Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Miaka yote Haikuwepo SamiaMiaka yote hamkuona hayo masharti ila mmeyaona mwaka huu au vijana ndio wamezaliwa leo.
Hii ishu nilijua inafanyika Mbeya tu😥😥😥 ila dunia hii.Hiyo mikopo hata Jana nimejaribu kuuliza Kwa waliopata kwanza mwe na kikundi walau kuanzia watu5
Baada ya hapo Sasa muwalambe visigino hao wanahusika kuanzia juu Hadi chini.
Vilevile sio vyote mtapewa la hasha ni baadhi tu kama kiini macho ila pesa zinapigwa juu Kwa juu na wahusika na marejesho watarejesha wao!
Yaani kikundi kikikamilisha mashart Hela inatolewa lkn zinapigwa kikundi hakipati but kule inaonekana Kuna vikindi nane vimechukua mkopo kumbe vikundi3 tu vitano vyote pesa Ina macho
Hutaki pesa za halmashauri??Ina faida gani upuuz mtuou
Gharama za hiyo mikopo ni kitembelewa mara 200 na wanasiasa.Unapata tuu sema masharti ni lazima kikundi na lazima uwe na shughuli inayoendelea sio pesa za Bure.
NakaziaIna faida gani upuuz mtuou
😁😄😂Maafisa maendeleo wanapenda sana rushwa kwenye hili
Nachojua mimi mavijanaa wengi hatukopeshekiMy Take
Naunga mkono hoja.
Mambo ya kulazimisha watu kwenye vikundi ni upuuzi,Wala myhamimishe mtu mmja mmja na wazamini wake Ili pesa imwagike watu wapige kazi.
============
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wasimamizi wa mikopo ya halmashauri ya asilimia 10 kurahisisha masharti ya mikopo hiyo ili kuwasaidia zaidi wenye mahitaji ikiwamo kuwasaidia kujaza fomu kwa usahihi ili mikopo ipatikane kwa urahisi.
“Naomba sana msimamie urejeshwaji wa mikopo hii ili vijana hawa waweze kupata mikopo, lakini hata wakati wa utoaji wa mikopo yenyewe legezeni masharti, kuna watu wanahitaji mikopo hii, yale mafomu mliyowawekea wanashindwa kuyajaza vilivyo na mnapofanya tathmini mnasema hawa hawakujaza vizuri wasipewe lakini kumbe ndiyo wenye haja ya hizo pesa,” amesema Samia.
Rais Samia ametoa wito huo wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi mkoani Simiyu leo Jumatano Juni 18, 2025, ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani humo.
Hana akili huyo Idd Amini DadaKwa nini?
Samia wanataaaamWewe umeshauzwa bei gani Hadi Sasa hivi? Usipomtaka kamtoe Ikulu
Pesa halimashauri ni kodi na mikopo ya watanzania na wahisani. Sio pesa za nyanya yenu.Hutaki pesa za halmashauri??
🤣🤣🤣😅😁basi subiri halmashauri ikuleteePesa halimashauri ni kodi na mikopo ya watanzania na wahisani. Sio pesa za nyanya yenu.
Porojo tu hizo, si waanze wale watajwa wa CAG kurudisha.
Hujawahi kuwa na akili ndio maana unaishi Kwa maigizo ya kina Sankara.Porojo tu hizo, si waanze wale watajwa wa CAG kurudisha.