ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
VyoteWewe unafikiri Dunia inaongozwa kwa nguvu ama akili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VyoteWewe unafikiri Dunia inaongozwa kwa nguvu ama akili?
Misukule ya mzee Mbowe ni shida aiseeMaandanamano ya CHADEMA yameaanza kumnyoosha na kuanza kuwaogopa mabeberu?
Unatarajia jibu kwa “swali” hilo, seriously?Kwa hiyo watu watashiba Demokrasia? 😬😬
Hujui kitu wewe punguani , peasant sio mtu binafsi? Kote huko nani anawezesha kama sio Serikali?Anashoboka na shamba la mtu binafsi badala ya kupambana kumrudisha peasant wa Kilimanjaro na Bukoba? Songwe pia kuna mkulima mkubwa wa kahawa, akafurahishwe na huko pia.
We KIAZI, kwa uelewa wako AVIV TANZANIA LIMITED ni sawa na PEASANT? Wote ni watu binafsi. Yani tajiri na masikini ni sawa kwa vile wote ni binaadamu?! Kwama unapambanua mambo namna hiyo wewe ni mavi kweli kweli.Hujui kitu wewe punguani , peasant sio mtu binafsi? Kote huko nani anawezesha kama sio Serikali?
Punguani waheed
Hata muhindi akizuiwa kununua kahawa ya bongo na mataifa makubwa mambo yanalala mkuu. Hawa CCM wanajikuta sana.Hiyo kahawa wanamuuzia nani? Mzungu akigoma kununua? Akishusha bei ya kununulia? Mzungu hakwepeki kama oxygen tu, Bibi Samia aongoze tu nchi kwa haki tu.
Takataka nyingine hii hapa,Hiyo kahawa wanamuuzia nani? Mzungu akigoma kununua? Akishusha bei ya kununulia? Mzungu hakwepeki kama oxygen tu, Bibi Samia aongoze tu nchi kwa haki tu.
India sio LDC kwamba itazuiwa na Mabeberu,kama USA imeshindwa nanai mwingine wa kumzuia India? Ndio maana India na China wananunua Mafuta ya Russia na maisha yanasonga.Hata muhindi akizuiwa kununua kahawa ya bongo na mataifa makubwa mambo yanalala mkuu. Hawa CCM wanajikuta sana.
Mavi ni wewe na waliokuzaa.We KIAZI, kwa uelewa wako AVIV TANZANIA LIMITED ni sawa na PEASANT? Wote ni watu binafsi. Yani tajiri na masikini ni sawa kwa vile wote ni binaadamu?! Kwama unapambanua mambo namna hiyo wewe ni mavi kweli kweli.
Andika kitu chenye maana na kinachoeleweka badala ya hizi pumbaKaamua kudanganya!
Kakopa weeee matrillion baada ya kuona mambo magumu akaanza kutumia chuma process kukalia kiti ndio anawananga waliomkopesha!
Ni rasmi mambo ni magumu sana!
Tayar ushatiwa dole kwenye takoKwa hakika Rais Samia ni kiongozi mwenye maono na akili kubwa sana na upeo wa hali ya juu sana.
Akizjnhumza baada ya Kutembelea Shamba la Kampuni ya Aviv Tanzania Limited,Rais Samia ameonesha kufurahishwa na mafanikio ya sekta ya Kilimo hususani zao la Kahawa.
Rais amesema kwamba uwekezaji kwenye sekta ya Kilimo ukiofanywa na Serikali yake umeanza kuzaa matunda kwani uzalishaji wa kahawa umeongezeka kutoka tani 65,000 Hadi 80,000 na kwamba mauzo ya bidhaa za kahawa Nje ya Nchi itazalida Dola 250(zaidi ya Bilioni 600) ambazo pengine Serikali ingekopa hivyo kutoa wito kuongeza uzalishaji wa mazao ya Kilimo kibiashara Ili kupunguza utegemezi wa mikopo Nje ya Nchi.
View: https://www.instagram.com/p/DATOLzwCZmZ/?igsh=cnp4NXY1bXFlZnI5
My Take
Naunga mkono hoja.Serikali ie deles kuwekeza zaidi kwenye sekta ya Kilimo kwani Ina nafasi ya kuipatia Nchi pesa Nyingi zaidi kuliko sekta zingine.
Hii ni njia sahihi ikiwa Serikali imegundua hili so Wizara ya Mipango ihakikishe kunakuwa na consistency sio Kila Rais anakuja na vipaombele vyake.Mfano huyu Kilimo mwingine madaraka, hatuwezi kumaliza umaskini bila kuwa na muendelezo wa vipaombele vyenye Tija.
#SSH# Anatosha na chenji inabaki.Tuwakatae Mabeberu na vibaraka wao.
Pia soma Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji