Rais Samia hajaonekana kwenye Sherehe za Mei Mosi, yuko wapi?

Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.

Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?

Hataki shobo na Tanganyika Wana mdomo na masimango sana 😁😁
 
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.

Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Ujue hamna kitunhapo!

Ameona sio vema kuja kutudanganya tena!

Bora ajikalie nyumbani.acheze na wajukuu asije tudanganya Kuna 23.3% kumbe ni 0.00000023% .

Labda tuna tumaini na Dr. Mpango!
 
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.

Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?

Hana cha kuahadi wafanyakazi kwa sasa, tungoje maana kama kikokotoo ni fumbo
 
Hakuna ushauri mbaya alioukubali kama huu wa kutokwenda kwenye hizi sherehe, bora angefika atoe ahadi za uongo
Itakua alidhani mahudhurio yatakua finyu kama sherehe za juzi ila sio mbele ya Makonda
Binafsi naona huu mkutano ndio angeutumia kurudisha imani kwa wananchi kama wangeona kwa jicho la mbali

Umeandika kama mangekimambi acha uchokozi na serikali yako [emoji12]
 
Hata asipofika sio tatizo. Cha msingi Serikali itapandisha mishahara. Stay tuned
Oohoo! Na wewe unaleta stori za Lucas Mwashambwa kwamba mama yenu atakuwepo labour day Arusha muwe munamuuliza kwanza
 
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.

Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Acha kukuza mambo wewe. Serikali ipo hapa wewe hadi umuone rais ndo ujue umuhimu.?

Sio jukwaa la siasa waliopo wanatosha kuikamilisha hii siku.
 
Back
Top Bottom