ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Unamaanisha nini?Kama kila mtu atasubiri kusukumwa kama toroli, basi vikundi vitabaki kuwa vikundi vya ndoto tu, si maendeleo wala hela vitakuwepo.!
Kuwa chawa na wewe upate na sio zitaishia Bali zinaendelea kutolewaZinaishia mikinoni mwa machawa
Kisichoeleweka hapo ni nini?Unamaanisha nini?
My Take
Naunga mkono hoja.
Mambo ya kulazimisha watu kwenye vikundi ni upuuzi,Wala myhamimishe mtu mmja mmja na wazamini wake Ili pesa imwagike watu wapige kazi.
============
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wasimamizi wa mikopo ya halmashauri ya asilimia 10 kurahisisha masharti ya mikopo hiyo ili kuwasaidia zaidi wenye mahitaji ikiwamo kuwasaidia kujaza fomu kwa usahihi ili mikopo ipatikane kwa urahisi.
“Naomba sana msimamie urejeshwaji wa mikopo hii ili vijana hawa waweze kupata mikopo, lakini hata wakati wa utoaji wa mikopo yenyewe legezeni masharti, kuna watu wanahitaji mikopo hii, yale mafomu mliyowawekea wanashindwa kuyajaza vilivyo na mnapofanya tathmini mnasema hawa hawakujaza vizuri wasipewe lakini kumbe ndiyo wenye haja ya hizo pesa,” amesema Samia.
Rais Samia ametoa wito huo wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi mkoani Simiyu leo Jumatano Juni 18, 2025, ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani humo.
Kwa nini?Campaign Tu
MkuuKwa nini?
Unapata tuu sema masharti ni lazima kikundi na lazima uwe na shughuli inayoendelea sio pesa za Bure.Mkuu
Kusema Ukweli Hakuna Usilojua Lolote Hiyo Mikopo Mpaka Upate Tema Mate Chini
Zilongwa Mbali, Zitendwa Mbali
Mimi Nawe Tunaujua Ukweli WoteUnapata tuu sema masharti ni lazima kikundi na lazima uwe na shughuli inayoendelea sio pesa za Bure.
Nakushangaa sijui Kwa nini unaongea hiviMimi Nawe Tunaujua Ukweli Wote
Acha Tusiseme Yote Ni Aibu Hadharani
Kiini Macho Kwa Watanzania
Labda kwa kuwa mkuu kasema,lkn sarakasi za hii mikopo wachina wakasome!!Unapata tuu sema masharti ni lazima kikundi na lazima uwe na shughuli inayoendelea sio pesa za Bure.
Wewe umeshauzwa bei gani Hadi Sasa hivi? Usipomtaka kamtoe IkuluUongooo banaa hatukutaki..unauza nchi yetu
Tunahitaji kuwa na asasi nyingi za kiraia kama Mama ongea na Mwanao😏Zinaishia mikinoni mwa machawa
Ina faida gani upuuz mtuouTunahitaji kuwa na asasi nyingi za kiraia kama Mama ongea na Mwanao😏View attachment 3375123
Miaka yote hamkuona hayo masharti ila mmeyaona mwaka huu au vijana ndio wamezaliwa leo.My Take