Sol de Mayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 6,515 Reaction score 6,230 May 13, 2023 #21 Mama nakuomba bundle lishuke tunaumia sana kwakweli, 1GB kwa 500 na dakika 100 mitandaoyote, 3GB kwa 2000 na dakika 150 mitandao yote itakua sahihi, 10GB kwa 7000 na dakika 400 Bhujiku ng'waka
Mama nakuomba bundle lishuke tunaumia sana kwakweli, 1GB kwa 500 na dakika 100 mitandaoyote, 3GB kwa 2000 na dakika 150 mitandao yote itakua sahihi, 10GB kwa 7000 na dakika 400 Bhujiku ng'waka