Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Mama nakuomba bundle lishuke tunaumia sana kwakweli, 1GB kwa 500 na dakika 100 mitandaoyote, 3GB kwa 2000 na dakika 150 mitandao yote itakua sahihi, 10GB kwa 7000 na dakika 400
Bhujiku ng'waka
Bhujiku ng'waka