chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Kushukuru chifu Hangaya alitambua maovu mengi, ila hakuwa na jinsi, tuombe Mungu atambue muendelezo wa maovu ikiwepo kesi ya Mbowe, nasikitika vijana wakitaka kuwa walinzi waw VIP, kwa kuwa hakupenda mkaamua kukamata na kuwashushia bonge la kesi, bora mtangaze kuwa mtu huyu hastahili kulindwa, vijana msifanye kazi kwake! Muendelezo inaonekana kama kesi inalazimishwa ili watu wasiumbuke, chukuwa hatua ili lilsiwe jambo lisilo na maana!