Wanalipa mvua?Wakulima Kwa Sasa wanalipa Mvua
Uzi huu ukipuuzwa msije sema hamkujua
Mahindi kidogo yaliyopatikana yanatoroshwa nchi jirani,mavuno hayakuwa mazuri,tutegemee njaa.
Huwezi kupiga kampeni au upige kura na njaa tumboni.
Mioaka ifungwe haraka kwa usalama wetu
Bashe yupo bize na kampeni hana hbari
Mama anakula mema ya nchi hana habari.
Watumishi wa Usalama wa Taifa saivi wanawaza wanaibaje uchaguzi kuwafurahisha wanasiasa wa CCM😂😂😂.Mimi niliwahi kuandika Mahali, Nchi hii Tatizo kuu ni Usalama wa Taifa.
Huko Jirani wanaonunua Mahindi, hao wafanyabiashara Wana backup kubwa ya Vyombo vyao vya Usalama kujihakikishia Usalama wa Chakula nchini mwao.
Ni mpaka uwe na akili ndio unaweza kuona hatari kama hizi.
Wakulima Kwa Sasa wanalipa Mvua zimegoma.
Mnawaza nakuendekeza kula kula tu wakati kulima hampendi.Uzi huu ukipuuzwa msije sema hamkujua
Mahindi kidogo yaliyopatikana yanatoroshwa nchi jirani,mavuno hayakuwa mazuri,tutegemee njaa.
Huwezi kupiga kampeni au upige kura na njaa tumboni.
Mioaka ifungwe haraka kwa usalama wetu
Bashe yupo bize na kampeni hana hbari
Mama anakula mema ya nchi hana habari.
Wapi huko hakuna soko,gunia lanahindi 62000,npunga 100,000,uko wapi nwenzetuShauri serikali inunue mahindi, mpunga yanayowadodea wakulima na siyo kufunga mipaka. Watu tuna magunia ya mahindi, mpunga na hatuna soko wewe unaleta habari za vijiwe vya kahawa.
Mpunga gunia halijafika laki mkuu, mahindi gunia likifika 62000 hapo bado lipo chini sana,labda 115000 ndiyo juu,ila msimu huu mavuno chini,njaa ya maanaWapi huko hakuna soko,gunia lanahindi 62000,npunga 100,000,uko wapi nwenzetu
Mkuu hizo bei hazina maslahi Kwa mkulima. Gharama za shamba mpka mazao umeweka ghalani ukiuza Kwa bei hizo kilimo inakuwa afadhali ya utumwa. Mahindi Angalau yawe laki Moja mpunga laki mbili.Wapi huko hakuna soko,gunia lanahindi 62000,npunga 100,000,uko wapi nwenzetu
Na Kenya wana ukame mkubwa sana.Mwaka huu mavuno yao utakuwa kidogo sanaUzi huu ukipuuzwa msije sema hamkujua
Mahindi kidogo yaliyopatikana yanatoroshwa nchi jirani,mavuno hayakuwa mazuri,tutegemee njaa.
Huwezi kupiga kampeni au upige kura na njaa tumboni.
Mioaka ifungwe haraka kwa usalama wetu
Bashe yupo bize na kampeni hana hbari
Mama anakula mema ya nchi hana habari.
Upo wapi? Mahindi ni bei gani?Shauri serikali inunue mahindi, mpunga yanayowadodea wakulima na siyo kufunga mipaka. Watu tuna magunia ya mahindi, mpunga na hatuna soko wewe unaleta habari za vijiwe vya kahawa.
Kumbuka huu ni msimu wa mavyno wewe sema yko wapi na mahindi bei gani huko.mwaka jana muda huu gunia 35000Mkuu hizo bei hazina maslahi Kwa mkulima. Gharama za shamba mpka mazao umeweka ghalani ukiuza Kwa bei hizo kilimo inakuwa afadhali ya utumwa. Mahindi Angalau yawe laki Moja mpunga laki mbili.
Mkuu upo sahihi,nilime mimi harafu mtu baki eti anasema tuzuie mahindi yasitoke nje.Shauri serikali inunue mahindi, mpunga yanayowadodea wakulima na siyo kufunga mipaka. Watu tuna magunia ya mahindi, mpunga na hatuna soko wewe unaleta habari za vijiwe vya kahawa.
Kuna sehemu Gunia la mahindi ni 75k hadi 90k. Mpunga gunia ni 120kWapi huko hakuna soko,gunia lanahindi 62000,npunga 100,000,uko wapi nwenzetu
Mfe tuu nani alime harafu nyie mpate vya Bure?Uzi huu ukipuuzwa msije sema hamkujua
Mahindi kidogo yaliyopatikana yanatoroshwa nchi jirani,mavuno hayakuwa mazuri,tutegemee njaa.
Huwezi kupiga kampeni au upige kura na njaa tumboni.
Mioaka ifungwe haraka kwa usalama wetu
Bashe yupo bize na kampeni hana hbari
Mama anakula mema ya nchi hana habari.
Lima ya kwako ndiyo serikali ifunge mipaka,mnataka vya urahisi alivyolima nani?Hamna huruma na wakulima nyie!Uzi huu ukipuuzwa msije sema hamkujua
Mahindi kidogo yaliyopatikana yanatoroshwa nchi jirani,mavuno hayakuwa mazuri,tutegemee njaa.
Huwezi kupiga kampeni au upige kura na njaa tumboni.
Mioaka ifungwe haraka kwa usalama wetu
Bashe yupo bize na kampeni hana hbari
Mama anakula mema ya nchi hana habari.