Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kusaini hiyo mikataba ni utashi wao hawa waliopo, mwenda zake hana cha kulaumiwa.Anza kwanza kulaumu wote waliohusika kumuwezesha kukalia hicho kiti. Watu wa kwanza kuwalaumi ni wanaCCM, pili tumlaumu sana mwendazake, maana ametutengezea bomu na kulitega, sasa linatulipukia wote.
Hawa waliopo siyo watoto kwamba hawajui jema na baya.