PostGE2025 Rais Samia Hajawahi kuua Mtu wala Kutoa Maagizo ya Kuua Mtu Yeyote yule

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hilo ni kweli!

Tulikua wapi kuzuia hayo kutokea!!?tuhuma dhidi yetu ya damu kumwagika!!?
kwanini hatukua pro active badala ya kuwa post active!!?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiona na Unapoona Rais wetu Mpendwa anaunda Tume Kuchunguza Kila Tukiona linalohusu Kupoteza Uhai wa Mtanzania yeyote yule ni kwa sababu Rais wetu anajali Maisha ya watanzania na Mtanzania mmoja mmoja. Ni kwa sababu Anataka kila mmoja Aishi Mpaka pale Mungu atakapoamua .

Rais Samia hajawahi na wala hana historia ya Kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kutoa maagizo ya kuuwa mtu yeyote yule. Rais Samia Anajali na kuthamini Damu ya Mwanadamu yeyote yule aliyepo ndani ya Ardhi ya Tanzania.

Rais Samia Hana Damu ya Mtu yeyote yule katika Mikono yake na wala hajawahi kutoa amri yoyote ile ya Kumwaga Damu ya mtu yeyote yule. Ndio Maana amekuwa akiumia,kusononeshwa na kuumizwa sana inapotokea mtanzania kapoteza Maisha.

Kwa kilichotokea Uchaguzi Uliopita Kinapaswa Kutufundisha watanzania wote na kutoruhusu kutokea tena kama ambavyo Rais wetu amekuwa akizungumza mara kwa mara . Tulinde amani na tusikubali watu wachache wapandikize chuki na uhasama ndani ya Taifa letu wakiwa huko nje ya Nchi. Ikumbukwe ya kuwa Vita ya kutetea usalama wa Taifa siyo lelemama wala mchezo mchezo. Ikumbukwe ya kuwa kuna watu walidhamiria kupindua serikali yetu kwa manufaa yao Binafsi.

Vijana tusikubali kuchochewa na mtu yeyote yule kuchoma moto Taifa letu kwa viahadi vya kijinga jinga. Hatuna kwa kukimbilia . Tuwe walinzi sisi kwa sisi na tuchungane dhidi ya wale wanaoweza kutaka kuharibu Taifa letu hili . Tuseme tena kuwa hatutaki yajirudie yale yaliyotokea mwaka jana.

Tuungane na Rais wetu katika kujenga Taifa letu.
Je unajua kwamba Samia ni amiri jeshi mkuu?
Je unajua kwamba jeshi haliwezi kufanya jambo lolote pasi na raisi kujua?
Je unajua kwamba Wana jwtz walivalishwa sale za polisi Ili wakauwe watu mitaani hapo October 29?
Acha ujinga wewe chawa wa mama yako
 
government attorney representing the URT government at AICC
 
Hata Hitler haikuwahi kuua au kutoa amri ya watu kuuwawa
 
Je unajua kwamba Samia ni amiri jeshi mkuu?
Je unajua kwamba jeshi haliwezi kufanya jambo lolote pasi na raisi kujua?
Je unajua kwamba Wana jwtz walivalishwa sale za polisi Ili wakauwe watu mitaani hapo October 29?
Acha ujinga wewe chawa wa mama yako
Acha kuongea Uzushi wako hapa wewe
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiona na Unapoona Rais wetu Mpendwa anaunda Tume Kuchunguza Kila Tukiona linalohusu Kupoteza Uhai wa Mtanzania yeyote yule ni kwa sababu Rais wetu anajali Maisha ya watanzania na Mtanzania mmoja mmoja. Ni kwa sababu Anataka kila mmoja Aishi Mpaka pale Mungu atakapoamua .

Rais Samia hajawahi na wala hana historia ya Kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kutoa maagizo ya kuuwa mtu yeyote yule. Rais Samia Anajali na kuthamini Damu ya Mwanadamu yeyote yule aliyepo ndani ya Ardhi ya Tanzania.

