Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Samia na Mwendazake kitu kimoja.
Mkuu usimlinganishe samia na hao team lucifer! Samia ana matatizo yake ila mwendajehanamu wanae kina gambo alikuwa alikuwa konk zaid ya shetan mwenyewe! Kuchoma moto kuku utadhan alizikuta na kadi za chadema!
 
Afute kesi ya Mbowe. Machozi ya hizi familia hayata muacha salama
Haki itendeke jamaa awe huru sio ufala wakusema rais aingilie shuhuli zamahakama kwaajili ya mshenzi mmoja.
Kuhusu kulia kwafamilia walie tu familia kibao zinalia kilasku kwamambo tofautitofaut, hakuna chaajabu hapo
 
Kuua vifaranga imekuwa dhambi kuliko kuua binadamu. Hivi halagi kuku?
 
Na je, ikitokea maafisa mifugo wameruhusu vifaranga ambao wana uginjwa ndani ya nchi, ili kulinda vifaranga wetu, tunatakiwa kufanyaje?
 
lakini walio vichoma hivyo vifaranga si wapo kwanini sharia isichukue mkondo wake???
 
Daah! wale vifaranga walivyochomwa tukaambiwa eti wanamagonjwa, kumbe ilikuwa roho mbaya ya Bwana yule. Taratiiibu ukweli wa yaliyofichwa unaanza kuwekwa wazi! Soon hata wale wasiojulikana wanaojulikana maza atawasema siku moja mchana kweupe!
Wewe una roho nzuri?
 
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesifu ushirikiano wa nchi za Afrika Mashariki na kusema tulikuwa tunachomeana kuku mipakani, dhambi tupu viumbe wa Mungu tunamwaga petrol kuwachoma haikuwa na maana.

Rais Samia amesema hayo katika kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda.

Chanzo: Swahili times
Huyu mama huyu!! Aliyeagiza vifaraga kavikimbia. Kenya wakasema vifaranga siyo MALI Yao. Na kwa sababu tayari wao walikuwa wameuza ni sahihi kusema siyo mali yao

Je waliyovikamata wangevitunza vipi hivyo vifaranga?.kwa akili ya kawada kuvichoma ilikuwa ni sahihi zaidi ya vingekufa kwa mateso ya njaa.
 
Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
Unalinda viwanda vya ndani kwa kuwanunulisha wananchi bidhaa za ghali !!. Mpakani Sirari sementi ya Kenya Tsh 15,000/= wakati ya Tanzania ni Tsh 22,000/=. Ndiyo kulinda viwanda huko ?!
 
Ni kipindi ambacho naye alikuwa kwenye usukani, angetoa amri fire wakazime huo moto wa vifaranga...
 
Kumbe alikuwa anafurahia Kenya kutufanyia ule ushenzi?

Mara kuiweka Tanzania katika orodha ya mataifa yenye corona na haturuhisiwi kwenda kwako?

Huyu mama Kenya hajaijua vizuri,ngoja akija kuwagundua atakuwa amechelewa sana!
 
Uwe unasoma vizuri kabla ya kujibu. Hawakukosa documentation bali incomplete documentation. Kutokamilika kwa documentation siyo sawa na kukosekana kwa documentation.

Hata gari lako likifika bandarini halina documentations zote, halichomwi moto. Au unapewa muda wa kukamilisha au anataarifiwa mtumaji, linarudishwa kwa gharama yake.

Tatizo kubwa, tulikuwa na primitive leadership. Tulikiwa na primitive leadership ya kuswagia ng'ombe na siyo kuongoza wanadamu.
Sheia ya kusafirisha wanyama ni tofauti ni bidhaa. Hiyo ni international law siyo tz pekee. Kwa wanyama ukifanya animal trafficking hupewi second chance ni kiberiti nawewe prison.
 
Back
Top Bottom