Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #61
Uwe na heshima na adabu kwa Mheshimiwa RaisHuu upumbavu ulioandika ungepeleka kwenye foruma za Lumumba .
Unapost habari za huyo mama yako kwenye jukwaa alilotoa amri lifungiwe kwa kusema halina maadili ?
Huna akili kabisa kichwani mwako. Inaonyesha umekosa malezi ya wazazi wako.Huyu maza ni kichaa
nani atampigia kura?
labda polisi na wajeda wake
Mimi na ukoo wangu BIG NO!
Heshima kwenye jukwaa lililofungwa wewe nyang'au.?Uwe na heshima na adabu kwa Mheshimiwa Rais
Kwani wapi nimeandika Uturuki hapo .Kwani kuna Washington DC ya Uturuki?
Mbona upo humu jukwaani? Kaa pembeni usubirie lifunguliwe.Heshima kwenye jukwaa lililofungwa wewe nyang'au.?
Hili jukwaa mama yako kalifungia kwa kusema halina maadili wewe unafanya nini hapa kwa kuleta habari za huyo mama?
Unatumia VPN hujui ni dhambi na haramu. Kwanini mmefungia mtandao?Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Moyo wa Ujasiri ,kujiamini na Kwa Uhodari Mkubwa sana wa kiuongozi Amewatoa hofu watanzania wote kuwa wajitokeze kwa wingi na kufurika kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi.
Na kwamba siku hiyo ya Uchaguzi hakutakuwa na vurugu ya aina yoyote ile, kwa sababu vyombo vya Ulinzi na Usalama vipo imara , tayari na vimejitayarisha kuwalinda watanzania na usalama wa Taifa letu.
Kwa Ujasiri Mkubwa Rais Wetu Mpendwa akatamka ya kuwa yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na anawahakikishia Watanzania kutamalaki kwa amani ,utulivu na usalama Nchini. Na kwamba hicho ni kipaombele kikubwa.
Mama yetu Mpendwa ameendelea kusema ya kuwa Haitakuwa na maana ikiwa kwa sasa watajitokeza kwa wingi katika mikutano ya kampeni halafu wakajitokeza wachache kwenda kupiga kura. Rais wetu Mpendwa ametoa Rai na kuwasihi watu kwenda kupiga kura kwa wingi na kuichagua CCM ili iweze kuwaletea maendeleo na kuendelea pale ilipoishia.
Rais wetu Mpendwa amesema ya kuwa serikali ya CCM imefanya kazi kubwa sana ya kutatua kero mbalimbali ikiwepo kuunda tume mbalimbali za kushughulikia changamoto mbalimbali. Na kwamba kazi hiyo itaendelea kufanyika. Amewataka watanzania kutojihusisha na vurugu za aina yoyote ile na badala yake kulinda amani yetu ambayo ndiyo msingi wa maendeleo ya Taifa letu.View attachment 3476764
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Siyo wote tunatumia VPN.Unatumia VPN hujui ni dhambi na haramu. Kwanini mmefungia mtandao?
Watawala wa Afrika Bwana hujipa matumaini makubwa ila pale kiwakapo ndo wa kwanza kukimbia nchi, so unajiuliza huo ujasiri wa kukimbia nchi mapema huwa wanatoa wapi badala ya kubaki na kuonesha ukuu wao.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Moyo wa Ujasiri ,kujiamini na Kwa Uhodari Mkubwa sana wa kiuongozi Amewatoa hofu watanzania wote kuwa wajitokeze kwa wingi na kufurika kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi.
Na kwamba siku hiyo ya Uchaguzi hakutakuwa na vurugu ya aina yoyote ile, kwa sababu vyombo vya Ulinzi na Usalama vipo imara , tayari na vimejitayarisha kuwalinda watanzania na usalama wa Taifa letu.
Kwa Ujasiri Mkubwa Rais Wetu Mpendwa akatamka ya kuwa yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na anawahakikishia Watanzania kutamalaki kwa amani ,utulivu na usalama Nchini. Na kwamba hicho ni kipaombele kikubwa.
Mama yetu Mpendwa ameendelea kusema ya kuwa Haitakuwa na maana ikiwa kwa sasa watajitokeza kwa wingi katika mikutano ya kampeni halafu wakajitokeza wachache kwenda kupiga kura. Rais wetu Mpendwa ametoa Rai na kuwasihi watu kwenda kupiga kura kwa wingi na kuichagua CCM ili iweze kuwaletea maendeleo na kuendelea pale ilipoishia.
Rais wetu Mpendwa amesema ya kuwa serikali ya CCM imefanya kazi kubwa sana ya kutatua kero mbalimbali ikiwepo kuunda tume mbalimbali za kushughulikia changamoto mbalimbali. Na kwamba kazi hiyo itaendelea kufanyika. Amewataka watanzania kutojihusisha na vurugu za aina yoyote ile na badala yake kulinda amani yetu ambayo ndiyo msingi wa maendeleo ya Taifa letu.View attachment 3476764
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3476809
View attachment 3476810
Sawa usisahau kuwahadisia wakwako kwamba enzi zako ulikuwa chawa wa mtandaoni ulieshiriki kuwadalalia watanzania Ila ilishindikana utawaelezea wapi ujinga wa ccm ulichangia anguko lenu waeleze pia hata pesa uliokuwa unapokea ilikuwa yakufungwa nyoka tu pia waeleze mliwapa watanzania nini kwa huh ujinga wa miaka yote Ila ukomo umefikia haoo apo Luca mageuzi yameiva kiongoziBasi jaribu uandamane siku ikifika ili uje usimulie wajukuu zako kitakacho kupata siku hiyo.
CCM ndio tumaini la watanzaniaSawa usisahau kuwahadisia wakwako kwamba enzi zako ulikuwa chawa wa mtandaoni ulieshiriki kuwadalalia watanzania Ila ilishindikana utawaelezea wapi ujinga wa ccm ulichangia anguko lenu waeleze pia hata pesa uliokuwa unapokea ilikuwa yakufungwa nyoka tu pia waeleze mliwapa watanzania nini kwa huh ujinga wa miaka yote Ila ukomo umefikia haoo apo Luca mageuzi yameiva kiongozi
Nami lazima nitoke tarehe 29 lazima kama kufa nife sio kwa maisha haya. Kwani kupigwa wamepigwa wangapi wewe mwenyewe unapigwa ila hujui 29 natoka kama kupigwa nipigwe tuJaribu kuleta vurugu uone cha mtema kuni. Utapigwa kama Mbwa Koko.
Jukwaa limefungiwa na huyo mama yenu halafu bado unatuletea habari zake hivi uko sawa wewe mpumbavu?Mbona upo humu jukwaani? Kaa pembeni usubirie lifunguliwe.
Huna akili wewe chawaKwani wapi nimeandika Uturuki hapo .
Mama ametufikiaNaingia nikiwa Washington DC Marekani Shemeji yangu.
Moderator please mpigeni ban Lucas MwashambwaModerators pigeni bani huyu chawa Lucas Mwashambwa ni mmoja waliofurahia JF kupigwa pini.