Rais Samia Hana Damu ya Mtu yeyote yule katika Mikono yake na wala hajawahi kutoa amri yoyote ile ya Kumwaga Damu ya mtu yeyote yule. Ndio Maana amekuwa akiumia,kusononeshwa na kuumizwa sana inapotokea mtanzania kapoteza Maisha.

Kwa kilichotokea Uchaguzi Uliopita Kinapaswa Kutufundisha watanzania wote na kutoruhusu kutokea tena kama ambavyo Rais wetu amekuwa akizungumza mara kwa mara . Tulinde amani na tusikubali watu wachache wapandikize chuki na uhasama ndani ya Taifa letu wakiwa huko nje ya Nchi. Ikumbukwe ya kuwa Vita ya kutetea usalama wa Taifa siyo lelemama wala mchezo mchezo. Ikumbukwe ya kuwa kuna watu walidhamiria kupindua serikali yetu kwa manufaa yao Binafsi.

Vijana tusikubali kuchochewa na mtu yeyote yule kuchoma moto Taifa letu kwa viahadi vya kijinga jinga. Hatuna kwa kukimbilia . Tuwe walinzi sisi kwa sisi na tuchungane dhidi ya wale wanaoweza kutaka kuharibu Taifa letu hili . Tuseme tena kuwa hatutaki yajirudie yale yaliyotokea mwaka jana.

Tuungane na Rais wetu katika kujenga Taifa letu.
Nani alitoa ruhusa ya kupiga risasi na kuuwa Watanganyika 29/10?
Nani aliwaambia wanajeshi wajitayarishe siku za uchagu,I?
Nywinywi ni nini,?
Acha ujinga.
 
Vyombo vya Ulinzi na usalama vilikuwa vinaimarisha usalama dhidi ya jaribio la Mapinduzi kwa serikali yetu uliotaka kufanywa na kufanyika hapa Nchini
 
Ngoja nijifute machozi kwanza..
Kitendo cha kusema nguvu ilotumika siku ya maandamano iliendana na tukio pale pale nilipatwa na wasiwasi kua kahusika kwa kiasi kikubwa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiona na Unapoona Rais wetu Mpendwa anaunda Tume Kuchunguza Kila Tukiona linalohusu Kupoteza Uhai wa Mtanzania yeyote yule ni kwa sababu Rais wetu anajali Maisha ya watanzania na Mtanzania mmoja mmoja. Ni kwa sababu Anataka kila mmoja Aishi Mpaka pale Mungu atakapoamua .

Rais Samia hajawahi na wala hana historia ya Kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kutoa maagizo ya kuuwa mtu yeyote yule. Rais Samia Anajali na kuthamini Damu ya Mwanadamu yeyote yule aliyepo ndani ya Ardhi ya Tanzania.

Rais Samia Hana Damu ya Mtu yeyote yule katika Mikono yake na wala hajawahi kutoa amri yoyote ile ya Kumwaga Damu ya mtu yeyote yule. Ndio Maana amekuwa akiumia,kusononeshwa na kuumizwa sana inapotokea mtanzania kapoteza Maisha.

Kwa kilichotokea Uchaguzi Uliopita Kinapaswa Kutufundisha watanzania wote na kutoruhusu kutokea tena kama ambavyo Rais wetu amekuwa akizungumza mara kwa mara . Tulinde amani na tusikubali watu wachache wapandikize chuki na uhasama ndani ya Taifa letu wakiwa huko nje ya Nchi. Ikumbukwe ya kuwa Vita ya kutetea usalama wa Taifa siyo lelemama wala mchezo mchezo. Ikumbukwe ya kuwa kuna watu walidhamiria kupindua serikali yetu kwa manufaa yao Binafsi.

Vijana tusikubali kuchochewa na mtu yeyote yule kuchoma moto Taifa letu kwa viahadi vya kijinga jinga. Hatuna kwa kukimbilia . Tuwe walinzi sisi kwa sisi na tuchungane dhidi ya wale wanaoweza kutaka kuharibu Taifa letu hili . Tuseme tena kuwa hatutaki yajirudie yale yaliyotokea mwaka jana.

Tuungane na Rais wetu katika kujenga Taifa letu.
Screenshot_20260507_214859_YouTube.jpg
Screenshot_20260507_220531_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom