Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

TRA haihusiki kabisa kule Zanzibar.

Zanzibar wanna taasisi yao ya kukusanya mapato
Inahusika vizuri sana tu.

Wanakusanya kodi zanzibar kama part of Tanzania.

Na hio taasisi ya zanzibar (ZRB) nayo pia inakusanya kodi kwa mapato ya zanzibar.

Kwenye suala la kodi tunapigwa huku na huku.
 
Inahusika vizuri sana tu.

Wanakusanya kodi zanzibar kama part of Tanzania.

Na hio taasisi ya zanzibar (ZRB) nayo pia inakusanya kodi kwa mapato ya zanzibar.

Kwenye suala la kodi tunapigwa huku na huku.

Mkuu, limuungano halina maana wala faida kwenu, mimi ni m-bara lakini sipendi kuona mnavyofanyiwa. Kuna kiwaziri flani hapa bara kiliwahi kuongea upuuzi kuhusu zanzibar kujitenga. Na clip yake ipo youtube. Ukitaka nitakutag
 
Zanzibar inaidai Tanganyika hela zake nyingi sana
Si ndio tutajua kwa uhakika kiasi gani mnatudai? Lazima zitakuwa nyingi maana machogo wamekuwa na mtindo wa kuwasame madeni. Ziwekwe wazi tu.

Amandla...
 
Kwa nini Watanganyika hawakusaidia kuunda jeshi la Zanzibar halafu waondoke wawaachie nchi yao?
Kwa sababu Karume alimlazimisha Nyerere wafanye Muungano kwa haraka sana.

Nyerere alitaka mjadala mpana, Karume kwa style yake ya kufanya mambo kwa haraka haraka akasema ya nini kijadili mambo sana, nawaita waandishi wa habari sasa hivi tutangaze Muungano hapahapa.

Karume aliogopa Zanzibar haitakuwa stable kama hatapata msaada wa Nyerere kutoka bara, kwani haikuwa na jeshi.
 
Huo muunganiko unashikiliwa na uingereza.
Nyuma ya karume kulikuwa na malkia wa uingereza.na hata ushauri wa muunganiko ulitokea uingereza.
Na sababu ya yote hayo ili Zanzibar isije Rudi kwenye mikono ya waarabu.

Nadhani angefanya 60/40% kwa kuzingatia ukubwa wa Tanganyika. But all is well.
 
Huo muunganiko unashikiliwa na uingereza.
Nyuma ya karume kulikuwa na malkia wa uingereza.na hata ushauri wa muunganiko ulitokea uingereza.
Na sababu ya yote hayo ili Zanzibar isije Rudi kwenye mikono ya waarabu.
Karume kampindua Shamte kibaraka wa Waingereza halafu na yeye kawa kibaraka wa Waingereza?
 
Wacha upuuzi, hujui hii ni awamu ya sita?
Mpuuzi mwenzenu Jiwe( R.I.H) alivyofanya upuuzi kama huu kwa mara ya kwanza mkamshangilia. Cha ajabu next year akiwa yeye ndiye Rais akapitisha tena bajeti kwaajili ya sherehe kama ileile nanyi mkamshangilia tena.

Akafanya sherehe. Mwaka mwingine akapitisha tena pesa kwaajili ya sherehe fulani mkamshangilia akatengua na kupeleka pesa kwenye miradi mkamshangilia.

Nyie wajinga hamjui mnalolitaka au msilolitaka.
 
Nimekuwa nikifuatilia, naona Kuna mgawanyo nusu kwa nusu, meli 8, Tanganyika 4 na Zanzibar 8,Hela za sherehe za muungano zitagawanywa Tanganyika nusu na nusu nyingine Zanzibar.Kwa mantiki hiyo hata misaada serikali ya Tanzania itagawanywa nusu kwa nusu. Hadi miaka 10 ya kipindi chake Zanzibar itakuwa kama Dubai.
 
Tunajadili ujinga, tunapogawana mali ambayo tuna umiliki sawa huwa hatuangalii umbo la mtu. Mfano mirathi utasema bonge apate nyingi kwa sababu ni bonge kuliko kimbaumbau?Watanzania tushafuzu nishani ya juu ya ujinga
 
Nimekuwa nikifuatilia, naona Kuna mgawanyo nusu kwa nusu, meli 8, Tanganyika 4 na Zanzibar 4,Hela za sherehe za muungano zitagawanywa Tanganyika nusu na nusu nyingine Zanzibar.Kwa mantiki hiyo hata misaada serikali ya Tanzania itagawanywa nusu kwa nusu. Hadi miaka 10 ya kipindi chake Zanzibar itakuwa kama Dubai.
 
Back
Top Bottom