PostGE2025 Rais Samia Hajawahi kuua Mtu wala Kutoa Maagizo ya Kuua Mtu Yeyote yule

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Rais Samia Hajawahi kutoa amri wala maagizo ya mtu yeyote yule kuuwawa
 

Uchawa unakufanya uwe na upofu akilini mwako hata kuweza kubaini yale yaliyokuwa bayana..

Wewe ulitegemea kumuona huyo chinja chinja akiwa amebeba bunduki mtaani na kuuwa? Kupitia kauli zake, "order" zake haramu za wazi au kificho ndipo mauji hutekelezwa na magenge yake ya mauaji.

Tatizo lako Lucas haupo vyema kiakili, ama kwa urahisi tunaweza kusema "dish" lako limeyumba, kutokana na maudhui ya nyuzi unazopandisha hapa jukwaani. Unautambua kabisa ukweli lakini kwa makusudi unajitoa ufahamu ili tu kukwepa kuutambua ukweli usio kuwa na shaka yoyote ile.

Hilo ni tatizo la afya ya akili. Unahitaji matibabu ya haraka sana kabla haijawa "too late". Tambua "stage" inayofuata kwako ni kuanza kuuza makalio.

Beware the following process

Used ➑️ Misused ➑️ Abused ➑️ Confused

For sure, you are now undergoing the abused level, since you've already been used and misused.
 

View: https://www.instagram.com/mariastsehai/reel/DTTMRxhEqhg/
 
Mpumbavu wewe unaijua sheria lkn uchawa umekupumbaza
 
Asubiri ajitetee wakati wake utakapofika, watu tumechoshwa mno na serikali hii katili. Asubiri hukumu yake.
 
Kwahio alaumiwe nan mtoa oda kule juu au poliCCM...Hebu fikiria tena vizuri kabla ya kujibu swali hili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…