Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Kushukuru chifu Hangaya alitambua maovu mengi, ila hakuwa na jinsi, tuombe Mungu atambue muendelezo wa maovu ikiwepo kesi ya Mbowe, nasikitika vijana wakitaka kuwa walinzi waw VIP, kwa kuwa hakupenda mkaamua kukamata na kuwashushia bonge la kesi, bora mtangaze kuwa mtu huyu hastahili kulindwa, vijana msifanye kazi kwake! Muendelezo inaonekana kama kesi inalazimishwa ili watu wasiumbuke, chukuwa hatua ili lilsiwe jambo lisilo na maana!
 
Magufuli yeye alisema hashauriki. Ukimshauri ndiyo umeharibu kabisa.

Bado mnaamini kuwa Maguguli angeweza kushauriwa na mtu yeyote? Kwa vyovyote marehemu, was not ok upstairs. Baadhi ya aliyokuwa anatenda na kutamka, hakuna mwenye akili timamu angefanya.
Upo ugonjwa unaitwa epidomia ni aina ya ugonjwa wa akili wa kuamini unajua KILA kitu,kumbe ni empty kabisa kichwani
 
"wenzake tayari wanatumikia sentence zao, yeye kakimbilia Nairobi nadhani ni calculation tu". Hapa siyo dhambi, dhambi ni kuchoma kuku wenye magonjwa waliokuwa wanaingia nchi bila kujali sheria transboundary movement of live animal. Kama nchi tupo tayari kuingiza magonjwa nchini kudhuru afya ya walaji almradi kufurahisha majirani? Tufuate sheria zilizopo.
Wapi wali thibitishwa wana magonjwa.?
 
Kukosa documentation ni number one qualification kupigwa kiberiti na mhusika kwenda prison. Maana kama hakuna documentation ni magendo, na ni havijulikani vilikotoka wapi, kwahiyo si Tz wala Ke wangekubali vinatoka kwao.
Ndio maana kuna muda watanzania walilishwa mchele wa plastic usio na radha kabisaa, kitumbo. Ndio maana kuna kipindi walikula imported mayai ya mchei fekelo, ndio maana kuna kipindi samaki vibua vya mchina na Sato walianza kutapakaa fake fekyelo.

Ukicheka na nyani utavuna mabua. Hata surukali ya ya Brazil sema inapitia UG (wasio na bandari) then mnafungashiwa huku kuitwa ya UG na wanatuuzia.

Usipokua mkali nyumbani kwako majirani watakuzoea hadi kuja kujitawazia barazani kwako wakimaliza kushit kwenye maliwato yako.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Raisi mwingine atakuja, atalalamika wananchi kuwekewa Tozo kwenye miamala. Yaani Samia anataka kujisafisha kuwa hakuhusika na hiyo dhambi wakati yeye alikuwa makamu wa raisi

Ni upuuzi mtupu kuwa na viongozi wahuni wahuni
"Mimi Ni chuma, Mimi sishauriki na ukijaribu kunishauri ndo umeharibu Kabisa" by JPM

Ni kenge gani asiyejipenda angethubutu kusogeza pua yake kumshaur jiwe?
 
Lengo la kuyasema hayo ni nini?
Ama ndio kujisafisha aonekane mwema?
Hata mm sijui.
 
Lini atasema pia kuwa maiti za binadamu zilizokuwa zinaokotwa mitoni na kwenye fukwe za bahari na kupotea kwa akina Ben Saaanane wakati wa utawala wao katili wa awamu ya tano ilikuwa ni dhambi tupu na haikuwa na maana?
274090210.jpg
fgd.jpg
274101452-1.jpg


2740101344.jpg
 
Afute kesi ya Mbowe. Machozi ya hizi familia hayata muacha salama
Kama ndio hivyo basi asamehe wafungwa wote, afute kesi zote, kusiwepo mahakama kabisa.

WEWE NI MPUMBAVU SANA, KWAHIYO UMEOANA MBOWE PEKEE NDIO WAKUFUTIWA KESI? YEYE HAWEZI KUFANYA MAKOSA?
 
Ninaanza kukubaliana na g.ulimwengu
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesifu ushirikiano wa nchi za Afrika Mashariki na kusema tulikuwa tunachomeana kuku mipakani, dhambi tupu viumbe wa Mungu tunamwaga petrol kuwachoma haikuwa na maana.

Rais Samia amesema hayo katika kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda.

Chanzo: Swahili times
Hii mchi haielewi vRz.. huo ndo ukwel wenyewe
 
Tanzania kununua sukari Uganda ni ujinga kupitiliza .

Wakati mwingine nchi yetu kama nchi inakosa thinktank kila kitu tunamwachia Rais atuamulie hata kama kina madhara kwa taifa.

Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kununua tu hata pale tunapoweza kama nchi.Uganda inaingia mara nne au zaidi iweje Rais ashabikie tununue sukari badala ya kuweka mikakati ya kuzalisha sukari ya kutosha hapa nchini.
Hivi Bagamoyo Sugar imeishia wapi?
 
Back
Top Bottom