Rais Samia : Halmashauri zilegeze masharti ya Mikopo ya Asilimia 10% ili Vijana wengi wakopeshwe

Rais Samia : Halmashauri zilegeze masharti ya Mikopo ya Asilimia 10% ili Vijana wengi wakopeshwe

Hiyo mikopo hata Jana nimejaribu kuuliza Kwa waliopata kwanza mwe na kikundi walau kuanzia watu5

Baada ya hapo Sasa muwalambe visigino hao wanahusika kuanzia juu Hadi chini.

Vilevile sio vyote mtapewa la hasha ni baadhi tu kama kiini macho ila pesa zinapigwa juu Kwa juu na wahusika na marejesho watarejesha wao!

Yaani kikundi kikikamilisha mashart Hela inatolewa lkn zinapigwa kikundi hakipati but kule inaonekana Kuna vikindi nane vimechukua mkopo kumbe vikundi3 tu vitano vyote pesa Ina macho
 
Hizo wanazizungushia juu kwa juu hapo vijana tayari tumeshakopeshwa.

Walichukua majina namba za NIDA mpaka leo hawajatoa mrejesho.
 
Hiyo mikopo hata Jana nimejaribu kuuliza Kwa waliopata kwanza mwe na kikundi walau kuanzia watu5

Baada ya hapo Sasa muwalambe visigino hao wanahusika kuanzia juu Hadi chini.

Vilevile sio vyote mtapewa la hasha ni baadhi tu kama kiini macho ila pesa zinapigwa juu Kwa juu na wahusika na marejesho watarejesha wao!

Yaani kikundi kikikamilisha mashart Hela inatolewa lkn zinapigwa kikundi hakipati but kule inaonekana Kuna vikindi nane vimechukua mkopo kumbe vikundi3 tu vitano vyote pesa Ina macho
Hii ishu nilijua inafanyika Mbeya tu😥😥😥 ila dunia hii.


KULA NA KURA hatutakiwi kuwa navyo
 
Unapata tuu sema masharti ni lazima kikundi na lazima uwe na shughuli inayoendelea sio pesa za Bure.
Gharama za hiyo mikopo ni kitembelewa mara 200 na wanasiasa.

Kuimbishwa nyimbo za mama, mama, mama, anaupiga mwingi, CCM oyeeee, CCM oyeeee, Tuna imaniiiiiiiiiii na Samiaaaaaa oyaaa oyaaaa, oyaaaaaa.

Hapo umepata milioni 2 😂😂😂😂

Ambayo utakuja kudaiwa marejesho, na ukikwama unapelekwa mahakamani
 
Kuna dada afisa maendeleo kavugeuza vikundi mtaji wake halafu hatosheki na anachopata
 
Hehe, nacheka tu, ccm hakuna jambo wanaweza kusimamia likafaulu, kama wewe kijana una tegemea matamshi ya Samia nakupa pole. Kilimo cha Bashe kiko wapi?, ccm pumzi ilishakata, kweli chama kime tawala miaka 70 bado kina tapa tapa hivi majukwaani kama chama ambacho kimepata ridhaa miaka mitano iliyopita.

Wana zunguka Tz nzima kuhadaa na kutoa ahadi ili hali wako madarakani, wafaa kutenda zaidi kuliko kuongea na kushinda majukwaani, tuna shindwa kutofautisha nani wao ni wapinzani au chama tawala?
 
Hao maafisa maendeleo wa$enge sana wanaomba rushwa live na bado hiyo mikopo wanaweka vikundi hewa wanapiga pesa..!!
 
My Take
Naunga mkono hoja.

Mambo ya kulazimisha watu kwenye vikundi ni upuuzi,Wala myhamimishe mtu mmja mmja na wazamini wake Ili pesa imwagike watu wapige kazi.
============
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wasimamizi wa mikopo ya halmashauri ya asilimia 10 kurahisisha masharti ya mikopo hiyo ili kuwasaidia zaidi wenye mahitaji ikiwamo kuwasaidia kujaza fomu kwa usahihi ili mikopo ipatikane kwa urahisi.

“Naomba sana msimamie urejeshwaji wa mikopo hii ili vijana hawa waweze kupata mikopo, lakini hata wakati wa utoaji wa mikopo yenyewe legezeni masharti, kuna watu wanahitaji mikopo hii, yale mafomu mliyowawekea wanashindwa kuyajaza vilivyo na mnapofanya tathmini mnasema hawa hawakujaza vizuri wasipewe lakini kumbe ndiyo wenye haja ya hizo pesa,” amesema Samia.

Rais Samia ametoa wito huo wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi mkoani Simiyu leo Jumatano Juni 18, 2025, ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani humo.

Nachojua mimi mavijanaa wengi hatukopesheki
 
Porojo tu hizo, si waanze wale watajwa wa CAG kurudisha.
Hujawahi kuwa na akili ndio maana unaishi Kwa maigizo ya kina Sankara.

Technically una ugonjwa wa akili wa kupinga Kila kitu ila hujajitambua 😁😁
 
Back
Top Bottom