Rais Samia funga mipaka haraka, huu ni mwaka wa ukame, hatuwezi kupiga kura na njaa tumboni

Rais Samia funga mipaka haraka, huu ni mwaka wa ukame, hatuwezi kupiga kura na njaa tumboni

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Uzi huu ukipuuzwa msije sema hamkujua

Mahindi kidogo yaliyopatikana yanatoroshwa nchi jirani,mavuno hayakuwa mazuri,tutegemee njaa.

Huwezi kupiga kampeni au upige kura na njaa tumboni.
Mioaka ifungwe haraka kwa usalama wetu

Bashe yupo bize na kampeni hana habari
Mama anakula mema ya nchi hana habari.
 
Mimi niliwahi kuandika Mahali, Nchi hii Tatizo kuu ni Usalama wa Taifa.

Huko Jirani wanaonunua Mahindi, hao wafanyabiashara Wana backup kubwa ya Vyombo vyao vya Usalama kujihakikishia Usalama wa Chakula nchini mwao.

Ni mpaka uwe na akili ndio unaweza kuona hatari kama hizi.

Wakulima Kwa Sasa wanalipa Mvua zimegoma.
 
Uzi huu ukipuuzwa msije sema hamkujua

Mahindi kidogo yaliyopatikana yanatoroshwa nchi jirani,mavuno hayakuwa mazuri,tutegemee njaa.

Huwezi kupiga kampeni au upige kura na njaa tumboni.
Mioaka ifungwe haraka kwa usalama wetu

Bashe yupo bize na kampeni hana hbari
Mama anakula mema ya nchi hana habari.

Umemshauri vizuri. Nami pia naongezea. Wakati ambao kuna rais muislamu,hao marais wawe wanateua mawaziri wa maji ambao ni wakristu maana kiroho, roho za waislamu huwa ni kavu hazina chemchemi na roho za wakristu ni kama mto wenye chemchemi hai,mto unaotiririka. Wakristu tuna baraka za mvua na baraka nyinginezo nyingi.

Na hata sasa samia anatakiwa ambadilishe waziri wa maji aliyepo aweke mkristo, vinginevyo hali itazidi kuendelea kuwa mbaya nchi inaweza kuja kukumbwa na baa la njaa huko mbeleni.
 
Mimi niliwahi kuandika Mahali, Nchi hii Tatizo kuu ni Usalama wa Taifa.

Huko Jirani wanaonunua Mahindi, hao wafanyabiashara Wana backup kubwa ya Vyombo vyao vya Usalama kujihakikishia Usalama wa Chakula nchini mwao.

Ni mpaka uwe na akili ndio unaweza kuona hatari kama hizi.

Wakulima Kwa Sasa wanalipa Mvua zimegoma.
Watumishi wa Usalama wa Taifa saivi wanawaza wanaibaje uchaguzi kuwafurahisha wanasiasa wa CCM😂😂😂.

Hii nchi kweli ilishajifia na ilishalaaniwa kitambo sana 🤣🤣
 
Uzi huu ukipuuzwa msije sema hamkujua

Mahindi kidogo yaliyopatikana yanatoroshwa nchi jirani,mavuno hayakuwa mazuri,tutegemee njaa.

Huwezi kupiga kampeni au upige kura na njaa tumboni.
Mioaka ifungwe haraka kwa usalama wetu

Bashe yupo bize na kampeni hana hbari
Mama anakula mema ya nchi hana habari.
Mnawaza nakuendekeza kula kula tu wakati kulima hampendi.

Nyau de adriz
 
Shauri serikali inunue mahindi, mpunga yanayowadodea wakulima na siyo kufunga mipaka. Watu tuna magunia ya mahindi, mpunga na hatuna soko wewe unaleta habari za vijiwe vya kahawa.
Wapi huko hakuna soko,gunia lanahindi 62000,npunga 100,000,uko wapi nwenzetu
 
Wapi huko hakuna soko,gunia lanahindi 62000,npunga 100,000,uko wapi nwenzetu
Mkuu hizo bei hazina maslahi Kwa mkulima. Gharama za shamba mpka mazao umeweka ghalani ukiuza Kwa bei hizo kilimo inakuwa afadhali ya utumwa. Mahindi Angalau yawe laki Moja mpunga laki mbili.
 
