Mathalan, Zanzibar wana mamlaka ya kodi wakati mamlaka ya kodi ya Muungano, yaani TRA huwa haikusanyi kodi huko Zanzibar. Wazanzibar lazima waelewe kuwa kama hawajadai kuchangia katika Muungano basi wakae kimya kuhusu mgawo wa kitu ambacho hawajachangia.
Wakati tunasema muungano uvunjwe wewe ulikua wapi?Ndio muungane sasa na hao wakenya sijui kwanini mnachelewa na kuwakumbatia wazenj ambao hamnufaiki nao kwa kitu chochote.
Wanyonyaji wakubwa nyinyi! Sisi tunahangaika kulipa kodi huku Tanganyika, ili tuwatunze nyinyi Wazanzibari!Yani kwa sababu tu Zanzibar inapata pesa ya muungano kama mdau namba moja wewe inakuuma sana hadi unaona sherehe ifutwe duh! mko na roho mbaya... sijui ilikuwaje yule mzee tukafika kuungana na wakatili.
Hii kali yani Vampire analia ananyonywa na mimeno yake ya ncha kali kama sindano wakati huyo anaemlalamikia ni kibogoyo ... chizi kweli wewe.Wanyonyaji wakubwa nyinyi! Sisi tunahangaika kulipa kodi huku Tanganyika, ili tuwatunze nyinyi Wazanzibari!
Wabunge wenu wanakula tu mishahara na posho kwenye bunge la Tanganyika na wakati mna bunge lenu la Wawakilishi. Miaka yote hamtosheki! Ni kulia lia na kunung'unika tu! Natamani mjitenge hata kesho ili hawa Wazanzibari wenzenu lukuki walio ajiriwa huku Bara kama walimu, nk waanze kulipa vibali vya kufanya kazi ili tupate kodi za kuiendelezea nchi yetu.
Nyinyi Wazanzibari na pia CCM ndiyo chanzo kikuu cha umaskini kwa Watanganyika walio wengi, kutokana na unyonyaji mnao tufanyia.
Umesema wapi ? mimi najua wazee wa Pemba walisema wanataka zanzibar yao ya mamlaka kamili mukawapoteza mazima , wewe ulisemea wapi na lini ..Wakati tunasema muungano uvunjwe wewe ulikua wapi?
Muda si mrefu tutakuwa na Zanzibar ChatoAwamu hii Zanzibar inakumbukwa saaaaana kwenye mgao.
Mtu kwaoooooooooo.
Chukueni Znz yenuUmesema wapi ? mimi najua wazee wa Pemba walisema wanataka zanzibar yao ya mamlaka kamili mukawapoteza mazima , wewe ulisemea wapi na lini ..
Nyinyi Wazanzibari hamna tofauti na Chawa, mbu au Mbung'o! Kwa kiswahili sanifu naweza kuwafananisha na parasites! Without Tanganyika, you are nothing!!!Hii kali yani Vampire analia ananyonywa na mimeno yake ya ncha kali kama sindano wakati huyo anaemlalamikia ni kibogoyo ... chizi kweli wewe.
Mkuu hawa Zanzibar ni sawa na watoto wa kudekezwa wanasubiri tu chakula mezani, si unakumbuka deni la umeme walivyogoma kulipa? halfu kugawa sawa huo mgao ni makosa huwezi ukagawa sawa kwa Zanzibar na bara kwani hata uhitaji wa maendeleo na miradi ni tofauti,hata uwingi wa watu ni tofauti kugawa sawa wakati hata ratio ya watu haipo sawa ni kutuonea wabara watu milioni 48 ugawe sawa na watu milioni 2 ambao hata ukipiga filimbi utawakusanya wote kwa pamoja inakuwa si sawa, na hawahawa ndio waliamua kusajiri meli kivyao hata za wabeba sembe, ni hawa hawa ambao wanadai mafuta yatakayopatikana kwao yatakuwa yao peke yao na si ya muungano, na hata hiyo kodi yao inaishia huko huko kwao, wabinafsi sana hawa watu.Labda niulize kuwa pesa za gharama za Muungano huwa zinatoka wapi au kwa utaratibu gani.
Pili, je Zanzibar kuna pesa ambayo wanachangia kwenye Muungano kusema sasa warudishiwe sehemu?
Kinyume na hapo Tanganyika haipaswi iendelee kuifadhili Zanzibar. Otherwise tuambiwe kuwa nao Zanzibar kuna pesa huwa wanachangia huku kwetu.
Mh Rais asitake sasa kuwa nyonya wabara kwa jasho lao kupafaidisha kwao. Haya ndo madhara ya kuwa na Rais kutoka Zanzibar. Kama kuna sehemu anaona Zanzibar wananyonywa aseme wazi na hiyo mianya izibwe.
Lakini siyo sisi huku tupigike halafu jamaa wawe wanakula tende na urojo tu mwisho wa siku wapate pesa zetu.
Ningekuwa na uwezo hiki kisiwa ningekisukumia huko mbali kabsaChukueni Znz yenu
Wana hela za kuchangia huo Muungano? Kama umeme wenyewe tu kutoka Tanganyika walikuwa wanatumia bure! Ndiyo watoe hela kwa ajili ya Muungano!! Hizo hela ni za Watanganyika!kwani hii pesa huwa inatengwa kutoka kwenye pato la muungano au pato la upande upi? na utagawaje sawa wakati upande mmoja una watoto wengi na upande mwingine watoto wachache? hivi familia yenye watoto 8 inaweza kupata mgao sawa na familia yenye watoto 2 au mmoja? ndio useme usawa? tukiendelea hivi, muungano unaweza kuvunjika kwasababu Zanzibar watajiona wao ni nchi kamili, na hakuna kitu kinaitwa nchi kamili ndani ya nchi nyingine. Tanganyika ilipoteza identity yake na haijitambui kama nchi kamili bila kuwepo zanzibar ndani, ilitakiwa iwe hivyo kwa zanzibar. mark my words tunakoeelekea kunaweza kuibua mianya isiyo mizuri.
Kambarage ndivo alivokufundisha hivo.. poor you, soma historia kijana acha kukata mauno.Nyinyi Wazanzibari hamna tofauti na Chawa, mbu au Mbung'o! Kwa kiswahili sanifu naweza kuwafananisha na parasites! Without Tanganyika, you are nothing!!!
Ingelikuwa ni rahisi ivo mbona kitambo mzee baba tushasepa .Chukueni Znz yenu
Sasa mnashindwa nini!! Miaka yote hii tunawalea tu! Ni watoto gani nyinyi msio kua? Yaani huwa inanikera sana niwaonapo wabunge wa Zanzibar kwenye bunge letu la Tanganyika wakitafuna kodi zetu kinyume kabisa cha utaratibu!Ingelikuwa ni rahisi ivo mbona kitambo mzee baba tushasepa .
Akaunti ya MuunganoFedha za Tanganyika zitaingia kwenye akaunti gani??