Rais Samia : Halmashauri zilegeze masharti ya Mikopo ya Asilimia 10% ili Vijana wengi wakopeshwe

My Take
Naunga mkono hoja.

Mambo ya kulazimisha watu kwenye vikundi ni upuuzi,Wala myhamimishe mtu mmja mmja na wazamini wake Ili pesa imwagike watu wapige kazi.
============
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wasimamizi wa mikopo ya halmashauri ya asilimia 10 kurahisisha masharti ya mikopo hiyo ili kuwasaidia zaidi wenye mahitaji ikiwamo kuwasaidia kujaza fomu kwa usahihi ili mikopo ipatikane kwa urahisi.

“Naomba sana msimamie urejeshwaji wa mikopo hii ili vijana hawa waweze kupata mikopo, lakini hata wakati wa utoaji wa mikopo yenyewe legezeni masharti, kuna watu wanahitaji mikopo hii, yale mafomu mliyowawekea wanashindwa kuyajaza vilivyo na mnapofanya tathmini mnasema hawa hawakujaza vizuri wasipewe lakini kumbe ndiyo wenye haja ya hizo pesa,” amesema Samia.

Rais Samia ametoa wito huo wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi mkoani Simiyu leo Jumatano Juni 18, 2025, ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani humo.

Kodi ya mtanganyika inafujwq vibaya mno
 
Hujawahi kuwa na akili ndio maana unaishi Kwa maigizo ya kina Sankara.

Technically una ugonjwa wa akili wa kupinga Kila kitu ila hujajitambua 😁😁
😄 😄 😄 ....kidogo unaanza kuwa mwelewa, leo naona umechagua matusi ya kistaarabu...
ukishashindwa kujibu huwa unaanza kushambulia watu badala ya ulichaoulizwa..
 
Hiyo mikopo hata Jana nimejaribu kuuliza Kwa waliopata kwanza mwe na kikundi walau kuanzia watu5

Baada ya hapo Sasa muwalambe visigino hao wanahusika kuanzia juu Hadi chini.

Vilevile sio vyote mtapewa la hasha ni baadhi tu kama kiini macho ila pesa zinapigwa juu Kwa juu na wahusika na marejesho watarejesha wao!

Yaani kikundi kikikamilisha mashart Hela inatolewa lkn zinapigwa kikundi hakipati but kule inaonekana Kuna vikindi nane vimechukua mkopo kumbe vikundi3 tu vitano vyote pesa Ina macho
Iko hivi lengo la kuwa kikundi ni kudhaminiana in case of breach.Cha kufanya ni mnatafutana watu 5 ambao Kila mmja ana biashara yake ila mnataka kukuza biashara zenu sio wale from scratch.

Wanachoogopa ni hili hapa 👇 👇

View: https://www.instagram.com/reel/DLJzYcICusc/?igsh=eXV6NWI2bmUzb3po
 
Nilikuwa juzi
My Take
Naunga mkono hoja.

Mambo ya kulazimisha watu kwenye vikundi ni upuuzi,Wala myhamimishe mtu mmja mmja na wazamini wake Ili pesa imwagike watu wapige kazi.
============
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wasimamizi wa mikopo ya halmashauri ya asilimia 10 kurahisisha masharti ya mikopo hiyo ili kuwasaidia zaidi wenye mahitaji ikiwamo kuwasaidia kujaza fomu kwa usahihi ili mikopo ipatikane kwa urahisi.

“Naomba sana msimamie urejeshwaji wa mikopo hii ili vijana hawa waweze kupata mikopo, lakini hata wakati wa utoaji wa mikopo yenyewe legezeni masharti, kuna watu wanahitaji mikopo hii, yale mafomu mliyowawekea wanashindwa kuyajaza vilivyo na mnapofanya tathmini mnasema hawa hawakujaza vizuri wasipewe lakini kumbe ndiyo wenye haja ya hizo pesa,” amesema Samia.

Rais Samia ametoa wito huo wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi mkoani Simiyu leo Jumatano Juni 18, 2025, ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani humo.

no

Juzi nilikuwa Wilaya ya Uvinza naona kelele nyingi juu ya hili na pesa za wajasiliamali NMB wanazungushia fedha hizo kwenye biznes zao
 
Back
Top Bottom