PostGE2025 Rais Samia Hajawahi kuua Mtu wala Kutoa Maagizo ya Kuua Mtu Yeyote yule

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Rais Samia Hana Damu ya Mtu yeyote yule katika Mikono yake na wala hajawahi kutoa amri yoyote ile ya Kumwaga Damu ya mtu yeyote yule
Naunga Mkono hoja. Sawa tupe orodha ya waliotoa Amri uhalifu ule dhidi ya uhai wa binadamu uliamriwa na nani na ulifanywa na akina nani?
 
Miaka ya nyuma tulikua tunapewa propaganda kwamba Idd Amin anaua watu na nyama anaweka kwenye jokofu anakula kila anapojisikia , na wengi wakaamini sasa miaka mingi imepita CCM bado mnaishi katika playbook ile ile mkiamini tutaendela kuishi vilevile .

Watanzania wa sasa wameelimika na hawadanganyiki tena , mlizima internet mkaamini hawatakua na ushahidi ?

Ushahidi usio na shaka ni mwingi sana , inasubiriwa siku tu muuaji akishaitwa kule anapostahili [ICC] pandora litafunguliwa rasmi.

Umeona jana vilio vimeanza kwa hao vibaka mnaowaita wabunge , unajua kwa nini?

Soma hii document kuanzia SECTION 5
 
Attachments

Wewe mjinga wale askari walikuwa wanafuata Amri ya amiri jeshi mkuu yupi?Samia ni muuaji na damu hulipwa kwa damu lazima alipie wewe mjinga
Wapi uliambiwa Rais Alisema fulani na fulani auwawe? Halafu lazima ujue kuwa polisi wetu walikuwa wanatuliza ghasia na vurugu kubwa za watu waliokuwa wanataka kuchoma Nchi yetu na kupindua serikali yetu. Bila ushupavu wa askari wetu Nchi ingepinduliwa . Hata Marekani wasingeruhusu Vurugu zile ziendelee bila kuzimwa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiona na Unapoona Rais wetu Mpendwa anaunda Tume Kuchunguza Kila Tukiona linalohusu Kupoteza Uhai wa Mtanzania yeyote yule ni kwa sababu Rais wetu anajali Maisha ya watanzania na Mtanzania mmoja mmoja. Ni kwa sababu Anataka kila mmoja Aishi Mpaka pale Mungu atakapoamua .

Rais Samia hajawahi na wala hana historia ya Kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kutoa maagizo ya kuuwa mtu yeyote yule. Rais Samia Anajali na kuthamini Damu ya Mwanadamu yeyote yule aliyepo ndani ya Ardhi ya Tanzania.

Rais Samia Hana Damu ya Mtu yeyote yule katika Mikono yake na wala hajawahi kutoa amri yoyote ile ya Kumwaga Damu ya mtu yeyote yule. Ndio Maana amekuwa akiumia,kusononeshwa na kuumizwa sana inapotokea mtanzania kapoteza Maisha.

Kwa kilichotokea Uchaguzi Uliopita Kinapaswa Kutufundisha watanzania wote na kutoruhusu kutokea tena kama ambavyo Rais wetu amekuwa akizungumza mara kwa mara . Tulinde amani na tusikubali watu wachache wapandikize chuki na uhasama ndani ya Taifa letu wakiwa huko nje ya Nchi. Ikumbukwe ya kuwa Vita ya kutetea usalama wa Taifa siyo lelemama wala mchezo mchezo. Ikumbukwe ya kuwa kuna watu walidhamiria kupindua serikali yetu kwa manufaa yao Binafsi.

Vijana tusikubali kuchochewa na mtu yeyote yule kuchoma moto Taifa letu kwa viahadi vya kijinga jinga. Hatuna kwa kukimbilia . Tuwe walinzi sisi kwa sisi na tuchungane dhidi ya wale wanaoweza kutaka kuharibu Taifa letu hili . Tuseme tena kuwa hatutaki yajirudie yale yaliyotokea mwaka jana.

Tuungane na Rais wetu katika kujenga Taifa letu.
Unafikiri sisi ni wajinga, hatujui, hatuna uelewa, ufahamu na ni wapumbavu kama wewe na wenzako huko Lumumba siyo...?

Mnapenda kumwita AMIRI JESHI MKUU WA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA VYOTE HAPA NCHINI lakini ni wajinga na wapumbavu kabisa kwa kuwa hamjui hata maudhui (mantiki) ya kubeba cheo hicho..?

Bi Samia Suluhu Hassan angeweza kueleweka mapema iwapo angejitenga mapema na mauaji hayo kwa yeye kutoka hadharani na kusema kwa uwazi kuwa;

"....Utekaji, utesaji, ufiraji na ulawiti ubambikiaji kesi unaofanywa na polisi na vyombo vingine vyenye jukumu la ulinzi na usalama wa raia na mali zao, ulinzi wa mipaka ya nchi yetu haukubaliki. Aidha wizi wa kura katika chaguzi zetu, kunyima haki raia kuchagua viongozi wawatakao wao na mauaji ya maelfu ya raia yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi tarehe 29/10/2025 hayakubaliki na kila aliyehusika, atawajibishwa kwa mujibu wa sheria. Na mimi kama Rais wenu mwenye dhamana ya ulinzi na usalama wa taifa letu, watu wake, rasrimali zetu, nakubali kubeba lawama zote kwa makosa ya wote walio chini yangu. Na kwa sababu hii nakiri kuwa serikali ninayoingoza sambamba na taasisi na idara zake za ulinzi na usalama hazikutenda wajibu wake ipasavyo kulinda uhai wa raia na mali zao. Nawaahidi wananchi wenzangu kuwa, serikali yenu itachukua hatua thabiti kwa kila aliyehusika kwa namna moja au nyingine na hali hii haitajirudia tena. NEVER AGAIN."​

Hii ndiyo ingekuwa kauli ya Rais makini, aliye na akili timamu, anayejua na kuthamini dhamana ya uongozi wa taifa hili aliyoibeba mgongoni na mabegani mwake, anayetambua na kuyajua majukumu yake ipasavyo...

