Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Magonjwa gani?
Nenda kasome sheria ya kimataifa ya transboundary movement of live animals ili ujue magonjwa gani ya karantini kila nchi inahakikisha hayaingii nchini. Unadhani ni biashara ya pipi hiyo? Kwa upande wa mimea tuna mambo ya sanitary and phytosanitary. That's it.
 
Ndio sababu umeshindwa kuwa na reference sababu ya waliohusika hawakujiogeza ndio shida ya kuwa na makasuku wa fani.
Jenga hoja in 3 D dogo.
 
Sio nikasome..mliyabaini au chuki za Jiwe kwa Kenya? Jiwe alikuwa mtu mshari sana
 
Hahahahaha.......siyo Kwa wanyama tu. Leo hii ukisafirisha let say parachichi EU ikaonekena kuwa na magonjwa flani au wadudu flani of quaratin importance wanatoa notification Dunia mzima kuwa shehena flani ya parachichi kutoka Tanzania ilikuwa inaingiza wadudu au magonjwa hatarishi EU., Mara moja wanapiga ban na parachichi inapigwa kiberiti hukohuko, hawakurudishii. Kutoka hapo hakuna nchi itakayonunua parachichi ya Tanzania hadi pale utakpoihakikishia Dunia sasa parachichi yako imekidhi matakwa ya usafi unaokubalika kidunia; sanitary and phytosanitary requirements. Short of that utakula mwenyewe nchini kwako. Tukifikaga hapa ndo mnaanza kulialia ooh mabeberu yanatupiga vita. Kumbe ulikuwa unasafirishi vitu hatarishi kwa wengine. Kuna mambo mengi ambayo watanzania wanatakiwa tujielimishe kuliko kuwa wabishi.
 
Kwenye hili mbumbumbu ni wewe.

Vifaranga wale waliochumwa, tatizo halikuwa ugonjwa, bali sababu iliyotolewa hawakuwa na proper documentation.
 
Hizo ni story zako. Vifaranga hawakuwa na magonjwa. Ulisikia sababu iliyotolewa au unaitengeneza wewe?
 
Ndio sababu umeshindwa kuwa na reference sababu ya waliohusika hawakujiogeza ndio shida ya kuwa na makasuku wa fani.
Jenga hoja in 3 D dogo.
Hahahahaha . ...kwenye hili eneo nipo well informed. Kasome mambo sanitary and phytosanitary matters (SPS). Achana na story za vijiweni kwamba ukaingiza nchini nyama ya ng'ombe wenye antranx afu urudishe ilikotoka. Wapi imetokeaga?
 
Akili ya kushikishwa.
 
Ni sawa na kusema.....upuuzi mtupu... sema kaimalizia kishikaji
 
Sisi tulimkemea Luhaga Mpina waziwazi kwa ile misifa yake aliyofanya kuchoma vifaranga mbele ya makamera. Yani wasukuma mlichotufanyia mmejichumia laana kubwa sana!
 
Kwenye hili mbumbumbu ni wewe.

Vifaranga wale waliochumwa, tatizo halikuwa ugonjwa, bali sababu iliyotolewa hawakuwa na proper documentation.
Basi poa. Kama hakuna documentation unatakiwa ufanyaje kutokana na sheria za forodha? Kwamba uanze kubembeleza kuwarudisha? Hakunaga duniani. Labda huko Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…