Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Daah! wale vifaranga walivyochomwa tukaambiwa eti wanamagonjwa, kumbe ilikuwa roho mbaya ya Bwana yule. Taratiiibu ukweli wa yaliyofichwa unaanza kuwekwa wazi! Soon hata wale wasiojulikana wanaojulikana maza atawasema siku moja mchana kweupe!
Rais wa awamu hii nayeye atakoselewa vitali sana maamuzi yake na rais wa awamu itakayomfuata

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Viwanda vya Ndani vinalindwa kwa kuchoma moto bidhaa zinazoingizwa toka nje?
Kajifunze protectionalism policy
Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
 
Mama anapenda kumshusha marehemu ili ye aonekane mwema ni tabia mbaya sana.
Mbona hata marehemu ilikuwa ndo tabia yake kuwashusha wenzake waliopita.

Yeye alidiriki kusema waliopita hawajafanya chochote zaidi ya ufisadi na akawataka wakae kimya.

Leo anapimiwa sawa na alivyowapimia wenzake.

Ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga.
 
Walikuwa marehemu?
 
Ili kuweza ku focus vizuri kwa yajayo ni vizuri kurejea na kujifunza yaliyopita.
Africa Kusini baada ya kuhitimisha utawala wa makaburu walianzisha kitu kinaitwa Tume ya Ukweli na Maridhiano na msemo mmojawapo wa watu weusi huko ulikuwa ni tumesamehe ila hatutasahau.
Lengo ni nini?
Kuonekana mwema?
Kwanini asi focus kwa yajayo na achane na ndwele zilizopita.
 
Huna uwezo wa kumpatia mtu yeyote nchi wewe, unajidanganya au umedanganywa hivyo.
Kumbe kulikuwa na kongamano la marais wawili dah! Mimi tokea afariki president Magufuli sifuatilii tena mambo ya hotuba za rais wa sasa, hakuna jipya zaidi zaidi mipasho mingi sound sound nyingi, niko nasubiria 2025 tumpatie nchi mtu mwingine ambaye atakuwa mtu wa kazi part two ya Magufuli
 
Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu.

Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa nchini Tanzania kutoka nchi jirani.

Amesema pia kuna kipindi ilitokea pia Sukari kutoka nchi ya Uganda iligomewa na wafanya biashara kutoka Tanzania, hivyo amemueleza Rais Museven kwamba hivi sasa Sukari kutoka Uganda itanunuliwa na wafanyabiashara wa Tanzania!

Amehimiza pia kwamba vikwazo vya kibiashara kati ya nchi hizi mbili viondolewe!

Hayo yamesemwa wakati Kongamano hilo likifungwa.
Naamini Samia amekuja kuikomboa Tanzania ata hiyo katiba mpya tutapata kwenye Muhula wake wapili mama ana mengi moyoni yakutufanyia tumpe mda,
 
Zinasema vifaranga vikikamatwa vichomwe?
Ng'ombe na mbuzi zikikamatwa zinachomwa...!?
Btw hebu leta section ya kifungu cha sheria inayoelezea vitu vya namna hiyo vikikamatwa kimagendo vinafanywaje ili uhitimishe unachotaka kusema!
Hilo sio jukumu langu, kama haujui basi katafute inasemaje lakini sio kushadadia kitu hukijui
 
Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
Kulinda si kuchoma bali ni kuzuia au kurudisha huko. Hiyo ilikuwa diplomasia mbaya sana.
 
Chief Hangaya ni muhuni tu. Hata kuongoza SACCOS hawezi yule.

Huwezi kuongoza nchi kwa kudekezana. Lazima waovu waumie ili nchi isonge.

Ukiruhusu biashara haramu na za kinyemela unaua nchi. Watakushika makalio na watazoea.

Nchi inaongozwa kwa maamuzi magumu kama ikihitajika, na sio kwa urojo na kupeti peti MAJIZI na wahalifu.
Kojoa ukalale
 
Hangaya ni msanii tu wala hajui lolote kuhusu uchumi.

Nasikia alikuwa sekretari wa NGO anahudumia dawati la jinsia.

Halafu hapa anajitutumua kumpinga MKEMIA the Bulldozer JPM... !! Weee thubutuu!!

Hata huo mshahara tunaomlipa sijui kama anajua unatoka wapi. Yeye akifika hazina anachota tu anatia kwenye kapu anaruka kwenda zenji kutalii na kunywa kahawa.

This Hangaya woman is an illiterate FAT busy body. She is uneducated and lacks the necessary knowledge on how to run the economy.

Yeye ni kula kashata tu.
Mwacheni rais afanye kazi
 
Mtu akikwambia una tabia za kike kwakweli unatakiwa umtoe hata ngeu ni tusi baya sana
 
Hilo sio jukumu langu, kama haujui basi katafute inasemaje lakini sio kushadadia kitu hukijui

Sasa kama siyo jukumu lako then kwa nini uniulize?
Nenda kamwambie Rais ndio aache kushadadia vitu asivyo vijua maana yeye ndiye kasema!
Ungekuwa unajua wewe inasemaje basi wala usingeandika huo urojo wako, kiufupi naona wewe ni mweupe tu huko kichwani mwako!
 
Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu.

Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa nchini Tanzania kutoka nchi jirani.

Amesema pia kuna kipindi ilitokea pia Sukari kutoka nchi ya Uganda iligomewa na wafanya biashara kutoka Tanzania, hivyo amemueleza Rais Museven kwamba hivi sasa Sukari kutoka Uganda itanunuliwa na wafanyabiashara wa Tanzania!

Amehimiza pia kwamba vikwazo vya kibiashara kati ya nchi hizi mbili viondolewe!

Hayo yamesemwa wakati Kongamano hilo likifungwa.
Madikteta wakiongoza kongamano
 
Back
Top Bottom