Kinyume chake ni kuwa, huyu bibi hata hajui yeye ni nani. Hajui wajibu wake na haijui kabisa dhamana ya uongozi aliyoibeba mabegani mwake. Badala yake ame - compromise na kukubali kutumiwa na genge la mhuni Jakaya Kikwete kuidogosha nchi na taifa letu ktk jumuiya ya kimataifa asijue kuwa, wakimaliza kupata wanachokiipata mwisho wa siku, atakayewajibishwa ni yeye...

Samia Suluhu Hassan is completely insane, incapable and unfit to hold that highest position of leadership of our beatiful country..

Na hii inathibitishwa na kila wakati anapopata nafasi ya kupanua domo lake ku - address matukio ya mauaji ya 29/10, mara zote huishia kumwaga taarabu, kutapika shombo na kila aina ya uchafu wa maneno toka kinywani mwake ambao huzidi kukera na kuudhi wananchi na jumuiya ya kimataifa..

Na wewe hapa kwa ujinga na upumbavu wako, unatetea uchafu huu ukidhani unamponya au kumsaidia kuepuka hukumu ya adhabu yake na unadhani utetezi huu utakupa thawabu chanya wewe na unayemtetea. HAKUNA, UNAMCHIMBIA SHIMO AZAME ZAIDI..

Ili kumwokoa, MWAMBIE UKWELI HATA KAMA UTAKUGHARIMU WEWE KUKOSA MAFAO YA UOVU WENU...

Pole yako...
 
Waliuawa na nani? Kwa amri ya nani? Muuaji mkubwa mwanamke dangaji hilo
 
Rais wetu Mpendwa ana uchungu mKubwa Sana na Maisha ya watanzania na uhai wa kila mmoja wetu . Ndio sababu amekuwa akikemea matukio yote ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Ndio maana amekuwa akiunda tume mbalimbali ikiwepo tume ya haki jinai ili kuja na majibu sahihi na majawabu ya kusaidia kuponya Taifa letu dhidi ya wenye makovu na majereha mioyoni mwao.

Hata katika matukio ya uchaguzi ambayo baadhi ya watu walitaka kupindua serikali yetu kumeundwa tume ambayo itakuja na majibu ya kueleweka ambapo tayari tume ya kwanza imetoa mwanga wa kile kilichotokea .

Mwisho niseme huna adabu wala akili wala heshima na umejaa Laana ya wazazi wako. Rais siyo sawa na Mama yako . Kama unakosa adabu kwa Mama yako mzazi basi jaribu kumheshimu Rais wetu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiona na Unapoona Rais wetu Mpendwa anaunda Tume Kuchunguza Kila Tukiona linalohusu Kupoteza Uhai wa Mtanzania yeyote yule ni kwa sababu Rais wetu anajali Maisha ya watanzania na Mtanzania mmoja mmoja. Ni kwa sababu Anataka kila mmoja Aishi Mpaka pale Mungu atakapoamua .

Rais Samia hajawahi na wala hana historia ya Kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kutoa maagizo ya kuuwa mtu yeyote yule. Rais Samia Anajali na kuthamini Damu ya Mwanadamu yeyote yule aliyepo ndani ya Ardhi ya Tanzania.

Rais Samia Hana Damu ya Mtu yeyote yule katika Mikono yake na wala hajawahi kutoa amri yoyote ile ya Kumwaga Damu ya mtu yeyote yule. Ndio Maana amekuwa akiumia,kusononeshwa na kuumizwa sana inapotokea mtanzania kapoteza Maisha.

Kwa kilichotokea Uchaguzi Uliopita Kinapaswa Kutufundisha watanzania wote na kutoruhusu kutokea tena kama ambavyo Rais wetu amekuwa akizungumza mara kwa mara . Tulinde amani na tusikubali watu wachache wapandikize chuki na uhasama ndani ya Taifa letu wakiwa huko nje ya Nchi. Ikumbukwe ya kuwa Vita ya kutetea usalama wa Taifa siyo lelemama wala mchezo mchezo. Ikumbukwe ya kuwa kuna watu walidhamiria kupindua serikali yetu kwa manufaa yao Binafsi.

Vijana tusikubali kuchochewa na mtu yeyote yule kuchoma moto Taifa letu kwa viahadi vya kijinga jinga. Hatuna kwa kukimbilia . Tuwe walinzi sisi kwa sisi na tuchungane dhidi ya wale wanaoweza kutaka kuharibu Taifa letu hili . Tuseme tena kuwa hatutaki yajirudie yale yaliyotokea mwaka jana.

Tuungane na Rais wetu katika kujenga Taifa letu.
Kwani CCM ni hamnazo? Rejea hotuba ya huyo Mama wakati anaapishwa baada ya uchafuzi na wakati anaongea na wazee wa mchongo wa Dar es salaam
 
Back
Top Bottom