Rais Samia: Fedha za Mauzo ya Mazao ya Kilimo Kama Kahawa Zitatusaidia Kuondoa Utegemezi wa Mikopo Yenye Masharti Kutoka Nje.

Rais Samia: Fedha za Mauzo ya Mazao ya Kilimo Kama Kahawa Zitatusaidia Kuondoa Utegemezi wa Mikopo Yenye Masharti Kutoka Nje.

Anashoboka na shamba la mtu binafsi badala ya kupambana kumrudisha peasant wa Kilimanjaro na Bukoba? Songwe pia kuna mkulima mkubwa wa kahawa, akafurahishwe na huko pia.
 
Anashoboka na shamba la mtu binafsi badala ya kupambana kumrudisha peasant wa Kilimanjaro na Bukoba? Songwe pia kuna mkulima mkubwa wa kahawa, akafurahishwe na huko pia.
Hujui kitu wewe punguani , peasant sio mtu binafsi? Kote huko nani anawezesha kama sio Serikali?

Punguani waheed
 
Kaamua kudanganya!

Kakopa weeee matrillion baada ya kuona mambo magumu akaanza kutumia chuma process kukalia kiti ndio anawananga waliomkopesha!

Ni rasmi mambo ni magumu sana!
 
Hujui kitu wewe punguani , peasant sio mtu binafsi? Kote huko nani anawezesha kama sio Serikali?

Punguani waheed
We KIAZI, kwa uelewa wako AVIV TANZANIA LIMITED ni sawa na PEASANT? Wote ni watu binafsi. Yani tajiri na masikini ni sawa kwa vile wote ni binaadamu?! Kwama unapambanua mambo namna hiyo wewe ni mavi kweli kweli.
 
Hiyo kahawa wanamuuzia nani? Mzungu akigoma kununua? Akishusha bei ya kununulia? Mzungu hakwepeki kama oxygen tu, Bibi Samia aongoze tu nchi kwa haki tu.
 
Hiyo kahawa wanamuuzia nani? Mzungu akigoma kununua? Akishusha bei ya kununulia? Mzungu hakwepeki kama oxygen tu, Bibi Samia aongoze tu nchi kwa haki tu.
Hata muhindi akizuiwa kununua kahawa ya bongo na mataifa makubwa mambo yanalala mkuu. Hawa CCM wanajikuta sana.
 
Hata muhindi akizuiwa kununua kahawa ya bongo na mataifa makubwa mambo yanalala mkuu. Hawa CCM wanajikuta sana.
India sio LDC kwamba itazuiwa na Mabeberu,kama USA imeshindwa nanai mwingine wa kumzuia India? Ndio maana India na China wananunua Mafuta ya Russia na maisha yanasonga.

Mwisho nimekwambia kwamba Africa saizi imeanza kuinuka kwenye Intra-Africa trade bila kutegemea Wazungu.
 
We KIAZI, kwa uelewa wako AVIV TANZANIA LIMITED ni sawa na PEASANT? Wote ni watu binafsi. Yani tajiri na masikini ni sawa kwa vile wote ni binaadamu?! Kwama unapambanua mambo namna hiyo wewe ni mavi kweli kweli.
Mavi ni wewe na waliokuzaa.

Sekta binafsi ni pamoja na peasants na Serikali inafanya kazi kuwasapoti wote.
 
Nchi inaongozwa kwa hisia sana, Viongozi wanafuata upepo utakapowapeleka .

Waliwahi kuzungumzia parachichi katika muktadha huu huu, Je unaelewa nini kinaendelea kwa wakulima wa Parachichi huko Njombe?
 
Akizjnhumza baada ya Kutembelea Shamba la Kampuni ya Aviv Tanzania Limited,Rais Samia ameonesha kufurahishwa na mafanikio ya sekta ya Kilimo hususani zao la Kahawa.

Rais amesema kwamba uwekezaji kwenye sekta ya Kilimo ukiofanywa na Serikali yake umeanza kuzaa matunda kwani uzalishaji wa kahawa umeongezeka kutoka tani 65,000 Hadi 80,000 na kwamba mauzo ya bidhaa za kahawa Nje ya Nchi itazalida Dola 250(zaidi ya Bilioni 600) ambazo pengine Serikali ingekopa hivyo kutoa wito kuongeza uzalishaji wa mazao ya Kilimo kibiashara Ili kupunguza utegemezi wa mikopo Nje ya Nchi.

View: https://www.instagram.com/p/DATOLzwCZmZ/?igsh=cnp4NXY1bXFlZnI5

My Take
Naunga mkono hoja.Serikali ie deles kuwekeza zaidi kwenye sekta ya Kilimo kwani Ina nafasi ya kuipatia Nchi pesa Nyingi zaidi kuliko sekta zingine.

Hii ni njia sahihi ikiwa Serikali imegundua hili so Wizara ya Mipango ihakikishe kunakuwa na consistency sio Kila Rais anakuja na vipaombele vyake.Mfano huyu Kilimo mwingine madaraka, hatuwezi kumaliza umaskini bila kuwa na muendelezo wa vipaombele vyenye Tija.

#SSH# Anatosha na chenji inabaki.Tuwakatae Mabeberu na vibaraka wao.

Pia soma Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Kwa hiyo madeni yamemzidi sasa anaanza kuelewa. Ndugai aliposema walitaka kumla nyama mbichi mbichi.
 
Back
Top Bottom