Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,987
- 1,757
Mkuu usimlinganishe samia na hao team lucifer! Samia ana matatizo yake ila mwendajehanamu wanae kina gambo alikuwa alikuwa konk zaid ya shetan mwenyewe! Kuchoma moto kuku utadhan alizikuta na kadi za chadema!Samia na Mwendazake kitu kimoja.
Haki itendeke jamaa awe huru sio ufala wakusema rais aingilie shuhuli zamahakama kwaajili ya mshenzi mmoja.Afute kesi ya Mbowe. Machozi ya hizi familia hayata muacha salama
Rest in fire (R.I.F) Magufuli.Rest in Hell Magufuli
In hell is good for him.Rest in peace Magufuli.
Wewe una roho nzuri?Daah! wale vifaranga walivyochomwa tukaambiwa eti wanamagonjwa, kumbe ilikuwa roho mbaya ya Bwana yule. Taratiiibu ukweli wa yaliyofichwa unaanza kuwekwa wazi! Soon hata wale wasiojulikana wanaojulikana maza atawasema siku moja mchana kweupe!
Huyu mama huyu!! Aliyeagiza vifaraga kavikimbia. Kenya wakasema vifaranga siyo MALI Yao. Na kwa sababu tayari wao walikuwa wameuza ni sahihi kusema siyo mali yaoRais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesifu ushirikiano wa nchi za Afrika Mashariki na kusema tulikuwa tunachomeana kuku mipakani, dhambi tupu viumbe wa Mungu tunamwaga petrol kuwachoma haikuwa na maana.
Rais Samia amesema hayo katika kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda.
Chanzo: Swahili times
Unalinda viwanda vya ndani kwa kuwanunulisha wananchi bidhaa za ghali !!. Mpakani Sirari sementi ya Kenya Tsh 15,000/= wakati ya Tanzania ni Tsh 22,000/=. Ndiyo kulinda viwanda huko ?!Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
Sheia ya kusafirisha wanyama ni tofauti ni bidhaa. Hiyo ni international law siyo tz pekee. Kwa wanyama ukifanya animal trafficking hupewi second chance ni kiberiti nawewe prison.Uwe unasoma vizuri kabla ya kujibu. Hawakukosa documentation bali incomplete documentation. Kutokamilika kwa documentation siyo sawa na kukosekana kwa documentation.
Hata gari lako likifika bandarini halina documentations zote, halichomwi moto. Au unapewa muda wa kukamilisha au anataarifiwa mtumaji, linarudishwa kwa gharama yake.
Tatizo kubwa, tulikuwa na primitive leadership. Tulikiwa na primitive leadership ya kuswagia ng'ombe na siyo kuongoza wanadamu.
Zwiyo wanathamani kuliko huyo gaidi wa kutengeneza?Kabisa hawa zwiyo kwakweli tuliwaonea
Ni upumbavu wa kutafuta kiki. Alikuwa wapi wakati huo?Lengo ni nini?
Kuonekana mwema?
Kwanini asi focus kwa yajayo na achane na ndwele zilizopita.
Wasiojulikana. Mkuki kwa nguruwe, Kwa binadamu, mbaanza kuuliza. Aue kwa ipanga hufa kwa upanga.Atuambie pia nani alimuua Rais Magufuli.
Mumeo kaguswa umepanic!!!!Lengo ni nini?
Kuonekana mwema?
Kwanini asi focus kwa yajayo na achane na ndwele zilizopita.