Rais Samia hana exposure

Huwa wanatembelea sana tu, sema hawataki kuyachukuwa wanayosemwa vibaya... UNAKUMBUKA SAMWEL SITTA ALIPOKUWA ANATOA SABABU ZA KUSHUKA KWA KURA ZA JK KWENYE KIPINDI CHAKE CHA PILI UKILINGANISHA NA CHA KWANZA, alisema sababu moja wapo ni JF
 
Jamani mwacheni mama afanye kazi na CDN subirini wakati wa campaign 2025 ndipo mfanye mikutano ya nje.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 dah aiseeh unasoma michango unabaki huna mbavu...Wakuu punguzeni uzito wa MAKOMBORA
 
Watanzania tunajuana kwa MANENO MENGI kuliko mengine....mama ana exposure akiwa chini ya hayati JPM na huko nyuma....kipindi hiki ameamua KUUPIGA MWINGI.....

Mh.SSH anaweza kuwa bora zaidi ya watangulizi wake.....

Binafsi ninampa muda.....aaaamin🙏

#KaziIendeleeNaRaisSSH
#SerikaliMbiliMilele
#NchiKwanza
 
Sucks..
 
Tunaisha na madhila ya uamuzi wa Nyerere kutu hook up na kale kakisiwa.

Nyerere alipokuwa akibanwa maswali kuhusu mantiki za kutuunganisha na Zanzibar alikuwa anaishia kutoa matusi.

Kwa sababu ya Muungano obviously, Magufuli anasema alikuwa na choice mbili, Mwinyi na Samia. Ndio tukaishia na huyu bii Mkubwa.
 
Na hayo maneno alikua anayasemaga Sana Mwendazake,amewakaririsha CCM nao wanayarudia kila siku.

Sasa Mwendazake na kujua global issues wapi na wapi.
Lila na fila....!
 
Ingekuwa Tz Trump angefunguliwa kesi ya ugaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…