Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Rais wa awamu hii nayeye atakoselewa vitali sana maamuzi yake na rais wa awamu itakayomfuataDaah! wale vifaranga walivyochomwa tukaambiwa eti wanamagonjwa, kumbe ilikuwa roho mbaya ya Bwana yule. Taratiiibu ukweli wa yaliyofichwa unaanza kuwekwa wazi! Soon hata wale wasiojulikana wanaojulikana maza atawasema siku moja mchana kweupe!
Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
Lengo ni nini?
Kuonekana mwema?
Kwanini asi focus kwa yajayo na achane na ndwele zilizopita.
Mbona hata marehemu ilikuwa ndo tabia yake kuwashusha wenzake waliopita.Mama anapenda kumshusha marehemu ili ye aonekane mwema ni tabia mbaya sana.
Walikuwa marehemu?Mbona hata marehemu ilikuwa ndo tabia yake kuwashusha wenzake waliopita.
Yeye alidiriki kusema waliopita hawajafanya chochote zaidi ya ufisadi na akawataka wakae kimya.
Leo anapimiwa sawa na alivyowapimia wenzake.
Ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga.
Lengo ni nini?
Kuonekana mwema?
Kwanini asi focus kwa yajayo na achane na ndwele zilizopita.
Rais wa awamu hii nayeye atakoselewa vitali sana maamuzi yake na rais wa awamu itakayomfuata
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kumbe kulikuwa na kongamano la marais wawili dah! Mimi tokea afariki president Magufuli sifuatilii tena mambo ya hotuba za rais wa sasa, hakuna jipya zaidi zaidi mipasho mingi sound sound nyingi, niko nasubiria 2025 tumpatie nchi mtu mwingine ambaye atakuwa mtu wa kazi part two ya Magufuli
Ukimuuliza yeye alikuwa wapi wakati huo hawezi kukujibu.Lengo ni nini?
Kuonekana mwema?
Kwanini asi focus kwa yajayo na achane na ndwele zilizopita.
Naamini Samia amekuja kuikomboa Tanzania ata hiyo katiba mpya tutapata kwenye Muhula wake wapili mama ana mengi moyoni yakutufanyia tumpe mda,Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa nchini Tanzania kutoka nchi jirani.
Amesema pia kuna kipindi ilitokea pia Sukari kutoka nchi ya Uganda iligomewa na wafanya biashara kutoka Tanzania, hivyo amemueleza Rais Museven kwamba hivi sasa Sukari kutoka Uganda itanunuliwa na wafanyabiashara wa Tanzania!
Amehimiza pia kwamba vikwazo vya kibiashara kati ya nchi hizi mbili viondolewe!
Hayo yamesemwa wakati Kongamano hilo likifungwa.
Hilo sio jukumu langu, kama haujui basi katafute inasemaje lakini sio kushadadia kitu hukijuiZinasema vifaranga vikikamatwa vichomwe?
Ng'ombe na mbuzi zikikamatwa zinachomwa...!?
Btw hebu leta section ya kifungu cha sheria inayoelezea vitu vya namna hiyo vikikamatwa kimagendo vinafanywaje ili uhitimishe unachotaka kusema!
Kulinda si kuchoma bali ni kuzuia au kurudisha huko. Hiyo ilikuwa diplomasia mbaya sana.Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
Mama anapenda kumshusha marehemu ili ye aonekane mwema ni tabia mbaya sana.
Mbona hata marehemu kila alichokua anafanya ilikua ni kumshusha mtangulizi wake Mr handsomeMama anapenda kumshusha marehemu ili ye aonekane mwema ni tabia mbaya sana.
Kojoa ukalaleChief Hangaya ni muhuni tu. Hata kuongoza SACCOS hawezi yule.
Huwezi kuongoza nchi kwa kudekezana. Lazima waovu waumie ili nchi isonge.
Ukiruhusu biashara haramu na za kinyemela unaua nchi. Watakushika makalio na watazoea.
Nchi inaongozwa kwa maamuzi magumu kama ikihitajika, na sio kwa urojo na kupeti peti MAJIZI na wahalifu.
Mwacheni rais afanye kaziHangaya ni msanii tu wala hajui lolote kuhusu uchumi.
Nasikia alikuwa sekretari wa NGO anahudumia dawati la jinsia.
Halafu hapa anajitutumua kumpinga MKEMIA the Bulldozer JPM... !! Weee thubutuu!!
Hata huo mshahara tunaomlipa sijui kama anajua unatoka wapi. Yeye akifika hazina anachota tu anatia kwenye kapu anaruka kwenda zenji kutalii na kunywa kahawa.
This Hangaya woman is an illiterate FAT busy body. She is uneducated and lacks the necessary knowledge on how to run the economy.
Yeye ni kula kashata tu.
Hilo sio jukumu langu, kama haujui basi katafute inasemaje lakini sio kushadadia kitu hukijui
Madikteta wakiongoza kongamanoKatika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa nchini Tanzania kutoka nchi jirani.
Amesema pia kuna kipindi ilitokea pia Sukari kutoka nchi ya Uganda iligomewa na wafanya biashara kutoka Tanzania, hivyo amemueleza Rais Museven kwamba hivi sasa Sukari kutoka Uganda itanunuliwa na wafanyabiashara wa Tanzania!
Amehimiza pia kwamba vikwazo vya kibiashara kati ya nchi hizi mbili viondolewe!
Hayo yamesemwa wakati Kongamano hilo likifungwa.