Hilo siyo suala la TBS, ni la customs. Sababu ilikuwa kuingiza vifaranga bila ya kufuata taratibu zote zinazotakiwa. Hakuna hata aliyewapima vifaranga na kugundua walikuwa na magonjwa.kwani sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu uingizaji wa bidhaa kiholela,vipi TBS wanasemaje
Tatizo ilikuwa violation of customs procedures.