Rais Samia: Hakuna kuingia Mikataba pasipo kumshirikisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)

Rais Samia: Hakuna kuingia Mikataba pasipo kumshirikisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)

Rais Samia obviously anadhani uongozi na u - Rais ni kuponda raha na kuswampa huku na kule. She is absolutely wrong..!

Hajui kuwa U - Rais wake it's about people's lives.

By the time atakapong'amua ukweli huu, it would be too late kurekebisha mambo bali itakuwa ni wakati wa HUKUMU YAKE physically & spiritually yeye na wenzake... NIMESEMA MIMI...!!

Acha waponde raha...
Hii kauli kali sana.
 
Hii kauli kali sana.
....na yenye authority kubwa maana mimi ndivyo nilivyo..

.....acha waponde raha halafu watu wanawaongoza wakiteseka.

....yaani Rais, nchi iko gizani kwa kukosa umeme huku tukiwa tumeishi miaka 6 ya Magufuli tatizo hili likiwa chini ya 10% lakini ghafla tumeingizwa gizani..!!!

Nini hii kama siyo nchi kutokuwa na uongozi kabisa???
 
Back
Top Bottom