Uzi huu ukipuuzwa msije sema hamkujua

Mahindi kidogo yaliyopatikana yanatoroshwa nchi jirani,mavuno hayakuwa mazuri,tutegemee njaa.

Huwezi kupiga kampeni au upige kura na njaa tumboni.
Mioaka ifungwe haraka kwa usalama wetu

Bashe yupo bize na kampeni hana hbari
Mama anakula mema ya nchi hana habari.
Na Kenya wana ukame mkubwa sana.Mwaka huu mavuno yao utakuwa kidogo sana
 
Shauri serikali inunue mahindi, mpunga yanayowadodea wakulima na siyo kufunga mipaka. Watu tuna magunia ya mahindi, mpunga na hatuna soko wewe unaleta habari za vijiwe vya kahawa.
Upo wapi? Mahindi ni bei gani?
Usafiri wa magunia ya mahindi kwa canter au fuso au semi trela scania, kutoka ulipo kuja mikoa yenye uhitaji kama Dar,Mwanza, Pwani, Dodoma ni bei gani?
 
Mkuu hizo bei hazina maslahi Kwa mkulima. Gharama za shamba mpka mazao umeweka ghalani ukiuza Kwa bei hizo kilimo inakuwa afadhali ya utumwa. Mahindi Angalau yawe laki Moja mpunga laki mbili.
Kumbuka huu ni msimu wa mavyno wewe sema yko wapi na mahindi bei gani huko.mwaka jana muda huu gunia 35000
 
Mpunga gunia halijafika laki mkuu, mahindi gunia likifika 62000 hapo bado lipo chini sana,labda 115000 ndiyo juu,ila msimu huu mavuno chini,njaa ya maana
We sema uko mkoa gani
 
Kuna njia za kipanya zaidi ya laki
Bora serikali ihifadhi mazao kwa wingi sana
Halafu sio ukame tu hata hii vita imeleta njaa
Unajua wajeda huko wanavyokula
Wanaweza kuhifadhi chakula cha wananchi na wakaweka wao kambini
Kuna njaa inakuja ndio maana Magu alikuwa anasema wacha wapigane na sisi tuwauzie
 
Shauri serikali inunue mahindi, mpunga yanayowadodea wakulima na siyo kufunga mipaka. Watu tuna magunia ya mahindi, mpunga na hatuna soko wewe unaleta habari za vijiwe vya kahawa.
Mkuu upo sahihi,nilime mimi harafu mtu baki eti anasema tuzuie mahindi yasitoke nje.
Nonsense acha kuendekeza ulofa fanya kazi.
Shamba ununue wewe,wafanyakazi uwalipe wewe.
Mbolea ununuwe wewe.
Washauri wa kilimo uwalipe wewe.
Anakuja kinyangarika mtu baki ETI funga mipaka ili yeye aendelee kula bila kunawa.
Fia mbali kuliko kuendekeza uvivu wa akili na uwezo.
 
Wapi huko hakuna soko,gunia lanahindi 62000,npunga 100,000,uko wapi nwenzetu
Kuna sehemu Gunia la mahindi ni 75k hadi 90k. Mpunga gunia ni 120k

Na ni sehemu inayozalisha hayo mazao kwa wingi.
 
Uzi huu ukipuuzwa msije sema hamkujua

Mahindi kidogo yaliyopatikana yanatoroshwa nchi jirani,mavuno hayakuwa mazuri,tutegemee njaa.

Huwezi kupiga kampeni au upige kura na njaa tumboni.
Mioaka ifungwe haraka kwa usalama wetu

Bashe yupo bize na kampeni hana hbari
Mama anakula mema ya nchi hana habari.
Mfe tuu nani alime harafu nyie mpate vya Bure?

Mwisho ukame uko huko kwenye Mikoa yenu ya hovyo, huwezi Kuta ukame Nyanda za Juu Kusini.
 
Uzi huu ukipuuzwa msije sema hamkujua

Mahindi kidogo yaliyopatikana yanatoroshwa nchi jirani,mavuno hayakuwa mazuri,tutegemee njaa.

Huwezi kupiga kampeni au upige kura na njaa tumboni.
Mioaka ifungwe haraka kwa usalama wetu

Bashe yupo bize na kampeni hana hbari
Mama anakula mema ya nchi hana habari.
Lima ya kwako ndiyo serikali ifunge mipaka,mnataka vya urahisi alivyolima nani?Hamna huruma na wakulima nyie!
 
Back
Top Bottom