Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

kwani sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu uingizaji wa bidhaa kiholela,vipi TBS wanasemaje
Hilo siyo suala la TBS, ni la customs. Sababu ilikuwa kuingiza vifaranga bila ya kufuata taratibu zote zinazotakiwa. Hakuna hata aliyewapima vifaranga na kugundua walikuwa na magonjwa.

Tatizo ilikuwa violation of customs procedures.
 
Huyu madam ni very hopeless
 
Hakika aliefanya hvyo alikuwa Iblis
 
Mgewarudisha waliko toka badala ya kuwateketeza.
 
Kukosa documentation ni number one qualification kupigwa kiberiti na mhusika kwenda prison. Maana kama hakuna documentation ni magendo, na ni havijulikani vilikotoka wapi, kwahiyo si Tz wala Ke wangekubali vinatoka kwao.
Uwe unasoma vizuri kabla ya kujibu. Hawakukosa documentation bali incomplete documentation. Kutokamilika kwa documentation siyo sawa na kukosekana kwa documentation.

Hata gari lako likifika bandarini halina documentations zote, halichomwi moto. Au unapewa muda wa kukamilisha au anataarifiwa mtumaji, linarudishwa kwa gharama yake.

Tatizo kubwa, tulikuwa na primitive leadership. Tulikiwa na primitive leadership ya kuswagia ng'ombe na siyo kuongoza wanadamu.
 
Mbona hakusema haya wakati ule? si alikuwa ktk utawala ule? alikemea? aliwaita wahusika?
Hivi hii tabia ndani ya ccm mbona inakuwa kama sera na dira yao.
 
Uliwapima na kukuta na ugonjwa?
 
sheria transboundary movement of live animal. Kama nchi tupo tayari kuingiza magonjwa nchini kudhuru afya ya walaji almradi kufurahisha majirani? Tufuate sheria zilizopo.
Sheria ni muhimu sana kufuatwa ,sio kutaka kufurahisha watu wengine
 
Mbona hakusema haya wakati ule? si alikuwa ktk utawala ule? alikemea? aliwaita wahusika?
Hivi hii tabia ndani ya ccm mbona inakuwa kama sera na dira yao.
Magufuli yeye alisema hashauriki. Ukimshauri ndiyo umeharibu kabisa.

Bado mnaamini kuwa Maguguli angeweza kushauriwa na mtu yeyote? Kwa vyovyote marehemu, was not ok upstairs. Baadhi ya aliyokuwa anatenda na kutamka, hakuna mwenye akili timamu angefanya.
 
Zama zile ulikuwa na chaguzi mbili.
1.Utumie akili au Professionalism uliwe kichwa,njia yako ya chooni iote nyasi.
2 Au uimbe nyimbo za sifa Ili njia yako ya chooni isiote nyasi.
Kama wewe utachagua nn
Kati ya tumbo na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…