Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Km mkoa wa pwani na chato walikua wanagawana robo inaenda mkoa wa pwani na nusu inaenda chato sidhan km ni kosa bara na visiwan kwenda pasupasuNimekuwa nikifuatilia, naona Kuna mgawanyo nusu kwa nusu, meli 8, Tanganyika 4 na Zanzibar 8,Hela za sherehe za muungano zitagawanywa Tanganyika nusu na nusu nyingine Zanzibar.Kwa mantiki hiyo hata misaada serikali ya Tanzania itagawanywa nusu kwa nusu. Hadi miaka 10 ya kipindi chake Zanzibar itakuwa kama Dubai.